Habarini wanaJF, mimi Nina wiki moja tangu nijiunge na JF, nilijisahau kujitambulisha, ninaitwa ABDALLAH MTAUNAKI. Naomba ushirikiano wenu.