Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 102,675
- 126,903
Good hakuna njaa nchini
we unayekula sembe ndio unakula sumu ,Mbwa na bata ndio wanakula chakula ..sitakagi ujingaKama ni kweli!! hawajui wanachokula ni sumu?
Hivi una akili kweli wewe? hili nalo linahitaji kuwa ni tetesi? Hivi umeshindwa kujua hata bei ya sukari na unga kwa sasa mpaka uandike tetesi?Habari wanajanvi!
Leo asubuhi nilienda kwenye duka la Mangi mtaani kwetu kununua sukari nikajiandalie kachai kangu ka asubuhi,ndipo Mangi akanambia kwamba hana sukari anajishauri kwanza kabla ya kufata mzigo, kutokana na hiyo bidhaa kwa sasa kupanda bei huko wanakonunua japo hajaniambia kwa kiasi gani imepanda,kwa kuongezea akasema pia na unga umepanda bei kwahiyo tutegemee bei mpya ya hizo bidhaa.Hakika sasa maisha yatazidi kukaza na inaonyesha serikali imeshindwa kabisa kutatua suala la sukari.
uchochezi!Habari wanajanvi!

Ila msimamizi wa mashine ya kusaga yupo makini zile ambazo si nzuri kwa kuliwa na binadamu anakataa kuwauzia ingawa wao wanabembeleza awauzie! Nadhani TFDA inabidi itembelee maeneo ya uzalishaji chakula na kuwashauri wananchi.Kama ni kweli!! hawajui wanachokula ni sumu?
[emoji202] [emoji202] [emoji202] [emoji535] [emoji535] magunia yaliyo jaa mahind bila kupekechuliwa ama kupekechuliwa ,Kumbe bado bei rahisi sana lengo la ng'ombe watatu kwa debe/gunia halijafikiwa ushaanza kulalamika
Mkulu hakufafanua itabidi tukamuulize[emoji202] [emoji202] [emoji202] [emoji535] [emoji535] magunia yaliyo jaa mahind bila kupekechuliwa ama kupekechuliwa ,
Ila naona ni utani tuu si kweli
Mkuu maeneo hayo mwaka huu yanaweza kuwa tete tokana upungufu wa mvua kwani tegemeo ni mvua na sio umwagiliajiulizia kalya, karema sibwesa na huko kirando mashamba ya mpunga yapo kwa kiwango gani
nasema ulizia kwa wanaojua, then tukana tena,
Na badoAhahahah Front kwa front....Let them read the numbers
Mkuu vipi?Mahindi gharama.....sukari gharama..... Condom bure.....
hivi serikali inafikiri sisi nguvu tunazitoa wap sasa Kwa mfano??