Mwanafunzi wa kike UDSM MLIMANI akutwa amekufa

Mwanafunzi wa kike UDSM MLIMANI akutwa amekufa

itakua ni mambo yao hayo hayo ya "nimechoka kumeza masomo magumu bora niolewe nizae!"
 
TANZANIA yangu inaharibika jamani.....Hivi kama wasomi wanalewa pombe kiasi hiki huko vyuoni,tutapata wataalamu wazuri hapo baadae????
R.I.P MSOMI
 
Mh! Yaweza kuwa wine zilizo expire manake ziko nyingi kwa sababu hazina wanywaji sana kama bia hivyo ikiisha muda tu inasogezwa tarehe inaendelea kuremba counter

Wine? Expiring?
 
Safi sana kanywa kijinga kafa kijnga basi mwisho wa mchezo.
 
Jamani.msihukumu wew na mimj.hatujui lini.na wapi na tukitumia kitu gani tutnyakuliwa chuo akiuui na haimaanishi kuwa ukisoma chuo fulani utakufa au vifo ndio hutokea hapo.jamani
 
TANZANIA yangu inaharibika jamani.....Hivi kama wasomi wanalewa pombe kiasi hiki huko vyuoni,tutapata wataalamu wazuri hapo baadae????
R.I.P MSOMI

kaaaabisaaaa kula like yangu kwa kuongea point.
 
Back
Top Bottom