Bwana Fugwe, the same can be said about Hutus. In Burundi, FNL Palipehutu ya Agathon Rwasa ilikuwa ndiyo ilikataa kuweka silaha chini dhidi ya CNDD ya Nkurunziza mapaka juzi wakati UPRONA ya "watusi" walishaelewana na Nkurunziza Mhutu. Imagine, FNL wenyewe bila aibu wanajiita Palipehutu, yaani chama cha Wahutu, how can that be! Na kwa upande wa Rwanda, Ukumbuke kuwa Mwenyekiti wa RPF alikuwa Alex Kanyarengwe Mhutu (Marehemu) na Habyarimana aliua wahutu wenzake kama sisimizi, mfano kina Kavaruganda. Aliwafanya wahutu wa magharibi kuwa ruling class wakati wake, na ukiachlia mbali watusi waliokuwa nje, hata wahutu wa maenea mengine walikuwa marginalized, na kuuawa pale wanapojiingiza kwenye harakati za kupinga utawala wake. Hizi siasa za nchi hizi usije ukajidanganya kwamba ni makabila pekee, ni zaidi ya hapo. Hawa watu mi nawajua sana, mi ni expert wa mahusiano/siasa za ukanda wa maziwa makuu..
Joka Kuu: Mjadala wetu ulianzia hapa na ukasema nakuchanganya, naomba uniieleze kinachokuchnganya! My take ni kwamba kwako wahutu hawawezi kuwa na power struggle ambayo pia tunaishuhudia ndani ya CCM, unless you prove otherwise to me. Kama ndiyo mada ya thread hii, iweje haiwezekani kwa wahutu wa Burundi? Kwani wao si watu, kwani ulaji/sifa/ uchu wa madaraka vinaangalia kabila la mtu? Hizo ni facts, naomba hoja mbadala!
Kuhusu kutumia lugha kali, yes i admit, ni katika harakati za kusisitiza, na ulisema ni kukowakosea watanzania wote, nachukua nafasi hii kujiommba msamaha mimi mwenyewe kwani mi ni MTZ no. 1. Hata hivyo, hoja ilikuwa wanyarwanda kushangilia au kutoshangilia masahib ya adui yao, una haki ya kuwa na maoni yako, but my stance is unmoved, they were right! Kumbuka kwamba hawakushangilia kwa sababu ya Ntaryamira (RIP), as they had nothing to do with him, even if he was a Hutu, he was a Burundian anyways, and they were not. Si kila Mhutu is a tutsi hater, mf. Nkurunziza, rais wa sasa wa Burundi!. Kama mtu anaibiawa mke wake, na hana cha kufanya, na akasikia huyo jamaa watu wamemundoa, na yeye hakuhusika, kesi iko wapi hapo, naomba kujua!
Uzingatie kuwa matendo ya Mh. Kagame hayawezi na hayatakiwi kuwaletea maadui watu wa ethnicity yake, hilo naendelea kusema hivyo.! Itakuwaje tena atofautiane na ndugu yake Nyamwasa ambaye ni asili yake? itakuwaje Sebarenzi (a genocide survivor na spika wa Bunge la rwanda alikimbia nchi tena kwa kukoswa koswa kuawa wakati ni mtusi)?. Joka Kuu na Koba hebu saidia..JF ni kuelimishana!
Naomba kuwasilisha!
Kwa Koba, u probably know much about Rwanda than we do, nakuomba utwambie makosa ya Gen. Nyamwasa, maana unasema hatujui, lengo ni ni kujifunza. Uelewa wangu ni kwamba, iweje Kagame hakumu-arrest kabla ya kumteau kuwa balozi India na iwe sasa? wakati tukio lilikuwa wakati ule? maomna kujua.