Bingu Mutharika afariki rasmi

Nabii T.b Joshua akumbukwe.
hilo tayari, kinachofuata ni EL kuapishwa urais Tz
 
tuamini watumishi wa mungu maana tb joshua alitabiri wengi mkapinga
 
Hatimaye rais wa Malawi amefariki baada ya kuzushiwa kifo tangu alipopatwa na 'cardiac arrest'.Amefia Afrika ya kusini.
Source: Star tv

Maombi ya Wamalawi yametimia cause according to yesteryday BBC'S dira ya dunia wamalawi wengi walikuwa wanamuombea mabaya rais wao kutokana na kuwa sababu kuu ya masaibu yawapatayo Wamalawi.
 
Baada ya tetesi kuzagaa nchini Malawi ya kifo cha Rais wao;wananchi wameingia mitaani kushangilia.Ama kweli hii ndiyo Africa ya sasa viongozi wa sasa;wajifunze kwani siyo utamaduni wa Africa hata kidogo,amekubali kuwa madikiteta wasio rasmi.na wapo wengi sana hapa Africa wanaongoza kwa kudra tu za Shetani shame on you African leaders of today.
 
tb joshua kutoa unabii juu ya lowasa si kweli huyu huwa anasema wazi ili dunia ishuhudie
 
tuamini watumishi wa mungu maana tb joshua alitabiri wengi mkapinga
Kusema kwamba ubashiri wa TB Joshua ni maono anayopewa na Mungu inaleta tabu kuamini hasa kama mtu ni Mkristo unayefuatilia maandiko.
Iweje nabii atabiri majanga tu, na kwa nini anapotabiri hawi specific kwa kutaja jina la mhusika, tarehe ya tukio na mahala litakapotokea? Sikumbuki mahala popote kwenye maandiko ambapo nabii alitoa maono ambayo ni generalised kuhusu mtu fulani.
 
Nazidi kuamini Lowasa atakuwa rais wa 2015, kwani Joshua alitabiri kutokea kifo within two months kwa kiongozi wa afrrica pia aliwai kutoa utabiri juu ya Edo kuwa presider.......R.I.P Mutharika
 
kama vile namuona Baba Mwanaasha anavyoandaa nguo zake kwa ajili ya safari..nahisi mabegi yashapelekwa dry cleaner ili yawe masafi kwa ajili ya safari
 
huyu atakua amepelekwa africa kusini kashakufa coz jana saa sita usiku alipelekwa south akiwa hapumui. rip mutharika. huu ni ukombozi kwa raia wake.
 
mUNGU amlaze pema peponi. Kwa sababu ni Pasaka anaenda moja kwa moja peponi. Watu wengine wana bahati kinoma.
 
Kuhusu TB Joshua kutabiri kifo cha Bingu ni kweli mazee, kama HUTAKI UNAACHA tena kwenye ibada ya juzi jumapili tarehe 1 alisisitiza kwamba kifo cha huyo raisi kinazidi kukaribia akasema this is not fools day.

Ila kuhusu Lowassa hajawahi kusema, mashabiki wa Lowassa mmeamua kuwaaminisha watu hivyo simply kwa sababu Lowassa ashawahi kwenda kumuona.
 
Masikini Bingu....Poleni Malawi.....Naona kafariki Ijumaa KUU!!......alikuwa mtu wa namna gani huyu?? Inaweza kuwa na ishara yake hii???
Familiamtaji.
 
Nabii T.b Joshua akumbukwe.
hilo tayari, kinachofuata ni EL kuapishwa urais Tz

Acha ushabiki wewe, nilimuona Lowasa akiwa kwenye Ibada SCOAN lkn sikuona mahali TB Joshua akimtabiria kuwa Rais.
Lete source yako hapa.
 
Back
Top Bottom