Wewe unaejua tuambie kazi zake....sorry buddy.... this is krrap
unajua matumizi ya ct scan
Wewe unaejua tuambie kazi zake....
Kunradhi, CT-Scan kupima kisukari?
Mungu amponye
Huyu ni mbunge wangu. Wananchi wanasema ni bora afe tu. R.I.P
Mkuu huyu ni mwanadamu kama ulivyo wewe.....ana familia.. ndugu.. jamaa na marafiki....unadhani wapendwa wake watajisikiaje wakisoma post yako hii.....hili ni suala la uhai kumbuka. unadhani watakuonaje wewe pamoja na kikundi/chama chako unachokiwakilisha???........tumia akili kidogo mkuu......mnakosa kupewa kura kwa sababu ya vitu vidogo sana ... ..Mungu akujalie upone upesi mheshiwa. ......
Amelazwa kwa maradhi ya kisukari na shinikizo la damu (BP).. Hivyo vyote hasa hasa BP inaweza sababisha kiharusi (stroke), na kama yuko ICU most likely atakuwa kapoteza fahamu (moja ya dalili ya stroke).. Kwa mantiki hiyo CT scan inahitajika kubaini kama kuna stroke au la. mbali na ubongo, inaweza pia kuhitajika kubaini uharibifu sehemu mbali mbali za mwili.
good pwenti ila lazima ukubali kwamba watu wamechoka na wanateseka kila sikuMkuu huyu ni mwanadamu kama ulivyo wewe.....ana familia.. ndugu.. jamaa na marafiki....unadhani wapendwa wake watajisikiaje wakisoma post yako hii.....hili ni suala la uhai kumbuka. unadhani watakuonaje wewe pamoja na kikundi/chama chako unachokiwakilisha???........tumia akili kidogo mkuu......mnakosa kupewa kura kwa sababu ya vitu vidogo sana ... ..Mungu akujalie upone upesi mheshiwa. ......