Elections 2010 Dr slaa ahudhurie au asihudhurie kuapishwa kwa kikwete kesho

Slaa ni mtu mdogo sana , hata asipo kwenda kuapishwa haisaidii kwani haongezi lolote kwenye uapishaji zaidi ya kuwekwa back bencher na kuwa mtazamaji tu wakati mwenye nchi anaapa. Tutamkaribisha ikulu anywe chai halafu aondoke, si atakuwa ameingia ikulu au .
Issue sio kuwa Slaa mtu mdogo au la... issue ni kukubali matokeo au kutokubaliana nayo. Uchakachuaji uliofanywa haukubaliki hata kidogo, ndio maana hakuna sababu ya kwenda. Wewe unaona hakupunguzi kitu una tatizo, inadhihirisha kuna watu hawafurahii wizi unaofanywa. Hatuwezi kuhalalisha dhambi na dhuluma kwa kisingizio cha utaifa au amani. Utaletaje amani wakati wewe mwenyewe umeihatarisha kwa uchakachuaji? Kama Slaa asipoenda ataonekana ni mtu mwenye msimamo thabiti, kila mtu atakuwa anazungumzia hiyo issue, lazima kuna ujumbe mkubwa tuu unatakuwa umewasilishwa. Message itakuwa ,sent haiwezi kuwa kawaida hata kidogo!
 
Wana jf wa ukweli walikuwepo toka zamani. Wawe na mlengo wa ccm au chadema, walichangia hoja zenye nguvu. Hawa wajinga wanaoingia novemba na kuleta hoja butu wasiruhusiwe kututibua. Tuna hasira tusije vunja pc zetu kwa kutaka kumdunda foolish brain.

Ukweli wa kuiba kura utawasuta maisha yao yote
 
hivi nyie kweli mlidhani SLAA angeshinda??? serious kura hazijaibwa na kama wangeiba slaa asingepata hicho alichopata, ujumbe umeshatmwa kwa ccm, the thing z CHADEMA ijikite vijijini, iache ubiashara(MBOWE), iwe na harakati za ukweli, iache uropokaji(SLAA), then ijaribu 2025!!!

Issue sio kuwa Slaa mtu mdogo au la... issue ni kukubali matokeo au kutokubaliana nayo. Uchakachuaji uliofanywa haukubaliki hata kidogo, ndio maana hakuna sababu ya kwenda. Wewe unaona hakupunguzi kitu una tatizo, inadhihirisha kuna watu hawafurahii wizi unaofanywa. Hatuwezi kuhalalisha dhambi na dhuluma kwa kisingizio cha utaifa au amani. Utaletaje amani wakati wewe mwenyewe umeihatarisha kwa uchakachuaji? Kama Slaa asipoenda ataonekana ni mtu mwenye msimamo thabiti, kila mtu atakuwa anazungumzia hiyo issue, lazima kuna ujumbe mkubwa tuu unatakuwa umewasilishwa. Message itakuwa ,sent haiwezi kuwa kawaida hata kidogo!
 
Kwa matumaini ya wapenzi,wananchama na wapenda mabadilko nchini natuma DR SLAA hatahudhuria shughuli yeyote ya kuhalalisha uchakachuajii wa uchaguzii itakayofanywa na TUME

Dr. Slaa hakuhudhuria wakati wa kutangaza matokeo feki ya uchaguzi na haitaleta maana nzuri kama atahudhuria sherehe za kuapishwa mtawala Jakaya!!
 
Asipoteze muda wake kuhudhuria, atumie muda wake more productively na washauri wake wakusanye evidence za kupeleka kesi mahakamani za majimbo ya segelea, magu, shinyanga, tarime na mengine mengi pia kutoa evidence ya kuiumbua nec kuhakikisha inakufa kifo kitakatifu so that by 2015 this current nec will be where it belongs in the past, infact this nec belongs in the old stone age:A S angry:
 
Hv we GeniusBrain ( LABEIKA )... kila post unayo tuma (WEWE HUPENDI ?) watu wana criticise ( UNATAKA NIKUBALI UPUUZI WENU MNAO WEKA ?) hujisikii aibu (HAKUNA AIBU KWENYE KUSEMA UKWELI ) , halafu acha mizaha ( NIKO SERIOUS) humu ndani watu tupo kwa ajilli ya kuelimishana ( NA MIE NAWAELIMISHA) .... pumbafu mkubwaa (MWENYEWE NA WENZAKO )
Watu kama hawa wanafikiri wana win na kuvutia watu kumbe ndo anabomoa ngome ya ccm kwani wanao access hii forum wanatoka na aina ya wanachama wanao itetea ccm walivyo. Such these guys are need for the verification of where we are and heading with this machinery ccm.
 
hawezi kwenda anaogopa kukutana na Usalama wa taifa LIVE kwa uzushi wake, akitia mguu wanakufa nae. SLAA mzushi na mpenda ukubwa Catholic church lilimuandaa tangu mapema juzi pengo kamtosa anamwambia akubali matokeo. nchi ina wenyewe SLAA kitu gani labda akawe rais wa karatu
 
Tunaongelea mustakabali wa taifa uswahili wako wa pwani hauwezi kubadilisha ukweli kwamba kura zilichakachuliwa na wala hamtaweza kushawishi umma kwa bahati mbaya sana upuuzi ccm uliofanya na usalama wa taifa ni doa litakalobaki kwa muda mrefu,wamukamate nawaone nguvu ya umma ,maneno ya mzuushi umekuwa ni muziki wa CCm ,na serikali na ndio maana haitabadilisha kitu kwa lile wananchi wanachoamini toka yuko bungeni mumeshasema maranyingi kuwa ni mzushi na siku zote
amewabwaga kwa kufanya yale aliyokuwa anawalalamikia
 
Nadhani hakuna haja ya kuhudhuria kwani Chadema haikubaliani na matokeo.. sasa kwa nini kuhudhuria???

Tujipange kufungua kesi kupinga baadhi ya majimbo ambayo CCM wamechakachua Mf. Segerea, Geita n.k.

Pia tunajipanga kuhakikisha kuwa wale wote waliochaguliwa wanatimiza sera na ilani ya chama..
 
Back
Top Bottom