Ncha Kali
JF-Expert Member
- Sep 19, 2019
- 15,404
- 29,370
Mkuu uliza kwanza uelekezwe, usikariri!
Nimeanza Masters mwaka 2018,nimeishi Hostel 2018/19 na 2019/20 nilitarajia kumaliza chuo,(May 2020),sikumaliza (mambo ya covid)
Nikalazimika kupanga Chumba mwezi wa saba, na kununua hivyo vitu, sasa kinachofanya ushangae ni nini?
Sent from my Z9 using JamiiForums mobile app
Mkuu sijashangaa, nimekuwa interested!