Airtel mmezima mitambo ya mawasiliano?

Mwenye taarifa atujulishe ni tatizo gani wamelipata Airtel siku ya Leo?

Nilidhani imetokea kwangu tu! kumbe tunateseka wengi, au ndo wameshauza maana hii kampuni kwa kujiuza inaongoza, ilikuwa celtel, ikawa zain, baadaye airtel, sijui leo wanajibatiza jina gani jipya
 
Mmhh Mimi natumia internet ya airttel na wala haijaniletea iyo shida mbonaa...... Hata apa natumia net yao tuuu...
 
Mpendwa mteja, tunasikitika kwa usumbufu wa intaneti uliojitokeza hapo awali kutokana na tatizo la kiufundi. Huduma imerejea sasa. Asante kwa kuchagua Airtel!
Nimetumiwa sasa hivi
 
Nawaomba Airtel mkafunge vizuri mitambo yenu hasa maeneo ya Mbagar Mbande Rufu kupata internate ni shida mno
 
Back
Top Bottom