Recent content by Mtanganyika mweusi

  1. M

    Shibuda: "Hakuna chama kama CCM" akitoa Semina elekezi MaRC na MaDC Dodoma

    Keshajua anatemwa anatafta kwa kurudia hana lolote mchumia tumbo
  2. M

    CCM: Mahakama ya Kadhi Ruksa kwenye katiba mpya

    Ilani ya Chama Chako inasemaje?
  3. M

    JK kuitwa G8 ni kwa sababu katoa Ardhi kubwa kwa nchi za Magharibi

    Ila kwa safari za jk tushauzwa vya kutosha gesi, mashamba, uranium, dhahabu tumeshauzwa
  4. M

    Live on TBC: Sherehe za kuwasha mwenge

    Nashangaa salamu ya mkuu wa mkoa anatambua uwepo wa mwenyekiti wa mkoa CCM najiuliza nisherehe za chama au serikali
  5. M

    Kauli ya Nasari imekuwa mtaji wa CCM wanadai katumwa na Dr. Slaa

    Za Shehe Yahaya na Lusinde mliwafanyaje kama serikali?
  6. M

    Bernard Membe: TZ Bado Inaiunga Mkono West Sahara

    Unadhani atakula wapi kama safari zote za nje JK kakaba ngoja nae aje aitwe kuwa msukuhishi ndo asafiri
  7. M

    Rais Kikwete safarini Ethiopia

    Hivi Pinda, Billal na Membe wao ni wa hapa hapa jamani. Kuna nini huko nje au anaenda kuangalia na miradi yake nini
  8. M

    Kenya: Madaktari kugoma kisa malipo hewa ya Bima ya afya kwa hospitali hewa

    Serikali yetu wote wezi na bima ya afya ni kichefuchefu hawana lolote wizi tu ndo wamemrudisha Mwinyi awekeze vzr
  9. M

    Kuwa waziri kabla ya kuapishwa kuwa mbunge

    Wadau wa katiba wanadai hata ofisini kwa spika anweza kuapishwa sio lazima ndani ya ukumbi wa bunge
  10. M

    Kikwete afanya mabadiliko makubwa ya Baraza la Mawaziri - Aprili 2012

    Makamba nomaa kawaacha mjini kina Zitto teh teh teh
  11. M

    Rais Kikwete apangua Baraza la Mawaziri

    Malima kabakizwa kwa lipi hasa jamaniiiiii??? Si ndo alienda kusaini mikataba S. Africa kwa jina bandia ndani ya hotel, mara mzee wa AK47, totoz nk bado ni msafi JK bwana
Back
Top Bottom