Hivi huyu kongosho mwanaume au mwanamke?

juma sal

Senior Member
Dec 18, 2011
156
88
Hivi huyu kongosho mwanaume au mwanamke? mana simuelewielewi some time namfikiria kama mdada na namtamani nipate nae kamda hivi ili kama ikiwezekana na akikubali nikale nae GUDTYM.

Na ninapowaza hivi hufikiria ku-pm lakini huwa nasita ila nikisomaga post zake nyingine nyingine lol, kichwani kwangu humuona kama kidume kilichojaaliwa ufedhuli.

Basi ili mradi kizunguzungu sasa ww uliesoma hii post hebu nijibu sitaki maswali sitaki unambie nimuulize mwenyewe sitaki majibu mabaya
 
Teh teh teh......Kongosho ni DUMEJIKE unaweza kumPM tu hana shida,zikimzidia huwa ananitumia nimsaidie kuzijibu.
 
Hivi huyu kongosho mwanaume au mwanamke?......mana simuelewielewi some time namfikiria kama mdada na namtamani nipate nae kamda hivi ili kama ikiwezekana na akikubali nikale nae GUDTYM na nnapowaza hivi hufikiria ku-pm lakn huwa nasita..ila nikisomaga post zake nyingine nyingine lol!!!....kichwani kwangu humuona kama kidume kilichojaaliwa ufedhuli kama farao...basi ili mradi kizunguzungu......sasa ww uliesoma hii post hebu nijibu........sitaki maswali...sitaki unambie nimuulize mwenyewe.............sitaki majibu ya kikongoshokongosho!!!!

Google neno shemale, ndo kundi analopatikana huyo kiumbe.
 
nakuadmire Kongosho kwa kweli majibu yako tu humu jf mi hoiiiii kwa kicheko uko juu!!!!!!!!!!!
 
Last edited by a moderator:
Kuna thread ipo iliwekwa mahsusi kwa kuitafuta Jinsia ya Kongosho.....Watu walikuwa wanaunganisha dots balaaa...

Mwenye link ya hiyo thread atupe....
 
Back
Top Bottom