Asilimia 40 ya bidhaa nchini ni feki

Mhache

JF-Expert Member
Jun 20, 2008
345
24
Je tutafika? Leo nimesikia kwenye vyombo vya habari kuwa asilimia arobaini ya bidhaa zinazouzwa hapa nchini ni feki, zisikuwa sahihi kwa matumizi ya binadamu. Hii hali imenishtua sana. Kwani ni vigumu watu au watanzania tulio wengi kugundua au kujua kitu ambacho ni FAKE au GENUINE. Zinahitajika juhudi za ziada kuwaokoa wa-Tanzania. Kinyume na hapo tutalipoteza taifa hili.

Cha kujiuliza, hizo bidhaa feki hadi kufikia asilimia arobaini zinaingiaje nchini? TRA wananfanya nini? TBS wanafanya nini? Wafanyakazi mipakani, viwanja vya ndege na bandarini wanafanya kazi gani? Hayo ni maswali ambayo sina majibu la haraka. Je nini kifanyike. Nchi inanuka rushwa. Maisha ya wananchi yapo hatarini.
 
Daaah hata hio komputer uliotumia kuandikia huo ujumbe inawezekana nayo ni feki...! Ha ha ha ha...! Watanzania tunapenda vya rahisi, but modern, so the best way ni kupata vilivyo feki lakini tuonekane tunavyo...! By the way ukiuliza ni watu wangapi walio na genuine Window OS or Genuine Office software au ni wangapi wanenda dukani kununua albam ya wanamuziki, utapata jibu, wengi wana pirated softwares and the like, no one dares to buy genuine things because of its prices but as well because we want quality things at a cheaper price so this answers your questions as to why our market is flooded with fake goods
 
Nimejaribu sana kulinganisha hizi kondoms za roughrider, si kama zilizokuwepo miaka ya nyuma. Hizi za siku hizi kwanza kuzifungua toka kwenye kimfuko chake ni hadi utumie meno au kijiwembe, hazifunguki kirahisi. Pili zinaonekana kama zimebana na kwa kweli hazihimili vishindo kama zile za miaka takriban mitano iliyopita. Hapa nabaki najiuliza kulikoni, wajanja wameamua kujitajirisha kwa kufanya ufisadi wa kutengeneza kondoms feki kwa gharama ya maisha ya watanzania.

Kitu kingine nilicho na wasiwasi nacho ni haya maziwa ya Nido yaliyo na label ya Africa Kusini. Haya nayo siamini kama ni maziwa yanayostahili kutumiwa na watanzania wa leo. Ni kwamba ukiyatia kwenye maji ya moto yanatengeneza vijibonge vidogovidogo, hayayeyuki vizuri. Hata ladha yake inatia shaka. Hapa napo naona wahuni wa kibiashara wameshaingilia soko wanatutengenezea bidhaa feki. TBS mko wapi? Nyie ndiyo tegemeo la afya na maisha yetu pambaneni na hawa wahuni wasiojali maisha ya watu.
 
aisee ni kweli hata mimi nimekua najiuliza kwa hapa ofisin , kwa nini kila nikiweka maji moto maziwa haya hayayeyuki yote , na hata taste ni tofauti kdg haya ya ofisini ni kopo kubwa kabisa, wakati yale ya nyumbani ninayotumia kopo dogo yana taste tofauti kabisa, na si kwa maziwa tu kuna bidhaa chungu mbovu za kufuatilia mfano tomato sauce,mafuta ya kula,jams,matunda ya barabarani kama ndizi, apple yanawekwa dawa ili yaive haraka, JE TBS , TFDA , FCC MKO WAPI? AU.........
 
Duh poleni waungwana, japo na mei nimekutana na kisanga kama hicho ila kwangu ni zile biscuits za EET SUR MO nazo watu wameanza kufyatua feki jamani hali kama hii itatufikisha wapi jamani.!
 
DK magufuli leo aliamua kuitokea kampuni moja inayofanykazi ya kuhifadhi samaki;pale alipokuta vibua vinaagizwa toka yemen na japa ambavyo hutumika kwao kama chambo ya kuwapata"TUNA"
Baada ya kullamika kwa nini wanawalisha chambo watanzania samaki walioshindikana huko kwao walikiri na kuomba samahani na kuahidi tani 2250 waliyoagiza aitakuja tena,...
wakti huo huo alifumania kampuni moja inayofanya kazi ya kutengeneza nyavu haramu;hilo nalo amewaaapia ata deal nao sambamba;

kazi unayo baba;mwaka wako

Mungu yuko nyuma yako
 
Magufuli ndiye kiongozi aliyebaki CCM,sema basi tu wanamuwekea kauzibe,lakini huyu jamaa kusema ukweli ni noma,ngumi jiwe,hana masihara katika kazi
Go Magufuli go...
 
..mimi ningemshukuru sana Magufuli kama angejutia makosa yake kwa kuuza zile nyumba za serikali.

..halafu ningemuona shujaa kama angeamua kurejesha serikalini nyumba aliyojitwalia ktk zoezi lile.

..waandishi wa habari mkikutana na Magufuli muulizeni kwanini harejeshi nyumba yetu aliyojitwalia?
 
Mkuu haya maamuzi si yalipitishwa na baraza la mawaziri chini ya uenyekiti wa Mkapa?Kwanini ni Magufuli tu ndiye unamuona awe wa kwanza kujutia?
 
Hata kama yalipitishwa na baraza la mawaziri lakini bado yalikuwa ni maamuzi haramu. Kama kweli Magufuli ni kiongozi mwenye maadili bora kama anavyopigiwa debe na watu mbali mbali hapa jukwaani anaweza kuwa mstari wa mbele na kutamka kwamba hayaungi mkono maamuzi ya kuziuza nyumba za Serikali kwa bei poa yaliyofanywa katika awamu ya tatu, hivyo nyumba yake aliyoichukua anaamua kuirudisha Serikalini, kinyume na hayo naye ni miongoni mwa wasio na maadili bora na hafai kama kiongozi wa nchi yetu.
 
Mtarajiwa,

..of course ilikuwa ni uamuzi wa cabinet.

..lakini uwezekano mkubwa ni kwamba hoja ya kujitwalia nyumba zile iliwasilishwa na kutetewa na waziri wa ujenzi wakati ule Magufuli.

..siyo rahisi kwa uamuzi ule kupitishwa bila kuungwa mkono na waziri husika.

..kwangu mimi nasema yaliyopita si ndwele. sasa hivi Magufuli anaweza ku-act kama mtu binafsi na kurudisha serikalini nyumba aliyojitwalia.

..namuomba Dr.Magufuli aonyeshe njia na kuwa mfano ktk suala hili.
 
Kuna lingine zaidi ya hapo nilipo bold??Yaani wewe umewekewa kitambaa cheupe mbele yako chenye kadoa kadogo keusi katikati halafu nikakuuliza unaona nini mbele yako,nina uhakika ungesema unaona hako kadoa keusi tu.

Binadamu hatuko kihivyo mkuu
 
.....Magufuli ameiva kiuongozi na kiutendaji.
Hawezi kumsaliti Mkuu wake.JK alipoingia ikulu aliahidi kurudisha nyumba nyingi zilizouzwa lakini mpaka leo hajatoa tamko rasmi na kwa taarifa tu ni kwamba JK alichimba mkwara mbuzi na kilichofuatia ni yeye JK kupewa nyuma maeneo ya MASAKI.ACTUALLY HAKUPEWA BALI ALILAZIMISHWA ACHUKUE ILI ASIONGELEE MAMBO HAYO.
Mwache MAGUFULI AFANYE KAZI YAKE KWA AMANI NA UMAKINI.
Bravo DK MAGUFULI,KEEP IT UP!
 
Kwa hiyo Mkuu wake hata kama anaboronga na nchi inaenda mrama, yeye anaangalia pembeni tu bora liende! basi turidhike tu na kumpigia makofi kwamba ni kiongozi bora! Kiongozi bora huwa hakai kimya kama anaona nchi inaenda mrama lazima atatoa sauti yake ili kuinusuru nchi, kukaa kwake kimya ni kuonyesha kuridhika na utendaji wa boss wake ambao unalalamikiwa kila siku na Watanzania walio wengi.
 
Kuna lingine zaidi ya hapo nilipo bold??Yaani wewe umewekewa kitambaa cheupe mbele yako chenye kadoa kadogo keusi katikati halafu nikakuuliza unaona nini mbele yako,nina uhakika ungesema unaona hako kadoa keusi tu.

Binadamu hatuko kihivyo mkuu

You are entitled to your opinion, kama mtu fake ni fake tu msitake kumsafisha wakati hana usafi wowote.
 
Mtarajiwa,

..of course ilikuwa ni uamuzi wa cabinet.

..lakini uwezekano mkubwa ni kwamba hoja ya kujitwalia nyumba zile iliwasilishwa na kutetewa na waziri wa ujenzi wakati ule Magufuli.

..siyo rahisi kwa uamuzi ule kupitishwa bila kuungwa mkono na waziri husika.

..kwangu mimi nasema yaliyopita si ndwele. sasa hivi Magufuli anaweza ku-act kama mtu binafsi na kurudisha serikalini nyumba aliyojitwalia.

..namuomba Dr.Magufuli aonyeshe njia na kuwa mfano ktk suala hili.

Mkuu Jokakuu,Una maana hata cabinet ingegoma au Mwenyekiti Mkapa basi Magufuli angekuwa na uwezo wa kuipitisha tu hoja yake?
Magufuli alikuwa na plan nzuri tu ya kukamilisha ujenzi wa nyumba nyingine nyingi za serikali.Kama sikosei kuna zile za Dodoma alishazikamilisha siku zile na zilikuwa nzuri kweli.Tatizo ni mtandao na siasa zao za kuviziana.
 
Hata kwenye wale samaki ambao aliingizia Serikali hasara ya shilingi 1.2 billioni kama gharama za kuwahifadhi pia alikuwa na plan nzuri tu!
 
Mtarajiwa said:
Mkuu Jokakuu,Una maana hata cabinet ingegoma au Mwenyekiti Mkapa basi Magufuli angekuwa na uwezo wa kuipitisha tu hoja yake?
Magufuli alikuwa na plan nzuri tu ya kukamilisha ujenzi wa nyumba nyingine nyingi za serikali.Kama sikosei kuna zile za Dodoma alishazikamilisha siku zile na zilikuwa nzuri kweli.Tatizo ni mtandao na siasa zao za kuviziana.

Mtarajiwa,

..nimesema yaliyopita si ndwele.

..kwa sasa hivi, Dr.Magufuli anapaswa kuonyesha mfano kwa kurudisha nyumba aliyojitwalia.

..tena hana haja ya kutamka hadharani nini kilitokea, nani alihusika, au nani alilazimishwa na nani.
 
Back
Top Bottom