Recent content by mtukwao2

  1. M

    JamiiForums Tanzania naitaji tempo wakubwa

    hapo usiende mkuu itakuwa imkula kwako nakushauri ukae tu home uwe unamsaidia bi mkubwa kupalilia bustani , mikataba bubu kama hiyo waachie sisiem ilishapitwa na wakati!!!!!!!
  2. M

    JamiiForums Tanzania Msichana wa kazi anahitajika!

    Atakuwa analala na nani?
  3. M

    JamiiForums Tanzania Hivi huyu alinipenda kweli?

    huyu kweli ni wa kutiwa moyoni! kutongoza hawezi akitongoza anaringa... jipange upya hiyo kibarua ilishaacha majani!
  4. M

    JamiiForums Tanzania Bungeni Live: June 19, 2012

    umesomeka mtu mzima!
  5. M

    JamiiForums Tanzania mama Mungu na akunyime akili kama hii..............lol!

    mzee kacheza fair game, kwa maneno machafu huyo dogo alomtolewa kwa wengine kwa sababu ya hasira tungelikuwa tunazungumzia matiba ya mazishi na rambi rambi! haki ya nani ding angu hata kama amezeeka vip kwa hizo kauli akikushindwa atakuvizia usiku akuchinje!
  6. M

    JamiiForums Tanzania Anataka kunitumia?

    kazi ni kazi, cha msingi mkataba kwanza msaini (majukumu na wajibu wa mwajiri na mwajiriwa) usiwe mzembe kufatilia mafao yako baada ya kazi!
  7. M

    JamiiForums Tanzania Zima taa!...mwenzio naona aibu!

    chakula gizani? utakujatafuna konokono!
  8. M

    JamiiForums Tanzania Hivi huyu kongosho mwanaume au mwanamke?

    Google neno shemale, ndo kundi analopatikana huyo kiumbe.
  9. M

    JamiiForums Tanzania "A woman of my dreams" 25years later...

    ninahitaji support kuiprove UJUHA IS DIRECT PROPORTIONAL TO UMRI! Msaada wadau!
  10. M

    JamiiForums Tanzania Namtaka mke wa kakangu kimapenzi nifanyeje

    halafu nahisi kama kidogo changu hiki!!!!!!!!!! kama kweli utakuwa ndiye wewe jaribu kulala na mke wangu kama ndo shukrani ya wema niliokutendea na ninaozidi kukutendea utajua kwa nini nina pumbu moja! funza zimekuisha miguuni sasa unatamani kurudi kijiji.
  11. M

    JamiiForums Tanzania She can't even text a well written and easily understood sms..gosh!!

    mwombe akufundishe lugha anayotumia ili mwende sawa!
  12. M

    JamiiForums Tanzania To Mbowe and Slaa: Mtwara magamba mmewashika pabaya!

    :evil::evil::evil::crazy:
  13. M

    JamiiForums Tanzania Eti ananichukia sana...

    atakuwa na mimba isiyojifungulika, ndo tabia zao!!!!!!!!!!
  14. M

    JamiiForums Tanzania Dada wa Kikenya alipotaka ku..Aliniambia huku ananiangalia machoni!!. . . .

    ulishazoe kula kwa shida ndugu, ila hukumtendea haki dada wa watu...... mlipewa bure nanyi toeni bure... huku kubaniana mpaka lini???? inanikumbusha nilivyojisikia one day nilivyokuwa na shida nacho nikannyimwa!!!
  15. M

    JamiiForums Tanzania Mdahalo Shirikishi: Watanzania Waarab au Wahindi wako wapi kwenye uongozi wa taifa letu?

    Nendeni kwao hao wahindi muone kama hata kazi ya kufagia choo mtapewa.... wakati watu katika nchi zao wanatengeze mazingira ya kuwafeva wananchi wao kwa kuwapa kipawa mbele sisi tunajiandaa na kubuni njia za kuwafeva wageni.... nchi nyingi duniani kigezo cha kwanza cha kuajiri lazima uwe raia...
Back
Top Bottom