Recent content by Mtu wa Kigamboni

  1. Mtu wa Kigamboni

    Masoud Kipanya:Tumerudi relini

    Watu wafanye kazi kwa taaluma zao.
  2. Mtu wa Kigamboni

    Hivi kwanini Wema anapendwa?

    Kweli kuna kipindi Sinta alikuwa maarufu kwenye vyombo vya habari! Lakini alipoturia nadhani hata vijana waliozaliwa juzi hawamtambui kabisa kama kuna Star wa filamu alikuwa anaitwa Sinta!
  3. Mtu wa Kigamboni

    Hii ndio Bei ya unga wa sembe na dona nilipo

    Ila msimamizi wa mashine ya kusaga yupo makini zile ambazo si nzuri kwa kuliwa na binadamu anakataa kuwauzia ingawa wao wanabembeleza awauzie! Nadhani TFDA inabidi itembelee maeneo ya uzalishaji chakula na kuwashauri wananchi.
  4. Mtu wa Kigamboni

    Hii ndio Bei ya unga wa sembe na dona nilipo

    Leo nilienda maeneo ya ILULA-MAGU, MWANZA kununua pumba za Mahindi kwa ajili ya Mbwa na Bata nilikuta kwenye mashine ya kukoboa na kusaga Unga wananchi wananunua pumba za mahindi alafu wanazisaga kuwa Unga wa kupika Ugali. Pumba kisado kimoja TShs 1,500 na debe moja la pumba TShs 5,000 . Sado...
  5. Mtu wa Kigamboni

    Airtel mmezima mitambo ya mawasiliano?

    Labda ndiyo mchakato wa kujiondoa Tanzania na nchi nyingine 16 za Africa.
  6. Mtu wa Kigamboni

    Kwaheri Jenerali Davis Mwamunyange

    Hakustaafu jeshini wakati anaenda ubarozi Nigeria, Mkapa alipompatia U-General ndipo alistaafu!
  7. Mtu wa Kigamboni

    Kwaheri Jenerali Davis Mwamunyange

    Alipewa cheo cha General miaka ya utawala wa Mkapa kamasikosei akiwa amerudi kutoka ubarozi .Nigeria. Kwa taarifa alikuwa bado kustaafu jeshini ndiyo maana ikabidi apewe na U-General?
  8. Mtu wa Kigamboni

    Flora Mbasha: Naomba mniache mimi na Mbasha tafadhali

    Mbona hawa wanamziki wa Injili wa kike wanatengana na waume zao sana hivi sasa? Ona pia huyu Upendo Kilahiro naye kambwaga mumewe!
  9. Mtu wa Kigamboni

    Flora Mbasha: Naomba mniache mimi na Mbasha tafadhali

    Yaani ukikosea hapo utapata kovu la milele, yamenikuta Mimi...
  10. Mtu wa Kigamboni

    Kilimo cha kisasa cha maembe

    Cross pollination inafanyika vipi?
  11. Mtu wa Kigamboni

    Usimvue nguo mume wako

    Bora kukaa pembeni! Mimi yalinishinda niakaona nimwambie Bibie nisiwe kero na karaha kwako bye bye!
  12. Mtu wa Kigamboni

    Ukitaka binti wa kitanzania akupende kwa dhati, mfanyie mambo haya

    Mwanamke ni jalala mpe pesa utamfanya chochote, ila tabu wameingiliwa na wanaharakati! Utafungwa kama Koffi Olomide![emoji24] [emoji24] [emoji24]
  13. Mtu wa Kigamboni

    Natafuta kazi, nina elimu ya kidato cha nne

    Lima mchicha na nyanya, Mimi nitakupatia buku kumi (TShs 10,000) mtaji wa kununulia mbegu.
Back
Top Bottom