Kainerugaba yye ndie fisadi wa elimu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kainerugaba yye ndie fisadi wa elimu

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mtoto wa jiji, Feb 9, 2010.

 1. M

  Mtoto wa jiji Member

  #1
  Feb 9, 2010
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 15
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nimesoma kitabu cha Kainerugaba Msemakweli nikagundua kuwa yeye ndo Fisadi wa elimu kwa sababu zifuatazo:
  1. Anasema ni mwanasheria wakati hana hata uwezo wa kuandika kiswahili kilichonyooka
  2. Anasema ni msomi wakati ameandiska kitabu bila kufuata misingi ya kiuandishi, yaani kufanya utafiti. yeye amepachika kashfa tu kwenye hako kajitabu.
  3. Hajatueleza methodology aliotumia
  Sawa tuseme hao anaowatuhumu ni mafisadi wa elimu. Je amejishughulisha ku-contact vyuo walivyosoma kuona kama vinatambulika na TCU? etc?

  Watanzania tusishabikie uoza, vichaa watakuwa wanaibuka wana-chafua watu. We have to speak out!
  Huyu Kainegugaba ni unguided missile au overt Ze Utam,
   
 2. Mwalimu Makini

  Mwalimu Makini Member

  #2
  Feb 9, 2010
  Joined: Dec 5, 2009
  Messages: 66
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ungemalizia kwa kuandika mstari mmoja tu wenye maneno kuwa "Hata ni mawazo yangu tu na wala si ya JF.
   
 3. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #3
  Feb 9, 2010
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,301
  Likes Received: 214
  Trophy Points: 160
  Mtoto wa jiji Junior Member
  [​IMG] [​IMG] [​IMG] [​IMG]
  [​IMG]
  [​IMG]
  Join Date: Tue Feb 2010
  Posts: 1
  Thanks: 0
  Thanked 0 Times in 0 Posts

  [​IMG] Report Post [​IMG] Subscription


  Wenye akili tumeishajua wewe ni nani! Ungekuwa na umakini ungerudi shuleni ukaanza masomo yako upya ndo maana umetajwa na huyu bwana Kainerugamba! Vingenevyo acha kutetea mafisadi wa Elimu Tanzania.
   
 4. Tiba

  Tiba JF-Expert Member

  #4
  Feb 9, 2010
  Joined: Jul 15, 2008
  Messages: 4,515
  Likes Received: 111
  Trophy Points: 160
  Wee!! Kwa nini usiwashauri hao waliosemwa ni mafisadi wa elimu kumpeleka mahakamani kwa kuwa hajaeleza methodology aliyotumia. Wewe una uhakika kwamba huyu Bwana hakuwasiliana na TCU? Nina wasiwasi na motive behind this posting!!!!

  Tiba
   
 5. m

  mmakonde JF-Expert Member

  #5
  Feb 10, 2010
  Joined: Dec 26, 2009
  Messages: 967
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 0
  Mtoto wa jiji it seems ni mtoto wa mfisadi wa elimu.Jamaa ameandika,kama ameandika uongo kuna rule of law,mafeki wote watamsue!
  Hatuna investigative journalists,maana scandal zote Bot,Meremeta,deep green,rite etc
  zingekuwa tayari vitabuni.
   
 6. K

  Kamuna JF-Expert Member

  #6
  Feb 10, 2010
  Joined: Mar 19, 2009
  Messages: 299
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 35
  ka kojoe ulale mtoto!Umezidwa
   
 7. A

  Akili Kichwani JF-Expert Member

  #7
  Feb 10, 2010
  Joined: Jan 7, 2010
  Messages: 1,504
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 145
  yes masa, katumwa huyu na amekuja kwa ajili hii tu, kamaliza kazi hutamuona tena!!!!!!!!!!!!!!!!

  mwaka wa uchaguzi huu, mafisadi wanajisafisha kwa kasi kabla ya october!!!!!!!!
   
 8. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #8
  Feb 10, 2010
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,481
  Likes Received: 161
  Trophy Points: 160
  Bwa ha ha ha..naona mkuki umechoma kwenyewe.

  Kuandika Kiswahili kunahusiana vipi na UANASHERIA??
   
 9. kilemi

  kilemi JF-Expert Member

  #9
  Feb 10, 2010
  Joined: Mar 13, 2009
  Messages: 524
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Huko kwenu mnasoma sheria kwa kiswahili!
  Wewe ni mpenzi wa pombe gani? Mnazi huharibu utumbo na akili pia!!
   
 10. O

  Omumura JF-Expert Member

  #10
  Feb 10, 2010
  Joined: Aug 20, 2009
  Messages: 476
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Huyo jamaa na post yake moja, hakuna haja ya kuusumbua ubongo wangu kufikiri eti ni nani, hao ndo wale wale wa degree za online!
   
 11. M

  Mtoto wa jiji Member

  #11
  Feb 10, 2010
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 15
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wanaomtetea Kainerugaba ni mafisadi wa elimu pia. Yaani wana vyeti ambavyo havi reflect uwezo wao kichwani. Mtu ambaye hawezi ku spell laissez-faire kweli ana degree ya Sheria? aliandika Kikwete is a laizer-fair president. Ukisoma kitabu utadhani kimeandikwa na mtoto aliefeli Form two. Kwahiyo yeye ni fisadi wa elimu, ali-fisidi degree wakati yeye standard yake ni form two. [eriod
   
 12. Faru Kabula

  Faru Kabula JF-Expert Member

  #12
  Feb 10, 2010
  Joined: Mar 26, 2009
  Messages: 11,006
  Likes Received: 3,263
  Trophy Points: 280
  :D !!!
   
 13. M

  Magezi JF-Expert Member

  #13
  Feb 10, 2010
  Joined: Oct 26, 2008
  Messages: 2,916
  Likes Received: 162
  Trophy Points: 160
  Huna hata aibu?? Huyo aliyekulipa vijisenti uje uweke upupu hapa JF mwambie amechemka. Kama wewe ni miongoni mwa akina lukuvi pole!!!

  Lakini si uende mahakamani kama amekuonea???
   
 14. M

  Magezi JF-Expert Member

  #14
  Feb 10, 2010
  Joined: Oct 26, 2008
  Messages: 2,916
  Likes Received: 162
  Trophy Points: 160
  Mkuu umeijua JF lini??
   
 15. N

  Nanu JF-Expert Member

  #15
  Feb 10, 2010
  Joined: May 29, 2009
  Messages: 1,224
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  kwakweli huyu naona wana JF tumemshtukia!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
   
 16. M

  Magezi JF-Expert Member

  #16
  Feb 10, 2010
  Joined: Oct 26, 2008
  Messages: 2,916
  Likes Received: 162
  Trophy Points: 160
  Mkaine akashengo....omurangira abakwasire kubi!!
   
 17. N

  Nanu JF-Expert Member

  #17
  Feb 10, 2010
  Joined: May 29, 2009
  Messages: 1,224
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  spelling ikikosewa haina uhusiano na kisomo au akili ya mtu. inategemea na mchapaji na editor na ndiyo maana huwa kuna editions zinazofuata baada ya edition ya kwanza na editions hizi huwa zinarekebisha makosa madomadogo za edition ya awali na kuweka nyongeza kama zitakuwepo au kuondoa zingine kama zipo......
   
 18. w

  wisdom11 Member

  #18
  Feb 10, 2010
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 6
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mwandishi wa kitabu ametoa First Edition, ndio kitabu kina mapungufu mengi ukizingatia mukadha wa uandishi wa kitabu. Naona mwandishi alikuwa ametiwa shime sana kuhakikisha wananchi amabo ndi wapiga kura kuwa wajue ukweli kuhusu viongozi wanaotawala na kwa hilo amefanikiwa.
  Ni marekebisho muhimiu yanatotakiwa ayafanye pindi atakapo toa second Edition ili kiwe bora zaidi na pia anahitataji msaada wa kimawazo katika hili na huo ndi umuhimu wa uchambuzi wa vitabu.
  Mwisho nampongeza mwandishi kwa kazi aliyoifanya amejitahidi kukusanya taarifa husika kwa kadiri ya uwezo na muda alioupata pia apite kwenye taasisi zetu za elimu kwani pia kuna waalimu wabaishaji sana.
   
 19. Faru Kabula

  Faru Kabula JF-Expert Member

  #19
  Feb 10, 2010
  Joined: Mar 26, 2009
  Messages: 11,006
  Likes Received: 3,263
  Trophy Points: 280
  Maybe alikuwa anaichungulia as a guest !!!
   
 20. k

  kisikichampingo Senior Member

  #20
  Feb 10, 2010
  Joined: Oct 28, 2009
  Messages: 129
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Na inawezekana kabisa makosa yalitokana na spidi ya kuanika mambo hadharani, kabla mafisadi wa elimu hawajamdhuru. Cha muhimu hapa ni kuangalia maudhui yaliyomo kwenye kitabu; "Je, wamesingiziwa?" Kama ndiyo, waende Kisutu.
   
 1. This site uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
  By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.
  Dismiss Notice
 1. This site uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
  By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.
  Dismiss Notice
Loading...