Tanzania/Waafrika wengi;moja ya dalili za mafanikio ni mtu kuwa na kitambi,overweight or even obese.Utasikia 'mambo yake safi siku hizi,juzi nimekutana nae,kanenepa huyo'...Ukiwa mwembamba hivi,na wasipojua deals zako,watakwambia umefulia.
Kwahiyo wapo wengi wanaodhani kunenepeana ndiyo afya...