Paula Paul
JF-Expert Member
- Oct 23, 2019
- 4,647
- 13,648
Wapo kwenye umri sahihi lakini unapoongelea "utayari" tayari ni jambo lingine.Duh seriously?
Umri haujalishi?
Msichana 16 years na mvulana 17 years
Wakiona wako tayari ..it's OK?
Ndio maana nilisema umri haujalishi, bali "utayari" ni jambo muhimu. Je upo tayari? Una uwezo wa kuwa baba? Una uwezo wa kuwa mama? Una uwezo wa kumlea huyo mtoto?
Miaka 16 miaka 17 miaka 18 miaka 20 watu wanaoana sana The Boss. Yaani unaona ni watoto kabisa lakini ni wana-ndoa.