Recent content by mtelewaedson

  1. mtelewaedson

    Lionel Messi ashinda tuzo ya FIFA Ballon d’Or 2015

    Nilipenda R7 aibebe,ila naamin matokeo yatakuw km walivyopangwa kwny picha hapo juu. Ivo yan
  2. mtelewaedson

    Barua ya wazi kwa Hon.Dr John Magufuli. Yah; Ufisadi wa kutisha kiwanda cha karatasi Mgololo (SPM)

    mkuu ccbrt au ocean road? Kule hawadil na cancer,msaada tu
  3. mtelewaedson

    HIVI HAYA MATANGAZO YA HAWA MATABIBU VP!!!??

    Tunakoenda siko sasa. Toka lini mtu akahangaika na kutangaza huduma za kitabibu wakati kuugua kuna usiri wake? Mgonjwa huwa ni rahis sana kwake kupata sehem y kutibiwa hata km hutahangaika kujitangaza saaana utafikir unauza vileo. Khaaaa!!!! Dili zimezidi.
  4. mtelewaedson

    Wake za watu wamekuwa dili siku hizi, tatizo nini?

    mkuu umenena swafi kabisaaaah.
  5. mtelewaedson

    Miji inayo Ongoza kwa usafi

    asa mkuu hiv inakujaje hapo?
  6. mtelewaedson

    Yeye hanitaki na pia hataki niwe na mwingine

    Story za zaman sana hizi. Enzi hizo shaba ranks na chaka demus ndio mastaa. Pole mtoa mada,na wepesi wa akili.
  7. mtelewaedson

    Boxing day tumepigwa box

    Sio rahis kumchunga mtu aseee,duuuh.
  8. mtelewaedson

    Sub uffer yangu nashindwa kusikiliza Radio

    khikhikhikhiiiiiii,humu ndan kwel kuna vimbwanga
  9. mtelewaedson

    Bora mwanaume wa kibongo kuliko mwanaume mkenya

    Dalili ya mvua,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,. Plz usiipuuze hii sentensi.
  10. mtelewaedson

    Nifanyeje ili niondokane na maumivu haya?

    Waganga achana nao. Utajikuta umekuw mtumwa wa dawa ktk maisha yako yote. Yaache mambo km yalivyo.
  11. mtelewaedson

    Nifanyeje ili niondokane na maumivu haya?

    Wengn tushapita huko. Mdgo wang jivue gamba kiume,japo maumiv yake sio kidgo ila ni ya muda. Huyo mtaishia naye pabaya sana. Fumba macho kiume kwel kwel kaa pembeni. Jiweke tyr kuumia,ili maumiv yakianza usishangae. Wengi wamefel shule sabb y haya mambo. Zingatia.
  12. mtelewaedson

    Magufuli aendelea kutumbua Majipu: Mkurugenzi Hospitali ya Ocean Road Asimamishwa

    Ocean road hapafai. Km ni ruhusa kuwa na hsptl binafc,poa. Ila sio ruhusa kuona ulikoajiriwa mambo yanakuw hovyo,wakat kule kwako kunakuw kutamu. Na kichwa ni kile kile,kuna makusudi hapo.
  13. mtelewaedson

    Hebu tumwogope Mwenyezi Mungu Jamani! Hivi kweli ni Halali?

    Hiyo mijitu na mibobonya sana. Sie sio wazungu. Malezi ya kimende hayo. Hapo ni sawa na hg kukushika makal*o yako. Aibu tupu
  14. mtelewaedson

    Ada elekezi shule binafsi tayari

    na huo ndio ukweli wanaoukimbia,ni wazi wanajua ila ni wavivu tu kuamua kufanya. Ziboreshwe shule za kina kayumba,hkn atakayeenda private. Ubishi tuhh,
  15. mtelewaedson

    Kwanini ndege haiwezi kufikia anga ya bluu?

    gravitational force=kani ya uvutano
Back
Top Bottom