Hivi wengine wanapata wapi ujasiri wa namna hii?

Mungu ni roho. Huanza rohoni then hujidhihirisha mwilini.
Haimaanish ndoa haitodumu.
Ni kweli kabisa Mungu ni wa ishara na maajabu kama huwezi kujua au kutambua signal anazokupa utaingia kwenye majanga bila kujua na ukaangamia na ndiyo maana kuna ndoto waliota Manabii kuwaonya waliokusudiwa kuonywa na kupewa tahadhali na hilo lilikuwa onyo ndoa iahirishwe azikwe mama kwanza kisha mengine yaendelee
 
Hawa wanawake Hawa..

Wewe unaweza hivo, mama yako akiwa ndani ya jeneza?

Ndoa? Ndoa ushuzi gani mbele ya kifo Cha mama mzazi?
Wangesogeza ndoa Siku mbili au hata mwezi kama ukumbi kupata ingekuwa shida
 
Ni kweli kabisa Mungu ni wa ishara na maajabu kama huwezi kujua au kutambua signal anazokupa utaingia kwenye majanga bila kujua na ukaangamia na ndiyo maana kuna ndoto waliota Manabii kuwaonya waliokusudiwa kuonywa na kupewa tahadhali na hilo lilikuwa onyo ndoa iahirishwe azikwe mama kwanza kisha mengine yaendelee
Kwamba Mungu aliwaotesha hiyo ndoto wakakataa?
Unaishi na Mungu ww?
Akwambia kuwa amewaotesha?

Acha story za kusadikika bro. Mungu huongea na kila mtu kwa njia ya tofauti.
 
Wasadikika husadiki kile wanchosadiki bila kusadiki hata uwepo wa yote ni bure , Carry on.
TPX JIHADHALI TPX NAFUTKA.
 
mbona kawaida,, ni kwamba kilA kitu kifanywe uropa. akifanya mzungu mnasema amevunja record inaingia ad kwenye GuinessBook. akifanya mkwetu tunasema ushirikina.. mi naona fresh mama nae amehudhuria kimwili japo roho haipo tena
 
Huna mamlaka ya kumuombea laana mtu , Nyie walokole akili zenu ni za hovyo.
Wakati ndoa inafungwa wengi wanafikiri wanapaswa kushereheka, lkn wakat mwili ukiwa kwenye jeneza, watu hawajui Nini wanatakiwa wafanye badala ya kulia na kufanya maombolezo.

Mungu anajua ukuu wa ndoa, na ukuu wa umauti. Kwa waislam wanajua ndoa maana yake, na msiba, baada ya kuzika, ndoa inhefwata.labda tatizo ni kuunganisha

Sent from my itel A44 using JamiiForums mobile app
 
Wakati ndoa inafungwa wengi wanafikiri wanapaswa kushereheka, lkn wakat mwili ukiwa kwenye jeneza, watu hawajui Nini wanatakiwa wafanye badala ya kulia na kufanya maombolezo.

Mungu anajua ukuu wa ndoa, na ukuu wa umauti. Kwa waislam wanajua ndoa maana yake, na msiba, baada ya kuzika, ndoa ingefwata.labda tatizo ni kuunganisha

Sent from my itel A44 using JamiiForums mobile app
Nilipo bold ndiyo kinachokuza mjadala tofauti na hilo hakuna tatizo.
 
Ni kutojielewa tu. Hizi ni sherehe mbili tofauti. Kila sherehe kwa namna yake. Huwezi kuunganisha sherehe ya ndoa na msiba. Inawezekana ndoa hii ni ya masharti ya kiushirikina na ilikuwa lazima ifanyike hata kitokee nini.
 
Mbona its OK? Ni ubunifu huo. Dunia ya sasa inahitaji wabunifu kama hao 😂
Ni kutojielewa tu. Hizi ni sherehe mbili tofauti. Kila sherehe kwa namna yake. Huwezi kuunganisha sherehe ya ndoa na msiba. Inawezekana ndoa hii ni ya masharti ya kiushirikina na ilikuwa lazima ifanyike hata kitokee nini.
 
Kama ni mzee miaka 99, mbona ni sherehe tosha?!
Ni kutojielewa tu. Hizi ni sherehe mbili tofauti. Kila sherehe kwa namna yake. Huwezi kuunganisha sherehe ya ndoa na msiba. Inawezekana ndoa hii ni ya masharti ya kiushirikina na ilikuwa lazima ifanyike hata kitokee nini.
 
Mhmmm dunia inaelekea pabaya sana,mungu tusamehe.
Hiv jamn point yake kwamba alitaka mama ake ashuhudie ndoa yake kabla hazikwa sioni kama inamsingi wowote.
Ninacho kifikilia wamama wengi wanatamani watoto wao wafunge ndoa angali wakiwa wai hai,lakn tayari ashakufa.
Sidhani kama uko aliko amefurahia mwanae alichokifanya.
Mungu tusamehe sisi ni wakosefu.
 
Hawajui mkanganyiko walioutengeneza kiroho happy,
Ukisikia laana....
Ndo iyo na wataipata.
Siwana kulitafuta
Ni upi mku,unge dadavua kidogo.
Pengine una kitu cha kujifunza.
Ukiishia dilema kama hivi wataishia kukuita Jinga.
 
Mkuu ndoa hupangiwa tarehe kifo hakipangiwi tarehe kwani angekufa mmoja wao ndoa ingeendelea tu kwakuwa ratiba yao ilikuwa hivyo? Khantwe mbona mnahalalisha mambo yasiyowezekana hata kwa shetani??? Au ulishaona wapi nyimbo za maombolezo zikaimbwa msibani na za msiba zikaimbwa harusini? Hata waliowafungisha ndoa nina mashaka na hilo kanisa na viongozi wake kwa ujumla.
Aisee, sikutegemea kuna watu watashikia bango hili suala, kweli binadamu tunatofautiana
 
Ukiona watu wanakomalia jambo ujue halipo sawa na halijawahi kusikika popote duniani Msiba na ndoa vikachanganywa pamoja.
 
Mkuu ndoa hupangiwa tarehe kifo hakipangiwi tarehe kwani angekufa mmoja wao ndoa ingeendelea tu kwakuwa ratiba yao ilikuwa hivyo? Khantwe mbona mnahalalisha mambo yasiyowezekana hata kwa shetani??? Au ulishaona wapi nyimbo za maombolezo zikaimbwa msibani na za msiba zikaimbwa harusini? Hata waliowafungisha ndoa nina mashaka na hilo kanisa na viongozi wake kwa ujumla.
Haya Mambo yakuangalia vitu kwa namna tunavyoona n sahihi kutokana na Iman na akili zetu. Kwao wameona ni sahihi n ahakuna jambo baya lolote lililotokea kwann nyie muanze kusema ni ushetani.
Akili mgando cam on think out of the box.
 
Back
Top Bottom