Aliyekuwa mke wangu(mama Agness) na jamaa yake wamefariki dunia kwa ajali ya pikipiki

we jamaa mkuda sana, uliona ugumu gani kumsamehe mama Agness? na unaonekana bado unampenda

RIP mama Agnes
 
Nimepigiwa simu kuwa aliyekuwa mke wangu(mama Agness) amepata ajali mbaya ya pikipiki maeneo ya Mtoni Mtongani, kwa Buruda. Ajali hiyo imepelekea kifo chake na jamaa yake hapohapo. Kwani jamaa ndiyo alikuwa dereva wa pikipiki hiyo.

Daah huu mwaka umeniijia vibaya sana sana sana mpaka sielewi juu ya haya matukio yanayonitokea kuhusu mama Agness maana yamefuatana sana.

Dunia dunia dunia ni sehemu mbaya sana kwangu.

Raha ya milele umpe ewe bwana.....

Pumzika kwa amani mama Agness.
Pole sana mkuu
 
Mzee baba isijekuwa wewe una mkono wako kwenye ajali hii iliyopelekea kifo cha mama Agness?

Wivu wa mapenzi ni mbaya sana na sometimes jealous can make people do unfortunate things.

Anyways, nakupa pole hasa watoto kwa kumpoteza mama yao.
 
Sio maigizo. Hivi katika diunia hii kuna mtu ambae hajapitia maumivu ya msiba? Kila mtu anapitia maumivu yake kwa namna yake
Hivi umesoma vizuri alichoandika mtoa post? Ndo kwanza kapigiwa simu kwa maelezo yake ni muda mfupi kabla hajaandika, analaumu huu mwaka umemjia vibaya na dunia ni mbaya kwake. Inaonesha ni jinsi gaani huu ni msiba mkubwa kwake lakini huyu mtu kapata nguvu ya kutype huku JF inawezekana kabla hata hajamtaarifu Agnes kuhusu huo msiba.
 
We jamaa hakuna mkono wako kwenye hii ajali kweli? Polisi wanaweza kuanza uchunguzi wa mauaji mara moja kwa kumkamata huyu jamaa
 
Ila MAGALLAH R kwa hadithi za uongo unazotaka kutuaminisha kuwa ni ukweli hujambo.. Mimi uliniingiza chaka maramoja tu ile story yako na yule mdada wa Mwanza .. Kumbe ulikuwa wewe mwenyewe
Liongo sana hili jamaa. Sasa hapa linataka kutuaminisha eti Mungu kalilipizia kisasi kwa kuachwa na mke na akaenda kuolewa na mwanaume mwingine!
 
Daaah pole mkuu maumivu zaidi ya maumivu, tusiseme sana tukaja kukufuru bure, roho zao ziende sehemu inayostahiri pole sanaaa
 
Back
Top Bottom