Anataka kunitumia?

teh teh teh. hamtaki mpenzi wake then anakwambia upige cm wakati yuko nae?

huoni anakwambia niko nae ila nae nataka aone na mimi nime cheat. kama ni hivo mwambie msex kwanza.
 
Jamani eh, huyu dada kakorofishana na mpenzi wake kwa sababu wanazozijua wao (seems mshikaji kamcheat!). Mshikaji anajaribu kumbembeleza lakini mdada bado ana hasira na amemwambia amepata mpenzi mwingine. Huyu mdada kaniapproach ananiomba nimtumie sms za mapenzi na kumpigia simu wakati yuko na mpenzi wake ili amkomeshe. Kiukweli mimi sijifeel comfortable kufanya hivyo na nahisi kama huyu dada anataka kunitumia kwa interest zake. Nimemwambia naona ugumu kufanya hivyo kwa sababu sina feelings nae na hatujazoeana kihivyo. Matokeo yake dada kashea baadhi ya hasira alizo nazo kwangu. Nimfanyeje ili anielewe?

kazi ni kazi, cha msingi mkataba kwanza msaini (majukumu na wajibu wa mwajiri na mwajiriwa)
usiwe mzembe kufatilia mafao yako baada ya kazi!
 
Akupe mzigo kwanza ili upate maneno ya kusema ukimpigia simu.
 
Huyo ni drama queen, kumbwaga BF mpaka atumie tricks thur other ppl....she needs to grow life is more than just that
 
Hivi ukitaka kumuacha mtu ni mpaka ushirikishe watu wakusaidie? Aisee siku hizi kila kitu lazima kuwe na featuring..
 
Embu vuta picha wewe uko na mpenzi wako halafu linatokea chezo kama hilo, maadam walipendana wawili waachane wawili bila mtu wa tatu,hapo chezo litabadilika kuwa wewe ndiye uliyemvurugia uhusiano wake, ruka futi 500 mapema,kama ni hasira na wewe acha iwepo, au unamzengea nini?
 
Ambassador, msaidie hyuo demu lakini wala haina haja ya ngono nae... Labda tafuta namba nyingine ndio ufanye hiyo kitu lakini lazima ukubaliane kwanza na huyo demu
 
Last edited by a moderator:
Jamani eh, huyu dada kakorofishana na mpenzi wake kwa sababu wanazozijua wao (seems mshikaji kamcheat!). Mshikaji anajaribu kumbembeleza lakini mdada bado ana hasira na amemwambia amepata mpenzi mwingine. Huyu mdada kaniapproach ananiomba nimtumie sms za mapenzi na kumpigia simu wakati yuko na mpenzi wake ili amkomeshe. Kiukweli mimi sijifeel comfortable kufanya hivyo na nahisi kama huyu dada anataka kunitumia kwa interest zake. Nimemwambia naona ugumu kufanya hivyo kwa sababu sina feelings nae na hatujazoeana kihivyo. Matokeo yake dada kashea baadhi ya hasira alizo nazo kwangu. Nimfanyeje ili anielewe?

Mueleze tu kuwa hiyo michezo wewe huiwezi na kama anakuwa na hasira na wewe basi kaa nae mbali ikibidi
 
Jamani eh, huyu dada kakorofishana na mpenzi wake kwa sababu wanazozijua wao (seems mshikaji kamcheat!). Mshikaji anajaribu kumbembeleza lakini mdada bado ana hasira na amemwambia amepata mpenzi mwingine. Huyu mdada kaniapproach ananiomba nimtumie sms za mapenzi na kumpigia simu wakati yuko na mpenzi wake ili amkomeshe. Kiukweli mimi sijifeel comfortable kufanya hivyo na nahisi kama huyu dada anataka kunitumia kwa interest zake. Nimemwambia naona ugumu kufanya hivyo kwa sababu sina feelings nae na hatujazoeana kihivyo. Matokeo yake dada kashea baadhi ya hasira alizo nazo kwangu. Nimfanyeje ili anielewe?

Ebu jiweke kwenye nafasi ya mwanaume mwenzako, alafu mwanaume mwenzako ampigie mchumba wako na kumweleza mambo ya usheeee... alafu HISIA UTAKAZOZIPATA, kama ZITAUPA MOYO wako AMANI basi fanya kama hazikupi amani, KIMBIA, KAA MBALI na uyo dada maana ukimzoea, MADHARA YAKE NI MAKUBWA SANA. kata mawasiliano haraka uwezavyo, kumbuka watu wengine wako akili ziko Fyatu... Usikubali kutolewa KAFARA kwa ujinga wa mtu
 
teh teh teh. hamtaki mpenzi wake then anakwambia upige cm wakati yuko nae?

huoni anakwambia niko nae ila nae nataka aone na mimi nime cheat. kama ni hivo mwambie msex kwanza.

Kwa ushauri huu, kweli wewe ni Erotica.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom