Mkuu uko sahihi lkn hakuna limitation kwamba ukifika 18 basi huwezi tena kuwa na mabadiliko ya ukuaji ila inasemekana kwamba watu wengi mabadiliko ya ukuaji hukoma baada ya 23 yrs japo pia inaweza kuvuka kutegemea na mtu. Ukija na hoja ya physiological growth of bones huwezi acha kitu muhimu...
Kuna wale wanaojiita mshabiki wa Arsenal ambao timu ikifungwa au kutoa sare wanakuja na maneno kibao ila sasa mechi ya tano mfululizo timu inashinda tena kwa goli nyingi wako kimyaa hawaonekani. Mnafiki ishi nae kinafiki.
Sio kama umechanganya mechi ya spurs na Chelsea!!?? Mechi ya spurs tulikuwa tunachomolewa kwa makosa binafsi ya wachezaji ikiwemo kosa la joginho kutoa boko. Ila mechi ya Chelsea ndo kila mtu alijua hatutoki hiyo gem maana Chelsea alitushika sana na wakatutangulia kwa goli mbili
Kwahiyo hizo zote alikuwa na siku nzuri isipokuwa jana tu? Hapo ndo tukianza kusema ni mamluki ila mnajificha kwa kusema ni Arsenal mnakuwa wakali ila ndani ya nafsi zenu mnajua kabisa kuwa mnazuga
Kwahiyo kwa hii misimu miwili kila Liver akikutana na Arsenal ndo anakuwa na siku mbaya? Huu ni msimu wa pili Liverpool hajapata matokeo ya ushindi dhidi ya Arsenal. Je tuendelee kuamini maneno yako kwamba liver alikuwa na siku mbaya????
Sio kweli kwamba Arteta ana miaka 5/misimu 5 bali ana misimu 4 ikiwa misimu 3 ndo iliyokamilika. Alichukua timu musimu wa 2019/2020 katikati mwa ligi yaan mwezi wa 12. Musimu wake wa kwanza ukiwa full ni 2020/2021. 2021/2022 ni kama aliutumia kufanya maboresho na kuutafuta muundo wa timu na...
Unaona sasa ulivyomkalili Hamis, kwani una ugonvi nae!!?? Kuhusu Id hii kuwa ni ya Hamis hilo nakupuuza kwa kuwa halina maana. Kwahiyo kwa hoja yako ni kwamba ukimtizama mchezaji kwa mechi 3 tu tayari unajua huyu ni complete au sio complete. Je unaweza ukatusaidia vigezo vigezo vya kimpira...
Unachosema ni kweli kabisa lkn je hao strikers wanapatikana? Kuna muda inabidi utengeneze ulichonacho ili kikupe ubora nadhani cha muhimu ni kwamba hao tulionao wameshindwa kufikia ubora basi watafutwe wengine ili watengenezwe. Hao unao wasema akina Mane, Sara na Bob wameboreshwa na Krop. Sarah...
Binafsi sina tatizo na hao mashabiki wa timu zingine wanaoleta karaha humu ndani maana ni haki yao kama ambavyo tunapeleka karaha kwenye majukwaa yao.
Shida yangu ni hao wanaosema ni mashabiki wa Arsenal alafu wanasema haiwezi kuchukua ubingwa bila kutoa sababu za kimpira zaidi utasikia mara...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.