Yanayojiri Bungeni leo Tarehe 26 May 2014

Waliotazama bunge leo la budget kunawakati lililetwa Swala la UDA, Mwakyembe akasema wizara yake haihusiki lakini Ndungai akamwambia aache usanii UDA ipo uchukuzi! Mwakyembe akatamani kulia
 
Ndugai hajui na wala hana uwezo wa kusimamia bunge. Amezidiwa na Zungu kwa kiasi kikubwa sana
 
Waliotazama bunge leo la budget kunawakati lililetwa Swala la UDA, Mwakyembe akasema wizara yake haihusiki lakini Ndungai akamwambia aache usanii UDA ipo uchukuzi! Mwakyembe akatamani kulia

Dugai ndo kilaza uda lipo Tamisemi na lilikua chini ya jiji la dar es salaam
 
hivi zungu wakati wa uchaguzi wa naibu spika alikuwa uk ama wapi

mbona hili jamaa limetokeleza kweli
 
Waliotazama bunge leo la budget kunawakati lililetwa Swala la UDA, Mwakyembe akasema wizara yake haihusiki lakini Ndungai akamwambia aache usanii UDA ipo uchukuzi! Mwakyembe akatamani kulia

kwa sababu yupo kambi ya lowassa!
 
Wakuu heshima kwenu. Kwenye Uzi wa kusema Ndugai anamchukia mh Lissu mkuu Lizaboni (km nimechanganya aniwie radhi) kasema Ndugai anafanya kazi yake na anafwata sheria. Sasa hapa anamnanga eti bora Zungu sasa tuchukulie lipi?
Wanasema ukiwa muongo usiwe msahaulifu.
 
Dugai ndo kilaza uda lipo Tamisemi na lilikua chini ya jiji la dar es salaam

Lusungo go check your fact mkuu!
UDA is abbr of USAFIRI DAR ES SALAAM;moja kwa moja na bila ubishi usajili wa UDA pale BRELA ulipata kibali toka Wizara ya uchukuzi na hata magari yao kuruhusiwa kubeba watu kibali chao kinasainiwa na maofisa toka Wizara ya Uchukuzi

Dr Mwakyemba HANA jibu kuhusu usanii wa uuzwaji UDA sababu waliofanya hivyo ni wenzake
 
Kama swali lingekuwa linauliza viwango vya mabasi na leseni moja kwa moja Dr. Mwakyembe angehusika kujibu swali hilo. Unapomuuliza yeye suala la umiliki au uendeshaji wa shirika sio tu hilo halimuuhusu lakini ni sawa na kumuuliza Waziri wa afya kwa nini Wahaya wamejaa hospitali ya Kairuki-Mikocheni.
 
Umiliki sio kazi ya Wizara ya uchukuzi!
Swali lilikuwa linasemaje kwani mkuu?
 
mdini mno kama Dau wa nssf,mkoloni ni mkoloni tu huwa haachi asili

unachosema ni sahihi kabisa, udini wa zungu na alliance ya madiwani wenzake wadini ndio kilichomkost Abuu jumaa kupigwa chini kwenye umeya wa manispaa ya ilala na Jerry silaa.

Jerry alikuwa hana ubavu wa kumuangusha mtoto wa mjini Abuu jumaa lakini waliomponza ni kina zungu, watu wakachefuka roho ikamwagwa rushwa ambayo haijawahi kuongwa diwani yoyote katika historia ya manispaa ya ilala.
 
Lusungo go check your fact mkuu!
UDA is abbr of USAFIRI DAR ES SALAAM;moja kwa moja na bila ubishi usajili wa UDA pale BRELA ulipata kibali toka Wizara ya uchukuzi na hata magari yao kuruhusiwa kubeba watu kibali chao kinasainiwa na maofisa toka Wizara ya Uchukuzi

Dr Mwakyemba HANA jibu kuhusu usanii wa uuzwaji UDA sababu waliofanya hivyo ni wenzake

Mkuu usibishe fuatilia kwa makini uda IPO chini ya halmashauri ya jiji ndio wamiliki...

Ukisema sababu ni usafirishaji basi DART nao. Utaswma wako wapi?
 
Back
Top Bottom