Nimeokota peni ya ajabu

Nimeokota peni ya ajabu

sheria ya nchi ukiokota kitu ambacho sio mali yako unatakiwa kureport police
 
Pole Sana bwanakaka. Hizo sio diamonds mara nyingi huwa wanaweka synthetics au glasses zinazochongwa na kufananishwa na hayo madini. Wanaweza kuweka Zircon Kama wakitaka kurembesha zaidi. Sikatai kwamba kuna pen ambazo huwekewa real diamonds lakini sio kwa style hii ya kuzimimina tu. Mara nyingi huwa wanazi set kwenye kinasio cha kalamu kwenye mfuko ili kionekane.
Hata hivyo fanya kipimo kidogo tu
1.weka maji kwenye kiganja chako
2.weka hicho kipande uhakikishe kimezama
3.angalia Kama bado Kina glitter au kung'aa hata baada ya kuingiza majini
4.kama kitaendelea kung'aa basi ni pm
5.kikifubaa basi sio diamond
Mkuu hizo ni diamond?
 
Ss kilichokuleta JF ni nini km una lengo la kutoka kimaisha.. .mana alopoteza pen atapata taarifa
 
Y

Yeah ni zaukweli ziko rough lakini. Hazijakatwa na ku polishiwa
Aiseeeee Hapana mkuu sio zaukweli. Very sorry sikuiona attachment yako. Jaribu ku test Kama nilivyoiona comment hapo awali. Pamoja na hayo jitahidi kuwaona ma ofisa madini wako wajemolojia watakusaidia. Hizo kwenye picha ni synthetics au Madini fulani yanaitwa topaz. You better be careful with this business
 
Watakuwa matapeli wameidondosha,matapeli ni wajanja mno angalia utapigwa..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom