Mh. Rais wangu mpendwa, tafadhali soma hapa

Mh. Rais wangu mpendwa, tafadhali soma hapa

Hosam unatisha man,huko kushangaashangaa si mchezo.Watanzania mabadiliko lazima.
 
Jk is a very Smart President that I have never seen. Rais hajui kwanini watu wake ni maskini! Shit!
.........mkuu kama ulimfuatilia kwenye ile hotuba yake ya kufunga/kfungua mwaka alijibu eti watu wake ni maskini kwa sababu hamna wawekezaji wa kutosha; JK bwana, bonge ya kilaza.....
 
alivyokuwa msanii anaweza kukushangaa kuwa hajasema hivyo, we raisi anaulizwa kwa nini watanzania ni maskini anajibu kwamba hata yeye hajui sasa huyo ndoa ataweza kuwawajibisha watendaji wake

Ni kweli, hadi alipopoewa desa na watendaji wake jinsi ya kujibu hilo swali ndio alipoweza. Makubwa, ndio chaguo la Mungu, mtu ambaye wala hajui kwa nini raia wake ni maskini!
 
Lakini mishangao ya Watanzania wengi, hasa wafanyakazi wa serikali ambao haki hazo zinapinjwa makusudi ni SILENT STRIKE.
Ni wazi kwamba wafanyakazi wa serilaki wanaendelea na mgomo baridi. watu hawafanyi kazi unavyotakiwa, wanachelewa kufika na kuwahi kutoka kazini, huduma zimedhorota na mengine mengu. It is a give aand take situation.
Bahati nzuri, hata yeye mweneywe analijua hilo.
 
Heri yenu nyie ambao bado mnamwita rais. Nchi yangu haina rais.
 
mh raisi,salaam!
Mheshimiwa nilifuatilia hotuba yako ya kufunga mwaka 2011 na kuukaribisha mwaka mpya wa 2012.kama kawaida hotuba ilikuwa nzuri.ulieleza mambo mengi ya maana kwa mustakabali wa nchi yetu.hata hivyo kuna suala moja uliligusia binafsi limenisikitisha sana.sipendi kuwa mnafiki,lazima niseme ukweli kwamba kwa suala hilo ulinikera!si jingine ila ni suala la madeni ya watumishi yanayojumuisha madai ya fedha za malimbikizo ya mishahara,uhamisho,masomo,likizo,matibabu nk.madai haya ya mabilioni ya shilingi za kitanzania yanawahusu walimu na watumishi wengine.
Mheshimiwa ulinikera kwa sababu eti nawe ulionyesha kushangaa kwa nini madai haya hayakukoma wakati tayari ulishatoa maelekezo ya kukomeshwa kwa madeni haya!raisi wetu unashangaa badala ya kuchukua hatua kali dhidi ya watendaji wazembe wanaofedhehesha serikali yako?hivi unajua kwamba wakati wewe unashangaa sisi waathirika tunaumia?hivi unajua kwamba wapo watumishi wamepandishwa vyeo hadi leo ni zaidi ya miezi 12 bado hawajarekebishiwa mishahara yao ili iendane sambamba na vyeo vyao vipya?na bahati mbaya hawaelewi hayo madai yao watalipwa duniani ama ahera!mheshimiwa hawa watumishi wanamajukumu,wana watoto kama ulionao wewe hao akina ridhiwani na akina miraji na wengineo.kwa nini usiwaonee huruma kwa kuwawajibisha mara moja waliosababisha kadhia hii?badala yake wewe unashangaa!unashangaa wakati mkulo na ghasia wako ofisini kama kawaida.wasaidizi wao nao wako ofisini kama kawaida.mheshimiwa kama haki za watumishi wa umma zinabinywa kiasi hiki na wasaidizi wako hivi hali ikoje kwa haki za makundi mengine kama mamalishe,machinga,wakulima wa mchicha nk?ama tuamini kwamba wasaidizi wako wmekuona wewe kama mbwa koko?<samahani kwa kutumia hilo neno>.si unajua tabia za mbwa koko?ni fundi wa kubweka lakini hana ubavu wa kushambulia.ukijifanya unaokota jiwe tu yeye huyoo mbio!mheshimiwa ulitakiwa kuchukua hatua kali haraka kwa wote waliosababisha mrundikano wa madeni ya watumishi hata kabla ya kuja kutuhutubia huo mshangao wako.mimi nimeamua kuwasilisha hisia zangu kwa mtindo huu,haijalishi kama utaamua kunibatiza majina ya ndege kama mbayuwayu,kunguru,mwewe nk!mods muiache kidogo hii kitu mkuu aione.

kwa kwlei hii thread nimeshangaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa saaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaanaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa

 
hata mimi nawashangaa ninyi munaezania kwamba jk ni rais, nawashangaa hadi leo munasema ni watanzania, hivi hii tan-zan-ia ipi? mbona zan ilishajitoa siku nyingi. yaani nawashangaa hawa magamba wajiita chama cha mapinduzi, hivi wanafanya mapinduzi gani au ndo kuondoa utajiri wa rasilimali za nchi na kuuleta umasikin? yaani nawashangaaaaaaaa sanaaa
 
Duh!! Namie nakushangaa aisee... Unashangaashangaa nini sijui?!! Hapa ni kushangaa tu, full kushangaa hadi watu watushangae...

Hata mimi nashangaa sijui kwa nini njaa inaniuma?
 
Duh!! Namie nakushangaa aisee... Unashangaashangaa nini sijui?!! Hapa ni kushangaa tu, full kushangaa hadi watu watushangae...

hahahaha...,
hossam bana unashangaza sana.., basi ngoja na mimi nishangae labda kushangaashangaa kunalipa zaidi utajuaje. jamani
tuhamasishane na kushirikishana kwa umoja wetu tushangae hadi maisha yatushangae labda mukulu ataacha kushangaashangaa.
yaani hapa ni kushangaa tu, haya tushangae!!
 
Muda wa kushangaa umeisha, sasa tuchukue hatua. tuanzie kwenye chaguzi za vyama mwaka 2012
 
Msiba mkubwa wa taifa,mimi sishangai ninaomboleza.
 
Huu mda si wa kulalamika bali ni wa kutenda zaidi, kama vipi bora uwe kama boko haram ya huko nigeria ingawa sipendi ufanye hivyo
 
Back
Top Bottom