HIVI HAYA MATANGAZO YA HAWA MATABIBU VP!!!??

Ksuley

JF-Expert Member
Dec 18, 2015
1,166
445
Hbr Ya Jioni Wanajamvi, Hivi Haya Matangazo Ya Matabibu Ambayo Wizara Ya Afya Limepiga Marufuku!! Mbona Yanaendelea Tu Kama Kawaida!!!?? Nimetoka KULIONA STARTV La FADHAGET!! Hata Juzi Lilikuwa Hewani Pia!! Je, Wizara Kama SERIKALI Imeshindwa!!!!??
 
Jana nilikuwa naenda shamba katika kubadili badili redio nilikutana na kipindi cha Tamtam za mwambao na East Africa Radio kikiwa kimedhaminiwa na Dr Mwaka. Kama isitoshe kuna nyimbo ya taarabu ilikuwa hewani ikimtukuza Dr Mwaka na kazi zake. Ilinishangaza ya kwamba Agizo la Serikali limepuuzwa!? Au jamaa wanatumia ndumba kuipumbaza Serikali!!
 
Tunakoenda siko sasa. Toka lini mtu akahangaika na kutangaza huduma za kitabibu wakati kuugua kuna usiri wake?
Mgonjwa huwa ni rahis sana kwake kupata sehem y kutibiwa hata km hutahangaika kujitangaza saaana utafikir unauza vileo. Khaaaa!!!! Dili zimezidi.
 
Kama ni kosa tbc waombe radhi kwa kumtangaza Babu wa lolyondo na Matunge.
 
Back
Top Bottom