Mbowe atakiwa kuachana na siasa kabla ya 2015 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mbowe atakiwa kuachana na siasa kabla ya 2015

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mwanajamii, Jun 8, 2012.

 1. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #1
  Jun 8, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  Katibu wa CCM katika Manispaa ya Moshi amesema Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa FREEMAN MBOWE amefilisika kisiasa na kumtaka aachane na siasa kabla ya 2015 ili akaendelee na biashara zake.

  Katibu huyo amesema hayo siku chache baada ya MBOWE kusema akiwa mikoa ya kusini kuwa CCM ikinusurika 2015 ataachana na siasa.

  Katibu huyo wa CCM alisisitiza kuwa hiyo ni ndoto ambayo MBOWE alikuwa akiiota mchana kweupe kwa vile tayari wananchi wameshajua janja ya CHADEMA na kamwe hawawezi kuwapa ridhaa ya kuongoza nchi.

  Aidha Katibu huyo amewashambulia viongozi wa CHADEMA jinsi wanavyowalaghai wananchi kwa hoja ya mfumuko wa bei, tatizo ambalo ni la nchi zote za Afrika.

  Amewataka wawaeleze wananchi namna ya kuondokana na umaskini badala ya maneno ya ulaghai.


  Source: Mwananchi.
   
 2. silaha

  silaha Member

  #2
  Jun 8, 2012
  Joined: Jun 8, 2012
  Messages: 60
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  na hakika kama chadema ikichukua nchi 2015 mi nahama nchi!
   
 3. Mvaa Tai

  Mvaa Tai JF-Expert Member

  #3
  Jun 8, 2012
  Joined: Aug 11, 2009
  Messages: 6,174
  Likes Received: 2,175
  Trophy Points: 280
  Nilidhani hayo maneno yametolewa na mtu makini
   
 4. m

  mgeni wenu JF-Expert Member

  #4
  Jun 8, 2012
  Joined: Jan 2, 2012
  Messages: 3,669
  Likes Received: 614
  Trophy Points: 280
  kwa nauli ipi wakati hata misiba ya kijijini kwenu huendi?
   
 5. Imany John

  Imany John Verified User

  #5
  Jun 8, 2012
  Joined: Jul 30, 2011
  Messages: 2,776
  Likes Received: 262
  Trophy Points: 180
  Aksante sana kwa useful answer!
   
 6. Mufa

  Mufa Member

  #6
  Jun 8, 2012
  Joined: Oct 2, 2011
  Messages: 36
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Chadema lazima iingie madarakani tutalinda kura zetu ili magamba yasiibe kura zetu people's power..
   
 7. Filipo

  Filipo JF-Expert Member

  #7
  Jun 8, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 9,330
  Likes Received: 210
  Trophy Points: 160
  Katibu wa CCM manispaa ya Moshi ana nini cha kumweleza Mbowe!?

  Baada ya chini ya CHADEMA Mbowe kushinda udiwani kata 18 kati ya 21 mjini Moshi, nadhani yeye kama katibu ndiye aliyetakiwa kuachana na siasa!

  Kweli CCM ipo kinyumenyume! Chama chake kimesambaratishwa kabisa huko Moshi mjini na yeye bado yupo ofisini! Anyway, labda niseme hivi, ccm yashinda udiwani kata 3 Moshi mjini!!!
   
 8. Ringo Edmund

  Ringo Edmund JF-Expert Member

  #8
  Jun 8, 2012
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 4,895
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  Kama katibu mwenezi wa chama anaongea pumba vipi katibu wa mkoa tena moshi aongee kitu chenye akili?
  Pumba =utumbo
   
 9. KASHOROBANA

  KASHOROBANA JF-Expert Member

  #9
  Jun 8, 2012
  Joined: Jul 30, 2011
  Messages: 3,249
  Likes Received: 406
  Trophy Points: 180
  Uyo katibu wa CCM wa manispaa ya moshi atakuwa anatumia makalio kufikili na asijilinganishe kabisa na mh mbowe.

  Kwanza mh mbowe siyo saizi yake, zaidi anasukumwa na kujipendekeza kwa mafisadi walojaa CCM, ajue tanzania tumeamka hatutarudi nyuma mpaka kieleweke na tutazilinda kura zetu mpaka CCM ing'oke madarakani maana mtaji wenu mkubwa ni wizi wa kura.

  Pia unaongea nini wakati wakati jimbo lako pia meya wa apo anatoka chadema, wewe njaa tu inakusukuka, nakushauri heri uachane na siasa aende akalime maanayake ata CCM apo moshi haikubaliki
   
 10. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #10
  Jun 8, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,985
  Likes Received: 441
  Trophy Points: 180
  Acheni uzushi Moshi hakuna chama kama hicho
   
 11. Lyimo

  Lyimo JF-Expert Member

  #11
  Jun 8, 2012
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 3,828
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  Nimepata tafasiri nyingi kulingana na maneno yako, ila kwa kifupi sana naona unajitahidi kulinda kibarua chako.
   
 12. msnajo

  msnajo JF-Expert Member

  #12
  Jun 8, 2012
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 2,458
  Likes Received: 331
  Trophy Points: 180
  ha ha ha hab!! Kwamba Msh hakuna nyinyiem?? Dah.., you make my day buddy!
   
 13. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #13
  Jun 8, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Mbowe alikuwa anapiga alinacha. Anafikiri watu wanapewa tu waongoze nchi.

  Asidanganye wananchi wala kujidanganya yeye mwenyewe. Apande ashuke, uongozi wa nchi hii atausikia kwenye vyombo vya habari tu na kwenye ndoto zake za mchana.
   
 14. AdvocateFi

  AdvocateFi JF-Expert Member

  #14
  Jun 8, 2012
  Joined: Jan 15, 2012
  Messages: 10,703
  Likes Received: 590
  Trophy Points: 280
  Sasa huyo katibu kumbe ni wa moshi huko? Yani anataka kujipaisha kupitia Mbowe? Kwanza haya maneno kayaongelea chooni au? Anatakiwa amguse kwanza Lowasa ndo aje kwetu huyo mbwiga. Eboooo!
   
 15. AdvocateFi

  AdvocateFi JF-Expert Member

  #15
  Jun 8, 2012
  Joined: Jan 15, 2012
  Messages: 10,703
  Likes Received: 590
  Trophy Points: 280
  Tatizo mihadhara na shuhuli vishakuharibu akili mbwiga ww!
   
 16. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #16
  Jun 8, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Na wewe ni kipi kilichokuharibu akili? Ndum?
   
 17. b

  baraka boki Senior Member

  #17
  Jun 8, 2012
  Joined: Sep 20, 2010
  Messages: 181
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 0
  unahama unaenda wapi we mnyasa wa malawi

  message send from samsung android from jamiiforums
   
 18. AdvocateFi

  AdvocateFi JF-Expert Member

  #18
  Jun 8, 2012
  Joined: Jan 15, 2012
  Messages: 10,703
  Likes Received: 590
  Trophy Points: 280
  du...!
  Basi mkuu zomba hebu tuachane na hayo mambo, karivu CDM kuu wangu tufanye mabadiliko.
   
 19. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #19
  Jun 8, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  CDM kwanza muanze kwa kuiendesha kidemokrasia, ikiwa hata viti vya ubunge vya upendeleo mnapeana kikanda, utawala ndani ya ofisi za cdm kiuchumba, halafu unataka wenye macho tuhamie huko?

  Muulize TUNTEMEKE.
   
 20. Daudi Mchambuzi

  Daudi Mchambuzi JF-Expert Member

  #20
  Jun 8, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 31,788
  Likes Received: 36,790
  Trophy Points: 280
  Katibu wa ccm manisapaa ya moshi na Mh.Mbowe wapi na wapi kunguru kunyea manati??

  Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
   
Loading...