Speed ya halotel ni hatari saana

Speed ya halotel ni hatari saana

Mimi natumia TTCL huwa inaandika B/s or K/s, tafsiri yake ni nin? Au mtandao upo low sanaa?
 
Hii hii halotel nayotumia mm huku kigulu au ni version tofaut...
 
[emoji28]fanya kama una jigeuza afu u screenshoot tena
 
Ni kweli Halotel imekua na speed kubwa sana kiasi kwamba onlone tv za hd unaangalia bila kuganda ganda.
 
Back
Top Bottom