Ufaransa inatafuta nini Rwanda? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ufaransa inatafuta nini Rwanda?

Discussion in 'International Forum' started by mchakamchaka, Feb 25, 2010.

 1. m

  mchakamchaka Member

  #1
  Feb 25, 2010
  Joined: Feb 25, 2010
  Messages: 5
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Leo rais Sarkozy wa France yupo mjini Kigali, Rwanda...ila ni miaka michache tu iliyopita nchi hizi mbili zilivunja mahusiano yao ya kibalozi mpaka rais Kagame akasitisha matumizi ya lugha ya kifaransa kama lugha ya kufundishia Shuleni na vyuoni, na kama hiyo haitoshi pia akaanzisha mchakato wa kujiunga na jumuia ya madola,

  Ila leo hii rais wa ufaransa anaenda Kigali, cha kujiuliza ni ufaransa inatafuta nini Rwanda, na je nchi zingine za afrika zinajifunza nini na msimamo huu wa Rwanda kuhusu nchi za dunia ya kwanza?

  kwangu namkubali sana Kagame kwa misimamo yake isiyotetereka hasa anaposimamia ukweli......
   
 2. Ndahani

  Ndahani JF-Expert Member

  #2
  Feb 25, 2010
  Joined: Jun 3, 2008
  Messages: 14,548
  Likes Received: 1,927
  Trophy Points: 280
  Kwangu mimi hana jipya. He is in a mission to recruit him in some of the influencial circles in France, that other leaders in French speaking African countries have joined. Once you join those circles you become an elite and enjoy unofficial dual citizenship with France. With that France will ensure to do all it takes to protect your interests, only with one condition that you never fall out with them.
   
 3. S

  S. S. Phares JF-Expert Member

  #3
  Feb 25, 2010
  Joined: Nov 27, 2006
  Messages: 2,141
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Kalaghabaho...haya tueleze huo ukweli anao simamia Kagame ni upi?
   
 4. S

  S. S. Phares JF-Expert Member

  #4
  Feb 25, 2010
  Joined: Nov 27, 2006
  Messages: 2,141
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Unless kuna tafsiri nyingine tofauti ya "fall out" nathani hilo lilishatokea long time.
   
 5. M

  Mtoto wa jiji Member

  #5
  Feb 25, 2010
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 15
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  If you can't beat them join them...................
  The game has been like this:
  1. RPF invades in 1990, France intervenes and helps the govt to route them. France 2 Kagame 0

  2. France trains militias, arms them to commit genocide. But during the genocide, France abandons its client govt, which is kicked out of power by RPF.
  But France sets up a safe corridor to evacuate its allies into Zaire.
  France 1 Kagame 1

  3. France issues arrest warrants for 9 RPF top brass for shooting down the plane carrying former presida. Rwanda panics, closes French interests.
  France 2 Kagame 1

  4. Rwanda hits back, indicts French leaders for genocide, and carries out own probe that concludes the plane was shot down by Habayarimana army.
  France 0 Kagame 2.

  5. Rwanda joins Commonwealth, switches to English as medium of instructions.
  France 0 Kagame 3.

  6. France comes on its knees, beging to restore ties. Showers praises on Kagame, saying he is example for the rest of Africa, he leads in peace keeping, he is strategic and influencial in the region.
  France 0 Kagame 4.

  7. France retores relations, opens embassy, French president vists the country for the first time in 25 years! France arrests genocide fugutives in its country, assures Rwanda it wont support its dissidents
  france 1 Kagame 5.

  And the winner is................
   
 6. Ndahani

  Ndahani JF-Expert Member

  #6
  Feb 25, 2010
  Joined: Jun 3, 2008
  Messages: 14,548
  Likes Received: 1,927
  Trophy Points: 280
  Ni kweli kabisa hilo lilishatokea. Jamaa anataka kuweka mambo sawa sasa ili Kagame afanane na Eyadema, Paul Biya, Tadja aliyepinduliwa, Nguesso na viongozi wengine kadhaa wa nchi zilizokuwa makoloni ya Ufaransa
   
 7. M

  Magezi JF-Expert Member

  #7
  Feb 25, 2010
  Joined: Oct 26, 2008
  Messages: 2,919
  Likes Received: 163
  Trophy Points: 160
  Msidanganyike mapema uhusiano huu wa ghafla lazima kagame auangalie kwa makini kwani waasi wa kongo watasaidiwa vyema kama kukiwa na ubalozi pale kigali kuliko kukiwa hakuna ofisi yoyote ya france.
   
 8. babukijana

  babukijana JF-Expert Member

  #8
  Feb 25, 2010
  Joined: Jul 21, 2009
  Messages: 5,109
  Likes Received: 1,546
  Trophy Points: 280
  habari ndio hiyo,lakini kagame na srcozy wote lao moja pia huu muunganiko ni ili ufaransa aunganike kwenye kuchota rasilimali za congo,maana sasa hivi kagame anakula na mmarekani na mwingereza tu.
   
 9. Victoire

  Victoire JF-Expert Member

  #9
  Feb 25, 2010
  Joined: Jul 4, 2008
  Messages: 10,510
  Likes Received: 7,586
  Trophy Points: 280
  Lugha mwana wane,wafaransa wanaogopa RWANDA isije ikawa anglophone.
   
 10. Ab-Titchaz

  Ab-Titchaz Content Manager

  #10
  Feb 26, 2010
  Joined: Jan 30, 2008
  Messages: 14,702
  Likes Received: 130
  Trophy Points: 135
  [​IMG]

  France's President Nicolas Sarkozy (C) and and French Foreign Affairs Minister Bernard Kouchner (4th R) lay a wreath on a mass grave during a visit at the Memorial of the Rwandan genocide in Kigali February 25, 2010


  [​IMG]

  Rwanda's President Paul Kagame (L) and France's President Nicolas Sarkozy review the honour guard on his arrival at the presidential palace in Kigali February 25, 2010.


  [​IMG]

  Rwanda's President Paul Kagame (L) greets France's President Nicolas Sarkozy on his arrival at the presidential palace in Kigali February 25, 2010.


  [​IMG]

   
 11. Ab-Titchaz

  Ab-Titchaz Content Manager

  #11
  Feb 26, 2010
  Joined: Jan 30, 2008
  Messages: 14,702
  Likes Received: 130
  Trophy Points: 135
  [​IMG]

  France's President Nicolas Sarkozy visits the Memorial of the Rwandan Genocide in Kigali February 25, 2010.


  [​IMG]


  [​IMG]


  [​IMG]
   
 12. Ab-Titchaz

  Ab-Titchaz Content Manager

  #12
  Feb 26, 2010
  Joined: Jan 30, 2008
  Messages: 14,702
  Likes Received: 130
  Trophy Points: 135
  [​IMG]


  [​IMG]

  France's President Nicolas Sarkozy (L) and French Foreign Affairs Minister Bernard Kouchner (C) pay respect after laying a wreath on a mass grave as he visits the Memorial of the Rwandan genocide in Kigali February 25,

  [​IMG]


   
 13. Ab-Titchaz

  Ab-Titchaz Content Manager

  #13
  Feb 26, 2010
  Joined: Jan 30, 2008
  Messages: 14,702
  Likes Received: 130
  Trophy Points: 135
  [​IMG]

  Rwanda's President Paul Kagame (R) and France's President Nicolas Sarkozy shake hands before a meeting at the presidential palace in Kigali February 25, 2010.


  [​IMG]

  France's President Nicolas Sarkozy (C) and Gabon's President Ali Ben Bongo (L) greet people upon Sarkozy's arrival at Franceville airport February 24, 2010.


  [​IMG]

  Mali's President Amadou Toumani Toure (R) and his French counterpart Nicolas Sarkozy have a bilateral meeting at the presidential palace in Bamako February 25, 2010.
   
 14. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #14
  Feb 26, 2010
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,484
  Likes Received: 166
  Trophy Points: 160
  Kusema France wanatafuta nini nadhani ni swali ambalo tueza liita la kitoto. Mataifa duniani inabidi yafahamiane na kushirikiana kwa sababu tu-share space ktk sayari hii. Thats the bigger picture. Ktk smaller picture kunaeza kukawa na contemporary issues kama makubaliano ya kibiashara n.k. nk.. ktk huo muingiliano.
   
 15. M

  Mchili JF-Expert Member

  #15
  Feb 26, 2010
  Joined: Aug 19, 2009
  Messages: 727
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35


  Mkuu hilo sio swali la kitoto. Hiyo nyekundu ndio mawazo ya kitoto. Hiyo blue hayo ni maneno ya kisiasa tu lakini ukweli ni kwamba wenzetu mataifa yaliyoendelea siku zote wanatafuta ushirikiano na hizi nchi maskini kwa ajili ya maslahi yao binafsi.

  Jiulize kwa nini kila penye madini au mafuta pana vurumai za kisiasa? Kama Magezi alivyosema Ufaransa wameona hawamuwezi Kagame na anaelekea kuimarisha uhusiano na Uingereza hivyo interest zao hapo Kongo zitapotea.
   
 16. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #16
  Feb 26, 2010
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,484
  Likes Received: 166
  Trophy Points: 160
  Suala la maslahi ndio linaloisukuma dunia ktk mishemishe zetu, lakini obvious wanapokutanika watu wawili wakaongea ni wazi kuna dili fulani inayowakutanisha. Sasa ulitegemea Sarkozy aje Rwanda bila ya kuwa na interest yeyote yenye kuisaidia nchi yake? Ninachozungumzia ni kuwa duniani watu wanakaa chini kuongea na kuangalia washirikiane kivipi. Suala la nani anayefaidika zaidi hilo ni umahiri wenu wa ku-negotiate. Otherwise hakuna la ajabu kwenye ziara ya Sarkozy.
   
 17. M

  Mchili JF-Expert Member

  #17
  Feb 26, 2010
  Joined: Aug 19, 2009
  Messages: 727
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  La ajabu ni kwamba walishatupiana tuhuma hata Ufaransa wakadai Kagame alihusika na njama zilizopelekea kutunguliwa kwa ndege ya raisi na kusababisha mauwaji ya Kimbari. Wakatoa list ya maofisa wa serikali ya Kagame wanaotakiwa kukamatwa. Kwa nchi kama Ufaransa, watu hawakutegemea raisi kuja personally kuonana na mtu aliyekwishamtuhumu kuwa ni muuaji. Ndio maana hata Kagame akawa anatafuta kujiunga na Jumuia ya madola ili ajiondoe kabisa kwenye ushirika na Ufaransa. Kama ni suala la ushirikiano tu, angeweza hata kumtuma waziri.
   
 18. mfianchi

  mfianchi JF-Expert Member

  #18
  Feb 26, 2010
  Joined: Jul 1, 2009
  Messages: 8,371
  Likes Received: 1,957
  Trophy Points: 280
  Mbona huulizi Uingereza inatafuta nini Tanzania?
   
 19. Masikini_Jeuri

  Masikini_Jeuri JF-Expert Member

  #19
  Feb 26, 2010
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 6,809
  Likes Received: 368
  Trophy Points: 180
  Aisee nimeipenda suti ya Faza Kagame!
  Wandugu Wazungu watatuzunguka tu siku zote! Kwa yeyote aliyefika Rwanda akapata first hand info ya ushiriki wa wafaransa mpaka kusababisha genocide, hawezi amini kuwa leo hii yule yule aliyewatolea hao wakoloni maneno makali ndio amewaakribisha na kupokea apology! a MERE APOLOGY over the lives of innocent Rwandese!

  Sishangai kama anavyopenda kucomment mdau humu
  NDIVYO MIAFRIKA TULIVYO!

  Wafaransa sasa wanafurahi kwani wanarudi tena kwenye ramani ya maziwa makuu!
   
 20. jamadari

  jamadari JF-Expert Member

  #20
  Feb 27, 2010
  Joined: Feb 13, 2010
  Messages: 295
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Sarkozy Akiri Makosa ya Ufaransa

  Rais wa Ufaransa Nicolas Sarkozy akiwa katika ziara ya siku moja Rwanda amekiri kuwa nchi yake ilifanya makosa wakati wa mauaji ya halaiki Rwanda mwaka 1994, lakini alisita kuliomba taifa la Rwanda samahani kamili.

  Katika ziara yake ya kwanza Rwanda, Sarkozy alisema "kilichotokea hapa hakiwezi kukubalika, na kinailazimisha jumuiya ya kimataifa, ikiwa ni pamoja na Ufaransa, kutafakari makosa iliyofanya kutozuia mauaji yale."

  Kiongozi huyo wa Ufaransa alikiri kwamba nchi yake kwa namna fulani ilifumbia macho hali iliyosababisha mauaji yale na haikuchukua hatua zozote kuyazuia ingawa ilikuwa na uhusiano wa karibu sana na Rwanda.

  Hata hivyo, Rais Sarkozy hakufika hatua ya kuwaomba watu wa Rwanda samahani, na alionekana akijaribu kwa bidii kukwepa kuomba msamaha. Uhusiano wa Rwanda na Ufaransa umekuwa mbaya tangu mauaji hayo na hii ni mara ya kwanza kwa kiongozi huyo kutembelea Rwanda.  http://www.voanews.com/swahili/2010-02-25-voa2.cfm
   
 1. This site uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
  By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.
  Dismiss Notice
 1. This site uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
  By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.
  Dismiss Notice
Loading...