Recent content by Mufa

  1. Mufa

    JamiiForums Tanzania Chadema, Igunga Itufunze kuwa na heshima

    Mimi najua 2015 tunawaangusha ccm kwenye sanduku la kura
  2. Mufa

    JamiiForums Tanzania Membe Alikoroga CCM, kauli yake ya CHADEMA kushika dola yamponza

    Nitakuwa wa kwanza kusema hata nape haipendi ccm ila tu kwsababu ndo jembe (kazi)
  3. Mufa

    JamiiForums Tanzania Kuhusu Bajeti ya mwaka huu serikali ya CCM inakaribia mwisho wake-Dr Slaa

    Jiandae kuapishwa 2015 mana kwanza tutakupigia kura pili tutalinda kura zetu vituoni mpaka tuhakikishe umeapishwa!
  4. Mufa

    JamiiForums Tanzania BAJETI imejaa ulaji wa wakubwa kupitia POSHO,Nitaipinga: MBUNGE WA KISESA { CCM }

    Anatafuta umaarufu mnafiki tungengemuelewa kama angesaini kumtoa waziri mkuu
  5. Mufa

    JamiiForums Tanzania UDSM Rudisheni Mtihani wa Mchujo Kujiunga na Chuo kuchuja Makapi ya TCU

    Watu wengine bwana unaposema wenye uwezo mdogo waende vyuo vingine hivi kuna vyuo vya mabwege tz? Acha kujfanya kwsbabu eti wwe ulisoma udsm unajfanya kichwaaa kumbe boga tu huna content?
  6. Mufa

    JamiiForums Tanzania CHADEMA - SAUT Mwanza kuendeleza harakati za M4C katika kata-Nyambiti, jimbo la Sumve kesho

    Hata huku kanda ya kati tupo bize kuwaelisha hata kwenye daladala
  7. Mufa

    JamiiForums Tanzania Pendekezoluis moreno ocampo njoo tanzania utuokoe

    Imekaa vizuri aje hata kesho asafishe magamba tz
  8. Mufa

    JamiiForums Tanzania Niandikeje mabango ya kubeba kesho kwenye mkutano wetu (CCM) pale Jangwani a.k.a. Chadema-square?

    Andika siku za ccm ikulu za hesabka na nepi azidi kuharakisha kuua chama
  9. Mufa

    JamiiForums Tanzania Mawaziri na Wabunge wa CCM Wazomewa Lindi na Mtwara

    Kesho lazima tuwazomee pale jangwani
  10. Mufa

    JamiiForums Tanzania Aibu kwa CCM...

    Nikisikia neno ccm napata kichefuchefu vile
  11. Mufa

    JamiiForums Tanzania Wanaohama CCM ni vinyago - NAPE

    Deffensive ya ccm imepwaya kwa hiyo chadema wanafunga hata magoli ya mbali
  12. Mufa

    JamiiForums Tanzania Mbowe atakiwa kuachana na siasa kabla ya 2015

    Chadema lazima iingie madarakani tutalinda kura zetu ili magamba yasiibe kura zetu people's power..
  13. Mufa

    JamiiForums Tanzania Chonde chonde wabunge wangu wa CHADEMA

    Mtoa mada bwge kwli hana hata ushahdi
  14. Mufa

    JamiiForums Tanzania Penda usipende CCM inachukua jimbo la Arusha kwenye uchaguzi mdogo

    Nazani mtoa mada anaota mchana kweupe!
  15. Mufa

    JamiiForums Tanzania Amini usiamini, CCM ina jukumu la kutupatia Rais bora mwaka 2015...

    Halafu mtu mzima kuwa mnafki vbaya kweli hvi unajita mara mwanakijji na mara.... Tumekundua umetumwa na magamba kwa hyo umechelewa mno umekumbuka shuka kumekucha subiri 2015 uone rais toka chadema
Back
Top Bottom