Elections 2010 Dr. Slaa alikuwa anaongoza Kwa 61.6% - Marando

Nendeni kanisani mkalalamike, waislamu oyeee, ccm oyee, tutaonana 2015. Udini wenu haukufanya kazi kikamilifu
 
oyee kwa kuendesha nchi vibaya! Oyeee!! Mzembe wewe Nani Kakuambia Udini Wana madhehebu yao tofauti tofauti siasa hazina dini Cuf Kivuli we
 
kuchakachua si kosa kama unamuheshimu unayemchakachua.
inapaswa umchakachuaye hasiwe na mashaka na hivyi ndivyo ambavyo watu makini wanafanya lakini kwa umbumbumbu wao wanachakachua tu utafikiri hawakwenda shule na wakiwa na lengo la kupata tu asilima 71-80.
Watu kibao makini wamechakachua maishani na wamefanikiwa kwa sababu walikuwa na heshima kwa wanaowachakachua lakini kwanza elimu mbele na maarifa, huwezi kumchakachua mtu hata kule kwenye ngome yake huu ni upuuzi na kuondoa maana ya elimu kwa sababu kwa sababu tunategemea elimu itusaidie kukabiliana na mazingira yanayotuzunguka.
Inasikitisha sana na aibu kwetu

yafaa kutafakari watanzania, lengo ni lipi ? Ukisema wananyosha vidole na wanasema amani na utulivu , wanatumia amani na utulivu kujinufaisha wao.

Kama babu zetu walijitoa kupigania uhuru na kuwaondoa wakoloni kwa nini kizazi cha sasa kishindwe kujitoa kwa manufaa ya taifa lao!!!
 
Uchakachuaji huu unatisha. Watanzania lazima tuamke na kupigania haki zetu. Hakuna mtu wa kutoka nje atakaye likomboa taifa hili. Saa ya ukombozi ni sasa
 
Kikwete, Makame, Kiravu, Kinana, Makamba na watu wao ndio wameiba kura na kwa hiyo Kikwete hatakiwi kutambuliwa kama raisi wa nchi yetu. Ni mhaini wa Tanzania na tutakuwa tunamuita Mhaini Kikwete hilo tokea sasa ndio jina lake. Hatukutaki Haini Kikwete.
 
Siasa za mfa maji hizo. Acha kutapata. Ni ndoto za mwendawazimu kuamini kuwa eti Dk. Slaa angeweza kumshinda JK. Huo ni upunguani kwelikweli.
Hivi Unategemea Marando- malaya wa kisiasa aseme nini. Kaivuruga NCCR na kuikimbia huku nyuma NCCRimeanza ku-gain power. Sasa amekwenda Chadema. Unategemea asemeje Wakili Mkuu wa kutetea wezi, mafisadi na wanyang'anyi wa haki za watu.
Marando huyuhuyu aliemtetea Mzungu aliyemtumia mbwa wake kumnajisi mwanamke wa Kitanzania. Tokeni kabisa na upuuzi wenu.
Kama mtu unatoa nukuu, zitoe kutoka kwa watu decent na sio watu wachafu wa aina ya Mabere Nyaucho marando.
Angesema Lisu, mimi ningenyanyua masikio yangu na kutafakari na sio kichaa wenu Nyaucho. Akome kabisa kuleta uchochezi hapa.
 
Nendeni kanisani mkalalamike, waislamu oyeee, ccm oyee, tutaonana 2015. Udini wenu haukufanya kazi kikamilifu

? ? ? aisee, kwa mtaji huu nimejua kwanini watu wenye akili timamu wanaichukia CCM? stupidity, ignorance coupled with poverty... duh, long way to go!
 
rasta! Na botswana, namibia iliwacost nini? Huko kwenye utulivu bila kumwaga damu. Tusiige mifano isiyofaa. Na mbona mifano yako imelala hapa hapa tu? Japan, australia na uswisi imewacost nini kujenga amani. Fikiri kama mtu mzima.......amani kwanza

hivi amani gani we unayozungumzia maana true peace must come from peoples` hearts ndo tuna ipractice physically otherwise tunaahirisha matatizo huku tukiendelea kuigiza
 
Back
Top Bottom