She can't even text a well written and easily understood sms..gosh!!

Nawasiwasi na uwezo wake wa kuchanganua mambo..she can't even send a well written and easily understood text, lazima utumie kama nusu saa kuelewa amendika nini..and yet you still love her..akijieleza unachukua muda tena kuelewa anataka nini..sijui tatizo ni umri wake?? au mimi ndio mzee sana..9 yrs difference!!!

mwombe akufundishe lugha anayotumia ili mwende sawa!
 
Kongosho, kuna wengine wanaboa kweli: 2o8 ltr, nago str8 hm.:confused2:

Najua inaboa mno, na mie ndo huwa sielewi kabisa.
Lakini naona kama anampenda kama anavyosema, atamfundisha jinsi ya kuwasilaiana.
Angekuwa kicheche je?
Angalia na tofauti ya umri miaka 9 sidhani kama atashindwa fundishika unless ana matatizo ya akili.
 
take it easy, yupo mbaba najua ana miaka 41,mkichat kwa message lugha ni ya kifacebook, mnapokuwa serious na kazi kiinglish kimenyooka, na mzuri sana kazini, labda huyu anachat na wewe hivyo kwa kuwa ni mpenzi wake lakini kwa wengine anacommunicate vizuri tu, jaribu kuwauliza hata dungu zake wanaweza wakashangaa unachowaambia
 
Ha ha ha ha ha, mi naona anajali kitu ambacho si cha msingi sana.
Yawezekana mdada kimawasiliano yuko hatua kadhaa mbele ya huyu mhe. kiasi cha kwamba decoder ya Kijana wa kiume inachukua muda mrefu sana ku decode message za mdada. Ajaribu ku upgrade kumwenzesha ku cope na mambo ya dotcom ,
 
9 years maana yake wakati wewe uko darasa la tatu ndio yeye anazaliwa au?

That is not an issue, hatujui mtoa mada ana miaka ngapi... What if ana miaka 40? it means huyo mwanamke ni mama mzima wa 31 years sasa hivi.
 
this age difference is now becoming a problem ...going down to her level of understanding requires a homework..
 
huyu ni mpenzi wako, binti yako au nani hasa tunaemzungumzia hapa? isje kuwa ni mwanao. kama ni mwanano pls ignore the above comment kama sivyo basi njoo na taarifa kamili sio kuja na vipisi hal;afu usubiri sisi ndio tuanze kuhisi. Njoo upate lunch hapa Bakulutu

Mkuu hapa umepiga chaka mbaya. Unafikiri inawezekana mtu kupisha umri na binti yake kwa miaka 9 tu? Sijawahi kusikia hii tokea nizaliwe!
 
Back
Top Bottom