Kwanza kabisa fahamu kuwa Kenya ni nchi ya Kibepari kwa hiyo hakuna Mkenya anayeweza kukutembeza katika viunga vya Nairobi, Mombasa au Thika bila malipo kama ulivyomtembeza huyo Dada Mwanza, kwa hiyo alifahamu kuwa mwisho wa siku utamwomba ndururu. Sasa kwa kuwa aliona humwombi ndururu kwa kazi ya kumtembeza, akaona akulipe in kind ili naye afaidi. Pili, Wakenya wanawazimia Watnzania ikiwa ni pamoja na kupenda kuolewa Tanzania ili waweze kutanua familia zao na kupata ardhi Tanzania, baada ya kukuliza kama umeoa ukasema bado alitaka kuanza kujenga uhusiano kuelekea kwenye ndoa. Tatu, Wakenya wako wazi wanapohitaji kitu hawammunyi maneno na kwa kuwa ni shida kujieleza kwa lugha ya Kiswahili ndio maana akakwambia uende kum........bila tafsida. Vile vile angeweza sema.....unaweza enda kuni-screw ?............kwa hiyo kama hujaoa ulipoteza nafasi !!! Kama ulichukua safaricom yake, wasiliana naye ule hiyo kitu, lakini usicheze mpira bila viatu mpaka utakapotmbea Angaza Zaidi.