You are entitled to your opinion, kama mtu fake ni fake tu msitake kumsafisha wakati hana usafi wowote.
yeah and its not a must to agree with it.what is fake btw?do we have anything fake in the world of our ordinary experience or even outside of it?
You are entitled to your opinion, kama mtu fake ni fake tu msitake kumsafisha wakati hana usafi wowote.
Hata kwenye wale samaki ambao aliingizia Serikali hasara ya shilingi 1.2 billioni kama gharama za kuwahifadhi pia alikuwa na plan nzuri tu!
Kesi si bado iko mahakamani?Ulitaka agawe kidhibiti mapemaaaa?
Mtarajiwa,
..kwanini unafikiri ni wazo baya kumshauri Magufuli arudishe nyumba aliyojitwalia?
DK magufuli leo aliamua kuitokea kampuni moja inayofanykazi ya kuhifadhi samaki;pale alipokuta vibua vinaagizwa toka yemen na japa ambavyo hutumika kwao kama chambo ya kuwapata"TUNA"
Baada ya kullamika kwa nini wanawalisha chambo watanzania samaki walioshindikana huko kwao walikiri na kuomba samahani na kuahidi tani 2250 waliyoagiza aitakuja tena,...
wakti huo huo alifumania kampuni moja inayofanya kazi ya kutengeneza nyavu haramu;hilo nalo amewaaapia ata deal nao sambamba;
kazi unayo baba;mwaka wako
Mungu yuko nyuma yako

Kwa hili nampongeza Magufuli ingawa hatua zimechelewa kuchukulia. Nadhani watu wengi wa Dar watakuwa wanalifahamu hili tatizo la vibua. watu walikuwa wanapata madhara walipokuwa wakila hawa samaki. Watu wengi walijua ni vibua toka hapa kwetu waliozoeleka. lakini watu walikuwa wanchubuka ngozi baada ya kula hawa samaki. Watu walikuwa wakisema ni vibua toka Msumbiji nk.
Hivi Magufuli nae ana Ph.D?
Amandla.....
Kwa hiyo Mkuu wake hata kama anaboronga na nchi inaenda mrama, yeye anaangalia pembeni tu bora liende! basi turidhike tu na kumpigia makofi kwamba ni kiongozi bora! Kiongozi bora huwa hakai kimya kama anaona nchi inaenda mrama lazima atatoa sauti yake ili kuinusuru nchi, kukaa kwake kimya ni kuonyesha kuridhika na utendaji wa boss wake ambao unalalamikiwa kila siku na Watanzania walio wengi.
Kama hao vibua walikuwa wanahatarisha afya za walaji kwa nini wauzaji hawakufunguliwa mashtaka? Mnaamini kweli watakubali kuingi hasara ya kuharibu samaki waliowaagiza kutokana na kauli tu ya waziri? Mimi ningemwelewa kama angeagiza kimya kimya mamlaka husika zichunguze ubora wa hao samaki ili kama ni wabovu basi wahusika wapelekwe mbele ya sheria na tamko rasmi litolewe kupiga marufuku uagizaji na uuzaji wa samaki wa aina hiyo! Sio hizi propaganda.
Amandla......
Siye Wadanganyika tunachekesha sana. Huyu bwana alihusika kwa karibu sana na maamuzi ya uuzwaji nyumba ambayo yameliingizia Taifa hasara kubwa sana kwa kuwalipia Wafanyakazi mabilioni ya shilingi kwa gharama za kuishi mahotelini. Miezi michache iliyopita kaliingizia tena Taifa hasara ya shilingi bilioni 1.2 kwa gharama za kuhifadhi samaki, lakini pamoja na maamuzi haya mabovu ambayo yameligharimu Taifa pesa chungu nzima bado kuna wadanganyika wanamuona huyu bwana anastahili sana kuwa Kiongozi wa nchi yetu kitu ambacho kinanistaajabisha sana. Hivi mtu afanye nini mpaka tuweze kusema huyu kama kiongozi hatufai kutokana na mambo kadhaa wa kadha? Naona kuna watetezi wa Magufuli wamemwaga hapa kwa fujo ili kumpigia debe magufuli.
..mimi ningemshukuru sana Magufuli kama angejutia makosa yake kwa kuuza zile nyumba za serikali.
..halafu ningemuona shujaa kama angeamua kurejesha serikalini nyumba aliyojitwalia ktk zoezi lile.
..waandishi wa habari mkikutana na Magufuli muulizeni kwanini harejeshi nyumba yetu aliyojitwalia?