Recent content by mtwamvina

  1. mtwamvina

    Viongozi wa Afrika warekodiwa wanavyofanya matanuzi makubwa wakiwa Marekani

    Mimi siwalaumu wao kula bata. Nadhani hii iko ndani yetu kama asili. Tatizo ni unakula bata kwa kutafuta na kutumia akili yako? Umeitumikia nafasi yako ipanavyopaswa. Kwa rasilimali zilizopo Africa kiongozi anaejilewa anaweza kula bata na maisha ya waafrika wenzake bado yakawa mazuri. Kwa pamoja...
  2. mtwamvina

    Nusu ya wanaume Ulaya hawafui mashuka yao. Just Imagine Tanzania hali itakuaje?

    Kati ya vitu vilivyonishinda ni kutumia tissue halafu nibaki comfortable. Sent from my Infinix X624B using JamiiForums mobile app
  3. mtwamvina

    Bibi ameiona Christmas na chupa ya Remmy Martin kutoka kwa mjukuu wake anaeishi Ulaya

    Ndio kafanya la maana, sababu yeye ndio anajua mahitaji ya bibi. Kufanya bibi afurahi ni muhimu zaidi.
  4. mtwamvina

    Asanteni sana Uongozi wa Simba SC na Bodi ya Simba SC kutusikiliza 'Wadau' na kuamua kuwa Mchezaji Ousmane Sakho 'hatotemwa' Kikosini

    Anaekuchukia wewe kwa kua na uthubutu wa kusema mawazo yako inapaswa ajichukie yeye kwanza. Una jeuri (sorry kwakutumia neno hili) na uthubutu kamili usio na shaka kwenye kile unachoamini. Endelea kua wewe, anaechukia uandikacho ni ana matatizo.
  5. mtwamvina

    Ananitaka kimapenzi kisa kanikuta na mwanae

    Hilo halihitaji ushauri, kwa sababu ni uamuzi wako baada ya kupima faida na hasara zake. Ila pia ninaomba kukushauri nje ya hilo. Nimesoma hapo juu kua hivi karibuni unaanza kusoma elimu ya juu. Ushauri wangu kwako sasa ni " anza kujitahidi kuandika vitu katika mpangilio mzuri na herufi pia...
  6. mtwamvina

    Aliyekuwa mke wangu(mama Agness) na jamaa yake wamefariki dunia kwa ajali ya pikipiki

    Sio maigizo. Hivi katika diunia hii kuna mtu ambae hajapitia maumivu ya msiba? Kila mtu anapitia maumivu yake kwa namna yake
  7. mtwamvina

    Aliyekuwa mke wangu(mama Agness) na jamaa yake wamefariki dunia kwa ajali ya pikipiki

    Unampangia mtu namna ya kuumia? Kama faraja yake ni kuandika jf anakua amekosea? Kila mtu ana namna yake ya kuyapokea maumivu
  8. mtwamvina

    Tanzania yatia aibu huko Olympic

    Bado tunahangaika na gaidi asie na silaha nchini kwetu. Olympic tutaendacrukiwa tayaricnacamami ndani ya nchi. Kwa sasa acha tupambane na ugaidi kwanza
  9. mtwamvina

    Gharama za kuwapeleka watoto JKT ni mzigo mkubwa kwa wazazi

    Enzo za JK serikali iligharamia kila kitu, hadi nauli ya kwenda hit ilirudishwa. Kwa sasa gharana zote ni jukumu la mzazi
  10. mtwamvina

    Nadhani nusu ya Wanawake Tanzania hawafai kuolewa

    Kama nusu ya wanawake hawafai kuolewa, je kiasi gani cha wanaume wanafaa kuoa? Nadhani pia ndoa ziendane na majira na nyakati. Katika hili isiangaliwe jinsia I la iangaliwe ndoa yenyewe
  11. mtwamvina

    Ninataka nirudie mtihani wa Form 4, naomba ushauri wenu

    Nakushauri kabla ya kurudia mitihani ya kidato cha nne fanyia kazi uandishi wako, kama kweli una nia. Ila tofauti na hapo jishughulishe na mambo mengine.
  12. mtwamvina

    Spika Ndugai ataka Walimu waongezewe kazi wafundishe masomo kuanzia matatu ili kupunguza uhaba wa Walimu

    Nashukuru Nina uvumilivu wa kusoma kitu mpaka mwisho. Tofauti na hapo ningekutukana. Nisamehe maana nilianza kukutafutia laana ya kukupa.
  13. mtwamvina

    Maisha ya ndoa anayo pitia ndugu yangu ni mateso, je amelogwa?

    Amekuambia chukua vitu vyako uondoke. Sasa tatizo Ni nini? Tafuta chumba kimoja kaishi huko. Una angalau vya kuanzia. 140 si tatizo tatizo Ni uoga wako. Wewe mwenyewe umekiri hamna future. Sasa wataka kubaki kufanya nini. Kwa nini uteseke kwa mawili wakati unaweza kupunguza moja. Ondoka na uwe...
  14. mtwamvina

    Natafuta kazi ya usafi au kulea watoto

    Kwani G1 umeshaacha?
  15. mtwamvina

    Hivi wengine wanapata wapi ujasiri wa namna hii?

    Haihitaji reference, Kama familia ama wahusika mnapanga tarehe ya kuadhimisha ibada. Ndio nijuavyo mimi
Back
Top Bottom