Rais Kagame aishutumu Tanzania

Rais Kagame aishutumu Tanzania

Rwanda kuna matatizo ya Ndani na Kagame lazima ayashughulikie. Kulaumu majirani zake 'wholesale' kama anavyofanya sasa haitasaidia ila itazidi kufanya mambo yawe 'complicated' zaidi.

Kuna maoni na maoni na mengi yanayosemwa kuhusu ukabila na nini ni uongo tu. Rwanda tatizo la sasa si ukabila bali ni utawala wa kiimla. Hawa wanaoasi sasa na wanaotishia utawala wa Kagame ni watu waliosaidiana naye kuondoa GENOCIDE. Kagame inatakiwa ajiangalie zaidi yeye kuliko kuwaangalia majirani zake.

Ni kweli kuwa hawa walikuwa watu influential katika jeshi la Rwanda na kuondoka kwao kunawafanya watu waliokuwa wanampigia Kagame makofi bila kumwangalia vizuri wajiulize kulikoni?

Hizi theories za ooh watusi wana akili au wayahudi wako tofauti na watu wengine ni uzushi usiokuwa na ushahidi wowote wa kisayansi. Ila zinaendekezwa ama kwa lengo la kutaka kuwabagua watu au kwa lengo la kuendeleza maslahi binafsi. Hakuna ushahidi wowote 'credible' wa kisayansi ambao umeshathibitisha kuwa intelligence ina uhusiano na kabila, rangi, koo, n,k. Kinachowatofautisha makundi ya watu ni opportunities or lack of it ... basi.

Ukitaka kumbagua mtutsi mbague tu, ila usiseme eti unambagua kwa kuwa ana akili sana na yuko focused au eti anataka kutawala east Africa.
 
Mimi niwachukie nyinyi Watutsi kwa kisa gani? You have nothing to us and we do not want anything from you. Wewe ndio uko biased, Tanzania sio shamba la bibi? Sisi Watanzania ( I mean myself personally nimechangia pesa zangu kwa ukombozi kusini mwa Afrika pamoja na kuwasaidia wakimbizi kutoka Rwanda, Burundi, Uganda , Congo etc.) Wema wetu ndio mnataka kuutumia vibaya.

Ni hivi karibuni Watanzania wengi wamekuwa wakipoteza mali zao kwenye nchi tulizowasaidia including you Tutsis. Mnataka kuharakisha hii EAF na wewe Koba mawazo yako ya kimgando mgando unaona kama unaonewa. Why can't you stay in your country? Specifically you unaweka u-dictactor wako kama vile wewe ni Mtanzania kuliko Watanzania wenyewe wa asili. kwa nini huendi kukaa na watutsi wenzako kama unawapenda sana? You kill yourselves then mnategemea Tanzania kubeba uozo na mizoga yenu. Nenda leo mikoa ya Shinyanga, Mwanza, Kigoma mmeharibu kila sehemu na ujambazi kule leo unakuja na ujasiri hapa wa kutaka kutuamulia mambo yetu. You must be kidding na mkileta fyoko fyoko mtakiona cha mtema kuni ukarimu wetu umefika kikomo.

Nyerere tunamuenzi kwa kuwa kiongozi bora katika nchi yetu lakini kamwe hatuwezi kubabaishwa na wauaji kama Kagame na kundi lake la mafisadi. Mmechuma sana Tanzania na mnafikiri hatufahamu manachohitaji? Hicho mtakipata tena very soon.

BTW I told you in the other threads do not think tumelala tupo macho na wala hamuwezi kutudanganya kitu.

...hivi hili **** sijui nani kaliambia mimi ni mtutsi or sijui kagame,just bcause nina different view na wewe basi ushaniona mtutsi,watutsi ni watu kama wewe kama huwapendi hayo ni matatizo yako and nobody care na hakuna kitu utawafanya,na hakuna mtu mwenye akili humu anaongea upumbavu wako wa hutu vs tutsi,people like you kitu chochote kinachomhusu kagame mnakiona through tutsi/hutu BS,nenda kigali then ulete story zako za tutsi/hutu uone cha moto,Rwandese hawataki kusikia people ignorant kama wewe,nina uhakika Nyerere angekuwa anamheshimu sana Kagame kwa aliyofanyia wananchi wake kuliko rofa kama wewe na siasa zako za kikabila.
 
Duh!

Hapa nadhani hapa Tanzania tunakumbuka tena kuwa kila sarafu yenye sura ya rais wa nchi pia ilikuwa na sura ya mnyama wa ajabu.
 
KipimaPembe umeongea. Napata tatizo jinsi watanzania wengi wasivyoelewa hata kidogo masuala ya wahutu na watusi. Mimi natoka karibu kabisa na hivyo vinchi, tena kiasili tuna-share na hao jamaa utamaduni na asili. Watu wa kwetu, ni mara nyingi tunaitwa makabila ya huko. Hatupendi, lakini tunasamehe kwa sababu mtu asiyeelewa, unamwelewesha akitaka, asipotaka basi. Ni kwamba, asili ya mtu haina uhusiano na IQ, mtu wa Rwanda/Burundi has nothing to do with their counterparts in neighboring countries as it applies to wadigo wa Kenya na TZ. Tunaishi kwa kuhisi tu, kwani sheria za nchi zinasemaje kuhusu raia ni nani? Hivi unaweza kujua uraia wa mtu kwa kumtazama usoni. BTW, watu wa Wilaya yangu ndio wa kwanza kupinga hii federation, maana ndio wanayajua maumivu ya hawa jamaa. Ingekuwa suala ni undugu, basi watu wa mipakani wangetaka tuungane hara, but is that the case. Ni watu kama wengine, suala ni governance, japo na sisi tunawaliwa na manyang'au..yetu ni nusu shari, ila tuangalie lisiwe shari kamili. They r a burden to us really in terms of resources! Sisi tunawaombea mema, but the guys r out of control again! Nawasihi wanaopenda kuita watu wanaotoka karibu na mipakani kuwa siyo raia bila kuwa na uhakika waache mara majoa, hii pia itafanya na hapa TZ pachimbike. Mnacheka wengine wakati na baadhi wanaanzisha hayo hayo.
 
I don't care na ushambenga wako cause your bullocks points can never sway those in the knowing. People like you who want to sway views of Tanzanians using Mwalimus name are known and there is nothing you can do about it. If you aren't free thats your business. Why shuold I go to Kigali? You are the one who should go back to your country and stop moaning and crying about Tanzania where you belong by default.
 
Umoja wa Mataifa uliwahi kusema juu ya mambo haya na Tanzania kupitia Waziri wa mambo ya nje alikanusha kuwa wanahusika na mambo
 
Sishangai watu wa aina yako maana hata huku ninapoishi wapo Teaparties wanaoamini Obama doesnt belong here....hata in history from nazis to KKK watu wa aina yako wanaoishi kwa conspiracy theory & imaginary World with a false sense of patriotism walikuwepo lakini at the end of the day walikuwa wiped out,from Nigeria,Kenya,Liberia,Zimbabwe,Sudan etc ni mabwege kama wewe na siasa zenu za kikabila,dini na rangi ndio maana umaskini na mauaji hayaishi....endelea na belief zako za kijima lakini remember EAF ipo tayari na kina Kagame wanaendelea kushughulikia fooools kama wewe...kama una hasira sana ingia msituni.


Huna lolote wewe ndio unatafuta sympathy nani asiyekujua na topics zako za ututsi/ uhutu etc nothing new there...
 

"Tutsi's are damn intelligent, nimesoma nao undergraudate, wapo so bright na focused, (the likes of Waisrael) "

Bwana, Usitudanganye hapa tumesoma na hao Wa-Tutsi na tumesoma huko nje na "Jews" darasani tulikuwa tunawapiga bao, uwezo wa mtu ni kila mmoja na kipaji chake wale usijejidanganya na kudanganya wengine eti njemba hizo zina uwezo kuliko wengine darasani huo ni uzushi na naona wanataka watu waamini hivyo. Wayahudi ni watu wa kawaida kama wewe na mimi na wachina wengine lakini wao wanaishi kwa umoja na kusaidiana kutokana na historia yao. Wanausemi: If Iam not for myself who will be for me? and If I am only for myself who am I? of course the answer is simple is (Jew) ha hawa majirani zetu wanaigiza huu mziki na kuwataka akina karumekenge waamini hivyo.

Lakini huyu Bwana katika mada hii anaelewa vizuri kuwa Bongo ni mdomo wa mamba ukijiingiza hutoki anajuwa yaliyompata Idd Amin. Ila Watanzania tusichoke tuwe macho. unaweza kusikiwa siku moja Kigoma, Ngara, Kivus zote ni sehemu ya taifa jipya "Bahima Republic" Lakini wanafahamu hilo haliwezekani ndiyo maana wanakimbilia kwa jirani zetu DRC.
 
...huyu jamaa nilimwona mwendawazimu na nikagundua kwa nini Nyerere alikuwa hampendi ni pale alipo suggest vinchi vidogo dogo kama Rwanda na Burundi ni visumbufu sana why not take them na kuweka serikali ambayo tunaweza kuiweka sawa,huyu jamaa kina Kagame hawataki kumsikia kabisa na angekuwa raisi ungeona uhusiano na hizo nchi ungekuwa kama sumu

...Jokakuu na Kitila i dont support uharamia au unyanyasaji wa wannchi wa hizo nchi kutoka pande zote either tutsi or hutu,lakini suggesting kwenda kuvamia hizo nchi na kuweka chini yetu ili kupata serikali makini kwangu huo ni wendawazimu na i doubt kama tunaweza kuwapiga hao jamaa kijeshi kirahisi kama inavyoonekana hapa...vita ya kagera tuu mpaka leo effect zake hazijaisha ndio uanze na hao tena ambao hata hawajakuchokoza,Jokakuu historia ya wahutu na watuts ni very complex kwa mimi kuchukua any side ila you sound unajua sana hizo crisis za hii region ingawaje seems uko bias kidogo
..kitila hii sasa naita shallow,jaribu kuangalia vizuri hao jamaa wanavyoendeea sasa kuanzia kwenye Demokrasi,uchumi na utawala wa sheria...kwa sasa kiuchumi tuko nyuma ya hizo nchi ukae ukijua,anyway jaribu kuchunguza kuliko kutoa statements kama hizo utashangaa na utachukia sana mafisadi
....i sure respect malecela kwa hili na kuwa mkweli,na sioni ubaya kuchukua side kama alivyofanya na kuamini watutsi ndio chanzo cha matatizo lakini mkuu(FM) unategemea kagame akae kimya huku watu wakichinjwa kiasi kile na mambo ya congo kule kabila baada ya kusaidiwa kumtoa mobutu na makubaliano yalikuwa lazima azuie interahamwe wasirudie walichofanya maana walipiga camp congo lakini yeye akawageuka na kuwapa silaha interahamwe ...mkuu huoni hapo ni deal chafu tuu kabila alicheza,anyway a hiyo ya kupigana na mushinda kirahisi hizi nchi mkuu hapo sina cha kusema lakini mmmhFPRIVATE "TYPE=PICT;ALT=" !
..well kuna concipiracy theory nyingi sana kuhusu this great lake region crisis mpaka wakati mwingine unashindwa uamini nini na usiamini nini..im sure you're very aware na hizi theories za hima empire,Madini,Nyerere ni mtutsi,Banyamurenge,wafaransa na wabeligiji,kabila betrayal,kurudi kwa interahamwe list goes on and on...hii inabidi iwe na topic yake maana ninajua kuna watu wanajua na wamefanya sana kazi kwenye hiyo region kuhusiana na hii migogoro,lakini at the end of the day kila mtu hamwamini mwenzake na hiyo ya Mugabe na Kabila kuuliwa na mtoto wake ndio leo naisikia hapa,basi inaonekana kuna mengi sana sio uhutu na ututsi tuu inabidi tujue
...acha kuongea vitu usivyojua wewe na uache kukurupuka na bora uanze kutafuta facts kabla ya kuandika huo utumbo wako hapo juu,kwa taarifa yako serikali haitumii hata senti tano kuhudumia hao wakimbizi...sanasana na yenyewe inataka kupata pande hapo hapo kutokana na hizo hela za wakimbizi na hiyo ya Nyerere you sound huna idea kabisaa eti M7 na kagame wanakataza waasi wasiende kwenye mazungumzo ...hujui kitu bora unyamaze tuu!
 
...jokaKuu maneno ya kweli hayo? kule kwa babu yangu unapata eka kwa dola mia mia tuu au chini ya hapo (serious) na ni ardhi safi kabisa inayostawi,sasa eka 300 kwa PM mbona ni ndogo sana au kuna kitu sielewi hapo.
 
....babu una beef gani na watutsi?seems wale 1 milion mliowaua hawatoshi sasa mnataka kuwamaliza wote waliobaki,ni ngumu kuamini watu kama nyie mnaishi lakini ndio hali halisi ya maisha na kina Kagame hawana choice zaidi ya kujiweka tayari kwa ajiri ya watu kama wewe,na hata story ya Rwanda inaonekana huijui na hujui kwanini kina kagame waliamua kupigana miaka yote ile,Kagame alikimbia nchi yake tangu 1959 akiwa na miaka mitano na walikataliwa kurudi,wakauliwa zaidi ya milioni moja kwa sababu ni watutsi...sasa sijui ulitaka wafanye nini?
.....endelea na bogus consipiracy theory zako,na hii ndio sababu nzuri sana kwa kina Kagame kujiweka sawa kila siku kwa ajiri ya watu wa aina yako,yaani hizi idea sijui mliletewa na nani? na unajua kabisa unaongea uwongo eti ni story ya mtutsi
Ushenzi uliotokea 1994 ni ignorance masses kama wewe mliodanganywa kwa story za aina hii mkakubali,kagame hana interest ya kuvamia TZ na wanamheshimu sana Nyerere na Watanzania na hata ukiangalia strategy kubwa zao sasa ni kushirikiana zaidi na TZ kuliko hata Kenya & Uganda,na ujue kupigania nchi yako ili urudi kutoka ukimbizini na kufanywa second rate citizen for generation sio kupenda power na ina make sense to any decent human being
Na ujue Kagame hakuingia Congo kwa ajiri ya theory zenu za kutaka madini,kumwondoa Mobutu na kuwanyuka extremist hutu waliokimbilia huko was the right thing to do,tatizo alishirikiana na kabila senior mwenye akili fupi kama wewe, Congo wameelewa hilo ndio maana sasa wamerudisha balozi na wanashirikiana kila kitu na hata kuwachapa ndugu zako wa FDLR,.
Anyway kwa sasa hakuna kitu kinaitwa tutsi/hutu ndani ya Rwanda na ni kosa punishable by law kutumia,wenzako wanasonga mbele hakuna kuangalia nyuma na ukileta theory zako za genocide watakushughulikia to the maximum
.....ni kina nyerere na good people of TZ sio mpuuzi bias kama wewe with your extremes views towards tutsi people!

Sasa huyo ndio Koba yupo hapa kwa default anaweweseka tu na Ututsi/uhutu wake hana amani kichwani kwake hana uhuru kichwani kwake, ili mradi Tanzania iwe shamba la bibi yeye hilo ndio la muhimu lakini ukimwambia basi rudi kwenu ukupendako anakuja mbogo na matusi yasiyokuwa na mpaka. Atatumia jina la mwalimu kama vile yeye ndiye mmiliki na kujibadili kama kinyonga ili mradi azma yake isikike, as I told you before hatujalala bado ni mchana kweupe pe!
 
 

 




Sasa huyo ndio Koba yupo hapa kwa default anaweweseka tu na Ututsi/uhutu wake hana amani kichwani kwake hana uhuru kichwani kwake, ili mradi Tanzania iwe shamba la bibi yeye hilo ndio la muhimu lakini ukimwambia basi rudi kwenu ukupendako anakuja mbogo na matusi yasiyokuwa na mpaka. Atatumia jina la mwalimu kama vile yeye ndiye mmiliki na kujibadili kama kinyonga ili mradi azma yake isikike, as I told you before hatujalala bado ni mchana kweupe pe!

...Africa safari ndefu sana bado,anyway bro hatutakuacha nyuma hata kwa viboko utaenda tuu,tukikuacha utakuwa mzigo wa next generations to come
 
I am not well informed on this discussion. Would someone shed light on the following?

a: In Rwanda 1994, approximately one million persons were killed. Of those one million, how many were Hutus? 100%? 95%? 50%? 5%? 0%?

b. What was the Tutsi Population before genocide, and what was it immediately after? What was the Hutu Population before genocide, and what was it immediately after?
 
...Africa safari ndefu sana bado,anyway bro hatutakuacha nyuma hata kwa viboko utaenda tuu,tukikuacha utakuwa mzigo wa next generations to come

Ndio shida yenu ni ukabila tu mnaufahamu, mnachinjana kama kuku then mnakimbillia bongo shukuruni lakini ukarinu wetu una kikomo. Utampeleka punda kunywa maji lakini huwezi kumnywesha si unaona tabia zako bado kubadilika pamoja na kusomeshwa bure na kulelewa kama yatima, mna safari ndefu sisi Tanzania huko kwenye ukabila tumevuka. Na siwezi kupoteza muda wangu na loser kama wewe ambaye mawazo yake yamefilisika.
 
Ndio shida yenu ni ukabila tu mnaufahamu, mnachinjana kama kuku then mnakimbillia bongo shukuruni lakini ukarinu wetu una kikomo. Utampeleka punda kunywa maji lakini huwezi kumnywesha si unaona tabia zako bado kubadilika pamoja na kusomeshwa bure na kulelewa kama yatima, mna safari ndefu sisi Tanzania huko kwenye ukabila tumevuka. Na siwezi kupoteza muda wangu na loser kama wewe ambaye mawazo yake yamefilisika.

that cheap stuff & ignoramus is for you and only you,its a better fit and you seem to thrive on it...sane thinking is the first casuality of extremism!
 
"Tutsi's are damn intelligent, nimesoma nao undergraudate, wapo so bright na focused, (the likes of Waisrael) "

Bwana, Usitudanganye hapa tumesoma na hao Wa-Tutsi na tumesoma huko nje na "Jews" darasani tulikuwa tunawapiga bao, uwezo wa mtu ni kila mmoja na kipaji chake wale usijejidanganya na kudanganya wengine eti njemba hizo zina uwezo kuliko wengine darasani huo ni uzushi na naona wanataka watu waamini hivyo. Wayahudi ni watu wa kawaida kama wewe na mimi na wachina wengine lakini wao wanaishi kwa umoja na kusaidiana kutokana na historia yao. Wanausemi: If Iam not for myself who will be for me? and If I am only for myself who am I? of course the answer is simple is (Jew) ha hawa majirani zetu wanaigiza huu mziki na kuwataka akina karumekenge waamini hivyo.

Lakini huyu Bwana katika mada hii anaelewa vizuri kuwa Bongo ni mdomo wa mamba ukijiingiza hutoki anajuwa yaliyompata Idd Amin. Ila Watanzania tusichoke tuwe macho. unaweza kusikiwa siku moja Kigoma, Ngara, Kivus zote ni sehemu ya taifa jipya "Bahima Republic" Lakini wanafahamu hilo haliwezekani ndiyo maana wanakimbilia kwa jirani zetu DRC.


Jamani mpango wa Bahima Republic haupo, na haukuwahi kuwepo. Tusishindane na tatizo ambalo halipo. Sijui kwa nini watu hawataki kuelewa kuwa jamaa wale matatizo yao ni ya ndani zaidi. Mbona mi hawajanishirikisha, nina asili hiyo, but i have nothing to do with those countries. Mi nina uhakika na ninachokisema. Nashauri watanzania tusichokoze, maana tunaweza kuaibika. Ila wakituchokoza ni kichapo kwa kwenda mbele! Kwa Koba na Wacha1, nawasihi na kuwaomba to burry your hatchets. Hivi mnafahamiana? Kwa Wacha1, i appreciate your stance on EAF, ukiendelea ha hayo utawapa nafasi kina Smatta kuendela na propaganda zao za hili Shirikisho la AM la kutuletea mafisadi wa nje! manyang'au!
 
Babukijana, wacha and etc. are feeding us with shit
get the fact,kama unakataa tulioyaongea is up to you,hatuwezi kukulazimisha,by the way sie tunaongea tu hapa,theres nothn to Do with us,ila kwa mimi kila nilichoandika nina uhakika nacho bcoz i have source za hizo habari ambapo nikikupeleka huko na wewe utashangaa,mimi nimezisoma sababu tu story zao ziko more interesting to know,unaweza ukasoma pia ukitaka.
 
..the blood of more than 1 million Congolese that were slaughtered by RPF is haunting Kagame regime and his henchmen[Kabarebe,Nyamwasa,...]

..these thugs need to appear before an International Court of War Crimes that were committed in Congo.

..there were two genocides in Congo. the first one took place during RPF's campaign to remove Mobutu Sese Seko. the second genocide was during the war against Kabila when Rwanda tried to annex part of Congo's territory.
 
Kagame na Museveni ni wamoja hawa.Trouble makers ambao Western Countries hasa UK na USA wamewabeba.Ubaya Afrika ya sasa hatuna leadership .
Tukumbuke Mu7 is a war criminal vilevile,ameua watu wengi sana UG.Yuko kwenye power tangu 1986,na anahakikisha Uganda itakuwa under his family for generation.
Kumbuka mtoto wake Muhoozi,ndie anamlinda,amesomeshwa kwenye top military school in USA na UK.Kagame mwenyewe Wamarekani walimfundisha kwenye military school.

Kagame ni mtusi,war mongering people,ambao wameidestabilise Congo kwa muda mrefu.Hawa na Wasomali hawatofautiani
Kagame ametumia genocide card kuzima aina yoyote ya upinzani wa majority HUTU.

Western countries wanazungumzia genocide sana.Hawasemi kuwa genocide ilitokea baada ya ndege iliyokuwa na marais 2 kutunguliwa na Watusi.Haijawahi kutokea duniani kuwa 2 presidents wanaperish namna hii.na hao marais walikuwa wahutu,ambao ni majority ya watu wa Rwanda/Burundi.

France under Chirac walijua hii ,lakini huyu Rais mpya wa France ambae ni pro angloamerican alliance ,amefyata mkia,ndio maana juzi alikuja Rwanda.Kagame ameingia Commonwealth nafikiri ni kutaka kuiembarass France,maana maJudge Ufaransa walisema Kagame ndie muhusika mkuu wa kutungua ndege hizi.

Tanzania tumefyata mkia kwa Kagame,hatuwezi kumwambia kitu,maana amedestabilise Congo.
 
Back
Top Bottom