Recent content by muhulo

  1. M

    Safari ya Andrew Chenge kuwania Uspika wa JMT

    Kukiwa na katiba na NEC hii hata ccm wakisimamisha JUHA atapitishwa na wa tz watampigia makofi. Kwa mtazamo wangu kuna haja vyama vya upinzani kugomea chaguzi zijazo.
  2. M

    Uteuzi wa Mwanasheria Mkuu wa Serikali 2010

    Ninachoweza kujiuliza ni kwann iwe haraka hivyo ? Labda kuna mambo ambayo mkuu anataka yatendeke as soon as possible na yanamhitaji awe officialized kwanza.
  3. M

    Safari ya Andrew Chenge kuwania Uspika wa JMT

    Hii siasa ya tanzania ninaitafakari mwisho nnaona:hippie:. Labda kuna mengi tusiyoyajua kuhusu viongozi wetu na tuhuma zao,hivi siasa yetu na vyombo vya dora vinatenda kazi kwa sheria na utaratibu upi? Inawezekana tukawa tunapost feelings zetu wakati hatuwatendei haki watu kutokana na utaratibu...
  4. M

    GE2010 Ombi kwa professors na wasomi wa Tanzania

    Kitu kikubwa ambacho wanaweza kusaidia kwa mtazamo wangu ni kuzungumzia mapungufu ya katiba tunayo tumia kwa sasa na kuunga mkono watu wote wanaopigania usawa katika medani za siasa. Naamini wanaweza kuanzisha motion ya mabadiliko ya katiba kwa manufaa ya taifa na siyo chama fulani, kwani TZ ni...
  5. M

    Maendeleo mapya: Mabadiliko ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania - Uzalendo

    nimekuwa nikifuatiria programs (discussions) kenye tv chanel kwa muda sasa na wote wanaojaribu kuonngerea katiba wanahitaji mabadiliko ya hii katiba.Insue ni kuwa organisations na viongozi waliopo madarakani hawako tayari kabisa kwa kuona ndo ngao wanayotumia kuendeleza maficho yao. we have to...
  6. M

    GE2010 Dr slaa ahudhurie au asihudhurie kuapishwa kwa kikwete kesho

    Watu kama hawa wanafikiri wana win na kuvutia watu kumbe ndo anabomoa ngome ya ccm kwani wanao access hii forum wanatoka na aina ya wanachama wanao itetea ccm walivyo. Such these guys are need for the verification of where we are and heading with this machinery ccm.
  7. M

    Kaka zangu jitahidini kuulinda uanaume wenu

    Kwann ishangaze zaidi kwa mwanaume? mi naona insue sio nani anampiga mzinga mwenzie bari ni kutokuwepo kwa free conversation ya jinsi ya kuendesha huo uhusiano,mra nyingi hii trend huwa inasababishwa namsingi(mwanzo) wa mapenzi yenu. May take NI BORA KUBORESHA ULICHONACHO KULIKO KUANZA UPYA as...
  8. M

    Anne Kilango achukua fomu ya kuwania spika wa bunge

    Wakuu sasa naona tuwe tunatoa reason/s kutokana na misimamo yake ni jinsi gani anavyo weza kunufaisha au kutokunufaisha taifa. Tunahitaji watu wenye misimamo au slogan ambayo tutampima kwa hiyo la sivyo tuanishe qualities za kuwa spika bora.
  9. M

    GE2010 Dr. Slaa alikuwa anaongoza Kwa 61.6% - Marando

    hivi amani gani we unayozungumzia maana true peace must come from peoples` hearts ndo tuna ipractice physically otherwise tunaahirisha matatizo huku tukiendelea kuigiza
  10. M

    GE2010 Sasa Najiunga Na Chama Cha Siasa Rasmi

    Naunga mkono hoja na nashauri kwa kuwa ni chama cha NGUVU YA UMMA kama ilivyofanyika wakati wa kampeni wananchi wakishirikishwa naamini watachangia na wabunge wa CHADEMA ndo tegemeo la wananchi kwa sasa ndani ya BUNGE tusiwaangushe watanzania wote ndani ya majimbo yetu na yasiyo yetu. Wabunge na...
  11. M

    GE2010 SMS ya Maandamano nchi Nzima Ijumaa Imeanza

    sometime ninapoona yanayoendelea kwa sababu ya NEC ya ccm najikuta machozi yakinitoka ila lazima tu control temper and emotion kama mnataka tufike maana ni Tz wenzetu wenye haki kikatiba kama sisi ila wao wameshika mpini na wanautumia bila kujari. I'm sure we're wise citizens than their...
  12. M

    GE2010 Hujuma kuwanyima Chadema kuwa Chama kikuu cha Upinzani Bungeni

    24Prof Kahigi/CHADEMA.BUKOMBE shy
  13. M

    GE2010 Baada ya kushindwa, apewa m15 na kuukana ushindi wake huko Rombo...

    Nnapopata taarifa kama hizi nnamfikilia mzee wangu Dr. SLAA anavyopigania haki ya wanyonge kwa nguvu nyingi na mazingira yasiyo rafiki afu insue kama hizi zinatokea I don't want to imagine what he is going through. Anyway wakati wengine wanapigania Tanzania yenye neema kwa wote watu wanawaza...
  14. M

    GE2010 [NOT CONFIRMED]: Prof. Mlambiti (wa Uchumi SUA) naye ashinda Ulanga

    nilisikia kwenye taarifa za uchaguzi ch10 japo ilikuwa almost 2400. Kama ni kweli basi prof Kahigi wa Bukombe na Mlambiti wakiwa BUNGENI naamini japo pengo la SLAA ni gumu kuzibika lakini NEW ÅND PROMISSING REVOLUTION IS BEFORE US.
  15. M

    GE2010 Regia Mtema kupata ushindi wa kishindo Kilombero

    mimi nimepiga kura yangu kwenye kituo kimoja ndani ya kambi ya askari magereza,ila kabla ya kufika kituoni asubuhi nilikutana na afisa mmoja wa hapo kambini ambaye ni mzee akaniambia kijana zawadi pekee utakayo nipa leo ni kuchagua CHADEMA na DR.SLAA sikuamini ila ki ukweli nimeongea na askari...
Back
Top Bottom