Penda usipende CCM inachukua jimbo la Arusha kwenye uchaguzi mdogo

Wewe unatafuta thread yako ipate wachangiaji wengi kwasababu humu ndani CDM wapo wengi kwa taarifa yako thread kama hizi hunipati
 
Ili ccm iwe safi inabidi viongozi wote waondoke ccm maana yake imeoza na inanuka kwa ufisadi.
 
Naona umekuja kupima upepo...! Poleeeeeee... CHADEMA na vijana=samaki na maaji, ukiwatoa wanakufa
 
Kweli vijana wa CCM mmekumbukwa!

DSC_6309.jpg
Ahsante mkuu nimeipenda
 
Sasa hivi sisi vijana wa Arusha tunategemea kujiondoa CHADEMA na kuhamia CCM, kwa sababu CCM imeanza kumkumbuka kijana wa kitanzania na inaonyesha njia ya kutatua matatizo ya rushwa, ufisadi, makundi mbalimbali. Kama unachukia wewe chukia tu, habari ndiyo hiyo. :first:
Wewe si kijana, bali ni mzee uliyechoka. Hakuna vijana wowote wanaoweza kutoa mawazo kama yako hapo Arusha. Mbona huelezi ni kitu ilichoanza kuwafanyia hiyo ccm yako.Kwanza wewe haupo cdm bali upo huko huko ila inataka support ya vijana unaotamka.
 
Sasa hivi sisi vijana wa Arusha tunategemea kujiondoa CHADEMA na kuhamia CCM, kwa sababu CCM imeanza kumkumbuka kijana wa kitanzania na inaonyesha njia ya kutatua matatizo ya rushwa, ufisadi, makundi mbalimbali. Kama unachukia wewe chukia tu, habari ndiyo hiyo.



Mwanangu, nakupa pole kwa matumaini ya KUSADIKIKA, wewe nadhani si wapa A town, tuulize sisi tutakaopiga kura kama itaamuriwa otherwise, kituo chako wewe ni kipi?.
 
Hizo ni ndoto tu jamani muacheni akiamka toka usingizini atakumbuka yuko r-chuga na hayo yote anayoyaongea atasahau kama sio kuyakana. Arusha mwendo ni mmoja mpaka kitaeleweka tu hakuna magamba hapa kuingia.
 
sio njaa, wala sina njaa ya kuchukua buku yako.Bali tunataka kujenga nchi sio kuzunguka nchi nzima na kuchangisha hela kama kanisani. Turudi na wale walio onyesha dhamira ya kupokelewa na Nape wasikate tamaaa.Turudi Tujenge chama na kuwatetea wanyonge.Dhamira ya kweli haikwamishwi na propoganda za majukwaani.
 
Sisi - wingi
Mimi- umoja
Tafathali zingatia matumizi ya umoja na wingi.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Watu wengine wa ajabu sana mtu mwenyewe anayeleta thread anapiga day waka south Africa wala hajui Arusha ipoje zaidi ya kuisoma kwenye mitandao kama hii leo anajifanya yupo Arusha!! ukiendelea nitakutaja kwa jina acha nipigwe ban no problem!
 
Mimi nipo Arusha na ni mwanachama wa CHADEMA lakini nimeshapata ushawishi wa vijana 10000 mpaka sasa hivi wenye kadi za CHADEMA. Kwa hiyo namsubiri Nape afike A - TOWN kuvisha watu uzalendo.Na muelewe kwamba nguvu ya uma ipo CCM.

Ohh Realy!
 
mimi nipo arusha na ni mwanachama wa chadema lakini nimeshapata ushawishi wa vijana 10000 mpaka sasa hivi wenye kadi za chadema. Kwa hiyo namsubiri nape afike a - town kuvisha watu uzalendo.na muelewe kwamba nguvu ya uma ipo ccm.
nakuhurumia sana kwa kuwa umekua binadamu wa kwanza kuonyesha udhaifu wa hali ya juu ninamashaka hata kama unaitambua jinsia yako maana unaweza kuomba kubadilisha at any time ukipata ushawishi tu.
 
Hapa ndipo CDM wanajidanganya wakati wote,subirini mtaona kama Arusha kuna wana CCM au la! CCM inajipanga vizuri sana sasa hivi na kwa taarifa ya msiofika Arusha LEMA hana tena nafasi ya kushinda uchaguzi huo kwa wanaobisha waandae vilio kwani hamchelewi kusema kaabiwa kumbe wana Arusha wengi wenye akili wameisha muona hana lolote kwani tangu amechaguliwa hakuna alichofanya zaidi ya kuchochea vurugu zisizo za msingi na kufanya Arusha ionekane inavurugu sana kiasi cha kuatarisha utalii unaotegemewa sana na wana Arusha katika kuinua maisha.
 
Sasa hivi sisi vijana wa Arusha tunategemea kujiondoa CHADEMA na kuhamia CCM, kwa sababu CCM imeanza kumkumbuka kijana wa kitanzania na inaonyesha njia ya kutatua matatizo ya rushwa, ufisadi, makundi mbalimbali. Kama unachukia wewe chukia tu, habari ndiyo hiyo. :first:

katika vijana na wewe unajihesabu?....teh!,teh!,teh!
 
Sasa hivi sisi vijana wa Arusha tunategemea kujiondoa CHADEMA na kuhamia CCM, kwa sababu CCM imeanza kumkumbuka kijana wa kitanzania na inaonyesha njia ya kutatua matatizo ya rushwa, ufisadi, makundi mbalimbali. Kama unachukia wewe chukia tu, habari ndiyo hiyo. :first:

tutole hapa ujuha wako w Mbwiga mkubwa. Ebooo!
 
Back
Top Bottom