Uteuzi wa Mwanasheria Mkuu wa Serikali 2010

Msitegemee any changes. Is just the same wine in a new bottle.

SERA NI ZILEZILE ZA CHAMA TWAWALA-CCM.
MIJITU NI ILEILE NA SURA NI ZILEZILE. Watateuana,wataapishana halafu wataenda Ngurudoto kwenye ati SEMINA ELEKEZI kwa ajili ya ule motto wa sasa wa KASI ZAIDI,ARI ZAIDI NA NGUVU ZAIDI kuelekea kwenye UFISADI.

Siajabu in 1-2 years askari wake wa miavuli wakaanza kupata ajali mmoja mmoja mpaka WM na baada ya hapo Baraza la Mawaziri linavunjwa na serikali inaundwa upya na watu wanaendelea kutafuna PESA YA WALIPA KODI kwa kasi zaidi,ari zaidi na nguvu zaidi.

Mpaka 2015 Wadanganyika watakuwa hoi bin taabani. Let's just wait and see.
 
Ninachoweza kujiuliza ni kwann iwe haraka hivyo ? Labda kuna mambo ambayo mkuu anataka yatendeke as soon as possible na yanamhitaji awe officialized kwanza.
 
Ofisi ya Msajili wa mahakama imetangaza kuwa Jaji mkuu wa Tanzania ataapishwa kesho jumatatu. Lakini bado inasemekana Rais hajamteua Jaji mkuu.

Tunajiuliza nani sasa jaji mkuu mpya?

Source: Mwananchi Jumapili leo.
 
Back
Top Bottom