Rais Kikwete apangua Baraza la Mawaziri

Rais Kikwete apangua Baraza la Mawaziri

Status
Not open for further replies.
edchali.jpg



Kubadilisha MaWaziri haitosaidia kitu Ufisadi upo pale pale. Kinachotakikana kuondoka kabisa Serikali ya Magamba ipatikane Serikali mpya
 
Malima kabakizwa kwa lipi hasa jamaniiiiii??? Si ndo alienda kusaini mikataba S. Africa kwa jina bandia ndani ya hotel, mara mzee wa AK47, totoz nk bado ni msafi JK bwana
 
Alilkuwa anasubiri hukumu ya Makongoro Mahanga. Ndio maana ilichakachuliwa.
 
Makamba, naibu waziri????
Science na Technology, ama kweli baba MwanaAsha hana nyimbo
 
Yaani rais anasuburi hukumu ya amahakama ndio ateue mmawaziri then mnaniambia kuwa hio hukumu haikupangwa?? Damn
 
Jk naona kachemsha sana kuwarudisha Lazaro Nyalandu na Malima,, hawa hawakupaswa kurudishwa, hata hivyo sijaona jipya wala sitegemei utendaji mzuri kwenye hili baraza..ni wale wale tu. At least angepunguza kwa 50 per cent..hii hamishahamisha inaendeleza kulindana tu.
 
Tumesha wafahamu sasa tusubiri utendaji wao, tuwape ushirikiano.
 
Sasa tufanye kazi, nawatakia kila la heri wote walioingia kwenye Baraza Jipya la Mawaziri.
 
edchali.jpg



Kubadilisha MaWaziri haitosaidia kitu Ufisadi upo pale pale. Kinachotakikana kuondoka kabisa Serikali ya Magamba ipatikane Serikali mpya

Hii picha nimeipenda sana,kiukweli ili kuwa na mabadiliko ya kweli wenye tuhuma washitakiwe.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom