Hongera kwa hatua nzuri ya kuwa na gari katka umri huwo, Mungu ameweka umri wa wew kuanza kupata mtoto kwa maana ya ukishabarehe tyari una uwezo was kupata mtoto.
Lakini umri sahihi individually inategemeana na wew mwenyewe utayari wako upoje mfano uwezo wa kuhudumia lakin pia maamuzi binafsi.
Habarini,
Napenda kujua ni kwa namna gani mtuhumiwa anatakiwa kukamatwa kisheria? Na mkamataji ana wajibu wa kufanya nini kwanza kwa mtuhumiwa kabla ya kumkamata?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.