Foxhound
JF-Expert Member
- Dec 15, 2013
- 28,739
- 76,374
Kama sikosea alikuwa anaitwa Iddi Gahhu, wako Gahhu wawili wote ni ndugu na kama sikosei walifikia cheo kimoja.Kwa anayeelewa baada ya kustaafu Lt Gen Gahhu tarehe 01Jul 2006 nani aliteuliwa kuwa CoStaff kama siyo Mwamnyange wakati huo akitokea JKT na Lt Gen Shimbo akateuliwa kuwa mkuu wa JKT Gen Waitara alipostaafu 2007 Gen Mwamnyange akapandishwa cheo na kupewa madaraka ya CDF kama sijkosea ndivyo ilivyokuwa kwa wanaofahamu zaidi wanieleweshe