Mtu wa Kigamboni
Member
- Jul 24, 2015
- 80
- 38
Hakustaafu jeshini wakati anaenda ubarozi Nigeria, Mkapa alipompatia U-General ndipo alistaafu!Alikuwa Brigedia hadi anatoka jeshini na kuwa Balozi Nigeria
Hakustaafu jeshini wakati anaenda ubarozi Nigeria, Mkapa alipompatia U-General ndipo alistaafu!Alikuwa Brigedia hadi anatoka jeshini na kuwa Balozi Nigeria
Tunamjua sana, jamaa anauchukia uislamu kuliko anavyompenda mumeweAnachoongelea hakimaanishi, hili ni dongo kwa waislamu, tunamjua huyo kwenye jukwaa la dini
Nimeacha mkuuSi muislamu, anajaribu kuuchafua uislamu kwa kila tone la pimzi yake
mpuuzi tu, anafikiri wanaokaa jopo la usalama wa nchi wanakaa kujadili mitume na manabii wa diniHuyo mama sio muislamu, anajaribu kuvuta hisia za watu ili watu wachangie nje ya mada. Waislamu hawajalalamika nashangaa yeye anaanza uchokozi
Sasa mfuasi wa Abuu sufian unaanza eeh!Tunamjua sana, jamaa anauchukia uislamu kuliko anavyompenda mumewe
Hapo amefurahi sana kuwaita waislamu magaidi. Ni moja wa wanamtandao wanaoongiza kuupiga vita uislamu. Kilicho kibaya nikule kuleta chuki zake hata sehemu zisizo husika.Magaidi wapewe nchi?
Nadhani sote hatujaelewana...Ngoja niweke sawa..Unajua watu mnachanganya haya mambo mkuu. Twende taratibu naomba unitajie jina la 5star General Marekani na anatoka kikosi gani. Halafu unitajie na rank ya Chairman Joint Chief of Staffs utaelewa mkanganyiko unatokea wapi
Si lazima uonyeshe chuki zako kila mahala. Kwani nani asiyekujua? Waislamu hawata lalamika kuwa kachaguliwa asiyekuwa muislamu. Uchokozi haufai.Sasa mfuasi wa Abuu sufian unaanza eeh!
Na mimi sio muislam wala mkristo..inshort im against religions....Hilo lakuukashifu uislamu na kuona waislamu wanataukwana ndio lengo hasa la propaganda zake. Huyu si katika waislamu. Sasa akiona akina Stanley wanakuja juu na kuonyesha jazba zao na kuporomosha maneno ya kashfa ndio lengo lake. Hapo amefurahi sana.
Jamaa si Muislamu ila anapenda vurugu zakidini
Nadhani sote hatujaelewana...Ngoja niweke sawa..
Currently hakuna nchi yenye 5 star General..Ila kuna nchi (nilizozitaja hapo juu na nyingine) zimewahi kuwa na mfumo huu wa t star Generals...US waliufuta mwaka 1981 na ni wamarekani 9 tu wamewahi kuwa na rank hiyo...
Kwa sasa nchi nyingi zina 4 star Generals..
na makamu wa rais wa JMT wamekua waislaam all the time.. but we never ask why!!!Yaani tangu jeshi lianzishwe ni MUISLAM mmoja tu ndiye aliyewahi kuwa mkuu wa majeshi huyo Abdalla Twalipo?
Wengine woote ni wagalatia
This is Unfair.
Marekan wana 5 stars wew ndo cheo cha mwisho wanamuita general of the amry kule command zinaongozwa na general. Halafu GA ndo mkuu wa majeshi yote mjifunze hata ku googleBri
Brig Gen-1 star
Maj Gen-2 Star
Lt Gen-3 star
General -4 stars
Huo ndo mfumo dunia nzima. Tofauti ni majukumu na majina tu. Na pia mlinganyo uliopo kati ya Land Forces(wengine wanaiita army??), Air Force na Navy
Katika literature nyingi wanasema mtu pekee aliyekuwa 5 stars General ni G. Washington(naye nadhani alipewa kwa heshima posthumously kama sikosei)
Kuna watu wakishapiga cha arusha ndo maneno yaoAcha kuongea pumba akiwa muislam itasaidia nini hasa??
Mna mawazo finyu ndo mana Bilionea Trump anawanyoosha tu.
Anatakiwa awe muisilamu ili kubalance mambo,ww vipMagufuli usipomuteua ngosha mabeyo usikanyage sukuma land na elfu mbili na ishirin ndo utakua mwisho wako