Recent content by Mtoto wa jiji

  1. M

    Rwanda asks South Africa to arrest Nyamwasa

    We are tired of this kayumba, kagame pleaseeeeeeee JF! stop rwandanising this forum you ******, let us discuss serious issues! nimeona ile thread ya zamani ya kayumba kila siku inakuwa recycled, sasa na hii ambayo haina jipya imeletwa, stop shit
  2. M

    Lt Gen. Kayumba Nyamwasa: Why I fled Rwanda'

    mi kwa taarifa yako mwaka 1994 nilifanya kazi kwenye kambi ya wakimbizi wa kihutu kyabalisa kama wfp field officer. i got their viva voce evidence on what they had done before pouring into tanzania. lohhh!!! pia nimesoma maandiko ya waandishi wa kizungu na kuangalia documentaries, sio movie. mi...
  3. M

    Lt Gen. Kayumba Nyamwasa: Why I fled Rwanda'

    mi nadhani watu wajifunze kutofautisha siasa za za dictator mmoja na kabila lake lote!! akina Wacha wameshika bango wanatukana kabila la watu badala ya kushambulia siasa za kagame. hapo ndo nashangaa. sisas za jk zinauhusiano gani na mkulima wa kikwere, siasa za kibaki zina uhusiano na gikuyu...
  4. M

    Lt Gen. Kayumba Nyamwasa: Why I fled Rwanda'

    wacha, babukijana, etc ni wabaguzi wa kabila!!! hebu angalieni wanavyoshambuliwa kabila la watu. am sure wangekuwa na means wangejiunga na genocide project ya 1994. Wacha ni fanatical tutis hater
  5. M

    Rais Kagame aishutumu Tanzania

    Babukijana, wacha and etc. are feeding us with shit
  6. M

    Kagame aishutumu TZ: Nipashe hoaxed us!

    Utaamini wanachokiandiak Nipashe? Story yao ya Kagame kuishutumu Tanzania wali-monitor BBC. Waliosikiliza BBC siku hiyo watasema kuwa jamaa hakuitaja Tanzania haa mara moja. It is common sense: Rais hawezi kuitaja hadharani na kuishutumu nchi jirani. Alisema wapinzani wake wanaendesha kampaeini...
  7. M

    Ufaransa inatafuta nini Rwanda?

    If you can't beat them join them................... The game has been like this: 1. RPF invades in 1990, France intervenes and helps the govt to route them. France 2 Kagame 0 2. France trains militias, arms them to commit genocide. But during the genocide, France abandons its client govt...
  8. M

    Position of Tanzania national football team coach

    TFF ni wehu, tangu lini nafasi ya kocha ikatangazwa? Ukocha ni kazi ya kipaji, hauendani na diploma in coahing, shit, shit, etc. Unaendana na charisma, etc. Sasa ngojeni watapokea applications za watu wengi akina MZiray, Siang'a etc. Tunamtaka Allan Shearer au Klinsman!!!!!!!!!
  9. M

    Msemakweli kasema ukweli kuhusu mafisadi wa elimu?

    Mimi nilisema watu wananiponda....... asante sana Marigwe. Mimi niliwambia wana JF kuwa KM ni fisadi wa elimu kwa kuandika upuuzi ambao hauendani na shahada ya sheria. Ila nchi wa watu wajinga, mjinga anaandika ujinga na watu wananunua na kusoma ujinga hivyo ku-promote mjinga...
  10. M

    Hatimaye Miss Tanzania 2009 apata dhamana

    walimwonea!!!!!! apige mtu binti mpore vile, police, mahakama wanakula rushwa then ukipelekwa, kwisha!!!!!!!!!
  11. M

    Prof. Mayunga Nkunya kwa hili Unatuchanganya kabisa!

    Yule msomi feki wa Sheria asiyeweza hata kuandika kiswahili na kiingereza vizuri Kainerugaba ameshushuliwa na TCU! Kainerugaba, ambaye kazi yake ni ya kiwano cha mtoto was form II, ameambiwa hana competence ya verify vyeti vya watu! Hii imekuja baada ya Spika kumsafisha Dr Mathayo...
  12. M

    Kainerugaba yye ndie fisadi wa elimu

    Naadhani sijaeleweka kwa wana JF. Nasema Kainerugaba ni fisadi wa elimu kwasababu uwezo wake (kama ulivyojidhirisha kwenye kuandika kiingereza and kiswahili kibovu na kutofanya utafiti unaofuata methodology ya kuandika vitabu) unaonekana si msomi au ana degree ya chupi. yeye kwasababu si...
  13. M

    Kainerugaba yye ndie fisadi wa elimu

    Wanaomtetea Kainerugaba ni mafisadi wa elimu pia. Yaani wana vyeti ambavyo havi reflect uwezo wao kichwani. Mtu ambaye hawezi ku spell laissez-faire kweli ana degree ya Sheria? aliandika Kikwete is a laizer-fair president. Ukisoma kitabu utadhani kimeandikwa na mtoto aliefeli Form two. Kwahiyo...
  14. M

    Mtendaji mkuu wa DailyNews

    Muhingo hawezi kupewa hiyo kazi, Habari imemshinda na hajui management, shule yake haitoshi na hana charisma ya kuongoza shirika. Mungy ni mbeba maboksi kule Uingereza, hajawahi kuandika hata stori moja, alikuwa ATC amewekwa tu na alikuwa hafanyi chochote. P'se JK appoint a serious person not...
  15. M

    Kainerugaba yye ndie fisadi wa elimu

    Nimesoma kitabu cha Kainerugaba Msemakweli nikagundua kuwa yeye ndo Fisadi wa elimu kwa sababu zifuatazo: 1. Anasema ni mwanasheria wakati hana hata uwezo wa kuandika kiswahili kilichonyooka 2. Anasema ni msomi wakati ameandiska kitabu bila kufuata misingi ya kiuandishi, yaani kufanya utafiti...
Back
Top Bottom