Recent content by Msusu

  1. Msusu

    Mwanafunzi wa kike UDSM MLIMANI akutwa amekufa

    itakua ni mambo yao hayo hayo ya "nimechoka kumeza masomo magumu bora niolewe nizae!"
  2. Msusu

    Yanayojiri Bungeni leo Tarehe 26 May 2014

    kwa sababu yupo kambi ya lowassa!
  3. Msusu

    Mnyika; njoo kimara haraka

    Ndugu John J. Mnyika, mbunge wa jimbo la ubungo, mimi ni mpiga kura wako ambae nlikuchagua kwa mbwembwe nyingi mno na nlikua mmoja wa wasimamizi wa kura zako pale mabibo, ninakaa kimara bonyokwa. kwa kweli mbunge wangu kipenzi njia zetu zote hazipitiki brother, hapa nipo hapa vinane kama...
  4. Msusu

    Uhalisia wa matokeo ya kidato cha nne 2012: Nini kimepelekea kufeli huku?

    waalimu walishasema wakati wa migomo yao, hamkuwaelewa?tutegemee mabaya zaidi kama madai ya waalimu hayatazingatiwa. mimi ni mwalimu tunajua tunachofanya!
  5. Msusu

    Mbunge Salome Mwambu (CCM) mahututi Muhimbili

    Wanabodi, huyu mama tangu awe mbunge hajawahi kuonekana jimboni kwake na wala hajawahi kutoa mchango wowote bungeni kuhusiana na jimbo lake, nina ushahidi, mimi ni wa huko. aliwahi kuulizwa kwa nn akasema eti aliingia bungeni kwa fedha zako kwa hio asipigiwe kelele. Ukweli ni kwamba alishinda...
  6. Msusu

    Udhaifu Wa JK: Tafsiri Yangu

    hahaha.., mkuu umenikosha! kwa hio mfalme kumbe yupo uchi af toto tundu kaona nanilii kaishika ndo magid anaona aibu... hahahahaha..
  7. Msusu

    What are your favorite philosophical and political Quotes?

    "wasiosoma ni chakula cha wasomi"
  8. Msusu

    James Millya Mwenyekiti wa UVCCM Mkoa Arusha ajivua GAMBA akimbilia Chadema

    if you can't compete with them, join them! bravo millya
  9. Msusu

    Bingu Mutharika afariki rasmi

    Nabii T.b Joshua akumbukwe. hilo tayari, kinachofuata ni EL kuapishwa urais Tz
  10. Msusu

    Kesi ya G. Lema kuisha kiajabu

    afadhali umemaliza bani wa Isanzu, uli heu.
  11. Msusu

    Sitta ni Mwongo na Mnafiki, Jiuzulu mara moja

    Huyu ndo wa kushitakiwa kabisa. Kumbe riport ya Manumba ilikua ya kweli kwa mtindo huu. kwa sababu tunaamini anayejua ukweli wa ugonjwa ni Mwakyembe mwenyewe na tayari ameshafunguka kwamba hamna sumu ni ugonjwa tu mwingine ambao chanzo chake hakieleweki.
  12. Msusu

    Dkt. Mwakyembe: Nimekerwa sana na msimamo wa Jeshi la Polisi juu ya afya yangu

    It's amazing scenerio, hata wale wachache waliokua wana imani japo kiduchu na jeshi la ccm sasa wanatamani iwe mwisho wa dunia leo ili wasishuhudie kinachojili. hahaha.., funguka Dr. mwanafunzi wa mwakyembe "mheshimiwa sana side, aka Said Mwema upo!!? funguka na wewe!!!!
  13. Msusu

    Kwanini Lowassa anaiponda CHADEMA?

    you are very right. no comment
  14. Msusu

    Mh. Rais wangu mpendwa, tafadhali soma hapa

    hahahaha..., hossam bana unashangaza sana.., basi ngoja na mimi nishangae labda kushangaashangaa kunalipa zaidi utajuaje. jamani tuhamasishane na kushirikishana kwa umoja wetu tushangae hadi maisha yatushangae labda mukulu ataacha kushangaashangaa. yaani hapa ni kushangaa tu, haya tushangae!!
Back
Top Bottom