Watu wanahisi mimi ni usalama wa taifa, naombeni ushauri

King Kong III

JF-Expert Member
Oct 15, 2010
40,113
2,000
Habari wana JF, nadhani mko poa sana,niko hapa kuomba ushauri wenu juu ya changamoto nayokutana nayo,nilipokuwa nasoma advanced secondary school bording, nilipoanza form five baada ya kupita miezi kama sita hivi nilikuwa na rafiki yangu mmoja tulikuwa marafiki kama ndugu siku mmoja aliniuliza swali, "hivi wwe ni afisa wa usalama wa utaifa".

Nilishangaa sana aliponiuliza swali kama hilo, nikamuuliza kwa nni ameniuliza swali kama hilo, akanijibu kwa sababu baadhi ya wanafunzi na walimu wanaamini hivyo, akadai wanafunzi wengi huwa wananijadili kimya kimya pasipo mmi kujua na wamefanya tafiti zao wengi wanahisi mmi ni usalama wa taifa,nikamwambia rafiki yangu mmi sio afisa usalama taifa na hao watu wa usalama wa taifa mmi siwajui,

Lakini alionekana kutoamini maneno yangu,!nilipokuja kufanya uchunguzi pale shuleni nikagundua baadhi ya wanafunzi na walimu walikuwa wananiogopa na nikahisi pengine sababu wanahisi mmi ni usalama wa taifa,hali hiyo ilinipelekea mmi kuondolewa katika adhabu za wanafunzi wote,Mara nyingi nilikuwa nikisamehewa kwenye adhabu.

Sasa miaka mingi imepita bado nafananishwa na usalama wa taifa,sasa hivi mmi ni mfanya biashara baadhi ya watu bado wanahisi mmi ni afisa usalama wa taifa baadhi ya marafiki na wafanyabiashara wenzagu wameshawahi kuniuliza kama mmi ni usalama wa taifa,nikawakatalia lakini wanaonekana bado hawajaamini.

Sasa hivi baadhi ya ndugu zangu wameniuliza hilo swali,nikawaambia mmi sio afisa usalama wa taifa,lakini hawakuniamini,babu yangu alikuwa commissioner mkubwa wa jeshi la polisi nilipokuwa Niko mdogo nikiwa darasa la saba,aliwahi kuniambia tabia zangu zilivyo nafaa kuwa afisa usalama wa taifa.

Babu yangu alifariki nikiwa bado mdogo,nimekuwa nikiwa nikiyafikiria maneno ya babu kipindi hicho nilikuwa MDOGO nilikuwa sielewi usalama wa taifa ndio kazi gani,sasa nimekuwa nikikutana na changamoto hiyo ya kuitwa afisa usalama wa utaifa.

Hali hii ya kuitwa afisa usalama wa taifa binafsi huwa inanitia wasiwasi kwa sababu inawezekana ikapelekea baadhi ya waharifu kuanza kuniwinda pengine kwa kunihofia mmi labda na wafatilia kazi zao,na wakati Mimi sio afisa usalama wa taifa,wala si wajui wakoje na hata office zao zilipo sijui pia sijawahi kufikiria kufanya kazi hiyo,naombeni ushauri wenu niishi namna gani ili watu waache kunihisi hivyo!
Ushauri wangu acha kuvaa suti,miwani nyeusi,kunyoa pank na ndevu zote,usiweke peni kwenye shati.

===========================================================================================================
Kuna jamaa wakati nafundisha sekondari alikuwa yeye ni mtu wa kupiga nondo tu kwenye mabweni,ila 2015 nashangaa ni moja wa PSU waliokuwa wanamzunguka JIWE......Kwenye mavyuo sana sana zamani ndio walikuwa picked ila sasa ni kujuana tu ukiwa uvccm au mtoto wa brigedia unaconnectiwa tu.
 
wansawa

Senior Member
Oct 11, 2020
119
225
Ukimya wako kutoshiriki story za kijinga hupendi jinsia ya kike ionewe hovyo usafi ulio nao kila siku ni mwepesi katika michezo hasa riadha ukiona jambo baya hupendi kuchongea wenzio hujulikani kijiwe chako cha maongezi kipo wapi unaupeo wa kutambua vitu vingi huoni hasara kupokea adhabu ya mtu mwingine japo kiss hukufanya wewe. Mbona tunakujua bro.
 
mukaruka mzee

JF-Expert Member
Jan 22, 2020
970
500
Habari wana JF, nadhani mko poa sana,niko hapa kuomba ushauri wenu juu ya changamoto nayokutana nayo,nilipokuwa nasoma advanced secondary school bording, nilipoanza form five baada ya kupita miezi kama sita hivi nilikuwa na rafiki yangu mmoja tulikuwa marafiki kama ndugu siku mmoja aliniuliza swali, "hivi wwe ni afisa wa usalama wa utaifa".

Nilishangaa sana aliponiuliza swali kama hilo, nikamuuliza kwa nni ameniuliza swali kama hilo, akanijibu kwa sababu baadhi ya wanafunzi na walimu wanaamini hivyo, akadai wanafunzi wengi huwa wananijadili kimya kimya pasipo mmi kujua na wamefanya tafiti zao wengi wanahisi mmi ni usalama wa taifa,nikamwambia rafiki yangu mmi sio afisa usalama taifa na hao watu wa usalama wa taifa mmi siwajui,

Lakini alionekana kutoamini maneno yangu,!nilipokuja kufanya uchunguzi pale shuleni nikagundua baadhi ya wanafunzi na walimu walikuwa wananiogopa na nikahisi pengine sababu wanahisi mmi ni usalama wa taifa,hali hiyo ilinipelekea mmi kuondolewa katika adhabu za wanafunzi wote,Mara nyingi nilikuwa nikisamehewa kwenye adhabu.

Sasa miaka mingi imepita bado nafananishwa na usalama wa taifa,sasa hivi mmi ni mfanya biashara baadhi ya watu bado wanahisi mmi ni afisa usalama wa taifa baadhi ya marafiki na wafanyabiashara wenzagu wameshawahi kuniuliza kama mmi ni usalama wa taifa,nikawakatalia lakini wanaonekana bado hawajaamini.

Sasa hivi baadhi ya ndugu zangu wameniuliza hilo swali,nikawaambia mmi sio afisa usalama wa taifa,lakini hawakuniamini,babu yangu alikuwa commissioner mkubwa wa jeshi la polisi nilipokuwa Niko mdogo nikiwa darasa la saba,aliwahi kuniambia tabia zangu zilivyo nafaa kuwa afisa usalama wa taifa.

Babu yangu alifariki nikiwa bado mdogo,nimekuwa nikiwa nikiyafikiria maneno ya babu kipindi hicho nilikuwa MDOGO nilikuwa sielewi usalama wa taifa ndio kazi gani,sasa nimekuwa nikikutana na changamoto hiyo ya kuitwa afisa usalama wa utaifa.

Hali hii ya kuitwa afisa usalama wa taifa binafsi huwa inanitia wasiwasi kwa sababu inawezekana ikapelekea baadhi ya waharifu kuanza kuniwinda pengine kwa kunihofia mmi labda na wafatilia kazi zao,na wakati Mimi sio afisa usalama wa taifa,wala si wajui wakoje na hata office zao zilipo sijui pia sijawahi kufikiria kufanya kazi hiyo,naombeni ushauri wenu niishi namna gani ili watu waache kunihisi hivyo!
Hiyo nayo ni kazi tu kama kazi nyingine zozote, isikupe kufikiri kama eti ni kitu special sana! Na hivyo uajidhania kuwa wewe ni special, HAPANA!
 
titan51

JF-Expert Member
May 26, 2020
222
250
Ushauri wangu acha kuvaa suti,miwani nyeusi,kunyoa pank na ndevu zote,usiweke peni kwenye shati.

===========================================================================================================
Kuna jamaa wakati nafundisha sekondari alikuwa yeye ni mtu wa kupiga nondo tu kwenye mabweni,ila 2015 nashangaa ni moja wa PSU waliokuwa wanamzunguka JIWE......Kwenye mavyuo sana sana zamani ndio walikuwa picked ila sasa ni kujuana tu ukiwa uvccm au mtoto wa brigedia unaconnectiwa tu.
Ongea zaidi hueleweki uko very short JPM kafariki PSU kastaafu mpaka apangiwe huwezi weka picha yake? Au muelezea zaidi alifaulu ngapi na alikuwa mwamba wa darasa gani?
 
Williedm

JF-Expert Member
Nov 30, 2011
506
250
Habari wana JF, nadhani mko poa sana,niko hapa kuomba ushauri wenu juu ya changamoto nayokutana nayo,nilipokuwa nasoma advanced secondary school bording, nilipoanza form five baada ya kupita miezi kama sita hivi nilikuwa na rafiki yangu mmoja tulikuwa marafiki kama ndugu siku mmoja aliniuliza swali, "hivi wwe ni afisa wa usalama wa utaifa".

Nilishangaa sana aliponiuliza swali kama hilo, nikamuuliza kwa nni ameniuliza swali kama hilo, akanijibu kwa sababu baadhi ya wanafunzi na walimu wanaamini hivyo, akadai wanafunzi wengi huwa wananijadili kimya kimya pasipo mmi kujua na wamefanya tafiti zao wengi wanahisi mmi ni usalama wa taifa,nikamwambia rafiki yangu mmi sio afisa usalama taifa na hao watu wa usalama wa taifa mmi siwajui,

Lakini alionekana kutoamini maneno yangu,!nilipokuja kufanya uchunguzi pale shuleni nikagundua baadhi ya wanafunzi na walimu walikuwa wananiogopa na nikahisi pengine sababu wanahisi mmi ni usalama wa taifa,hali hiyo ilinipelekea mmi kuondolewa katika adhabu za wanafunzi wote,Mara nyingi nilikuwa nikisamehewa kwenye adhabu.

Sasa miaka mingi imepita bado nafananishwa na usalama wa taifa,sasa hivi mmi ni mfanya biashara baadhi ya watu bado wanahisi mmi ni afisa usalama wa taifa baadhi ya marafiki na wafanyabiashara wenzagu wameshawahi kuniuliza kama mmi ni usalama wa taifa,nikawakatalia lakini wanaonekana bado hawajaamini.

Sasa hivi baadhi ya ndugu zangu wameniuliza hilo swali,nikawaambia mmi sio afisa usalama wa taifa,lakini hawakuniamini,babu yangu alikuwa commissioner mkubwa wa jeshi la polisi nilipokuwa Niko mdogo nikiwa darasa la saba,aliwahi kuniambia tabia zangu zilivyo nafaa kuwa afisa usalama wa taifa.

Babu yangu alifariki nikiwa bado mdogo,nimekuwa nikiwa nikiyafikiria maneno ya babu kipindi hicho nilikuwa MDOGO nilikuwa sielewi usalama wa taifa ndio kazi gani,sasa nimekuwa nikikutana na changamoto hiyo ya kuitwa afisa usalama wa utaifa.

Hali hii ya kuitwa afisa usalama wa taifa binafsi huwa inanitia wasiwasi kwa sababu inawezekana ikapelekea baadhi ya waharifu kuanza kuniwinda pengine kwa kunihofia mmi labda na wafatilia kazi zao,na wakati Mimi sio afisa usalama wa taifa,wala si wajui wakoje na hata office zao zilipo sijui pia sijawahi kufikiria kufanya kazi hiyo,naombeni ushauri wenu niishi namna gani ili watu waache kunihisi hivyo!
heb tuone sura yako
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom