Kenya: Madaktari kugoma kisa malipo hewa ya Bima ya afya kwa hospitali hewa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kenya: Madaktari kugoma kisa malipo hewa ya Bima ya afya kwa hospitali hewa

Discussion in 'Kenyan News and Politics' started by dosama, May 7, 2012.

 1. dosama

  dosama JF-Expert Member

  #1
  May 7, 2012
  Joined: Dec 25, 2010
  Messages: 786
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Katika nchi jirani hapo KENYA chama cha madaktari Kenya KOSATU ( samahani kama nimekosea) kinaandaa mgomo wa nchi nzima Baada ya Katibu mkuu wa wizara wakishirikiana na bodi ya Bima ya Afya nchini humo ( NHIF) kulipa malipo hewa kwa hospitali ambazo hazipo zaidi ya shilingi za Kenya Mil 3.

  Hivyo chama hicho cha madaktari wanawataka Waziri, katibu wake wa wizara na mkurugenzi wa NHIF kujiuzuru na kufikishwa mahakamani kwa ubadhirifu na ufisadi wa mali ya umma.

  My take:

  Hapa kwetu mchezo huu haufanywi kweli maana sie wafanyakazi wanatulazimisha kujiunga na bima ya afya na wanatukata kweli na huduma ni mbovu. Kila siku sie watu wa bima hakuna dawa na vipimo vya muhimu tunalipa wenyewe.

  Nadhani Brandina Nyoni na Kina Nkya watakuwa wanaijua hii biashara vizuri
   
 2. M

  Mtanganyika mweusi Member

  #2
  May 7, 2012
  Joined: Apr 26, 2012
  Messages: 34
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Serikali yetu wote wezi na bima ya afya ni kichefuchefu hawana lolote wizi tu ndo wamemrudisha Mwinyi awekeze vzr
   
 3. IKHOIKHOI

  IKHOIKHOI JF-Expert Member

  #3
  May 7, 2012
  Joined: Jan 30, 2012
  Messages: 366
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Ufisadi kwa kweli ni jadi katika Afrika. Hapo kuna wajanja wanajipanga kwa ajili ya uchaguzi wa urais unaofuata. Wizi wizi wizi wizi kila mahali kwa lengo la kujitumiki. Ni lini viongozi wetu wataacha kujitumikia na kuwatumikia wananchi??? Mungu shusha kiberiti kama kile cha sodoma na gomora! Khhaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!
   
Loading...