[emoji2403]USARA ZA GWIJI WA HIGHBURY
" Arsenal tactical Revolution"
[emoji1614] Ukiangalia Namna Arsenal wanacheza mpira unaweza kusema Mpira ni jambo rahisi sana hapana ndugu yangu bali ni jambo Linalo hitaji utimamu kimbinu na Kiufundi bila kusahau uwezo mchezaji mmoja mmoja
[emoji1614] Modern football Roles ( Majukumu ) yanachukua nafasi kubwa kuamua nani acheze nani atokee bench hivyo basi Sifa za mchezaji kiuchezaji ndio zinampa nafasi kucheza Mara kwa mara
[emoji1614] Niingie Hoja Arsenal kwa sasa Ukizungumza moja kati team ambazo ni nzuri kimbinu uwezi kuacha kuwataja
[emoji1614] Tactical Revolution Arsenal imeletwa na Vitu kadhaa Ambavyo kocha aliweza kuviweka kikosi chake
[emoji1614] Playing ID ( Identity ) hapa kocha akihakikisha kwanza kuna utambulisho anacheza mpira wa aina gani, Kwa Arsenal tunajua ni posession based football
[emoji1614] Baada kujua ID sasa kocha akaanza kusajili profile wachezaji inayoendana na Aina yake uchezaji yani wachezaji watakao Raise Level pia tactical and technical tweak
[emoji1614] Alafu Mwisho aka apply sasa Tactical and technical terms mfano wa hivi vitu Arsenal jinsi ana fanya build up, Jinsi ana Fanya Overload, Jinsi anafanya Pressing , Kwa jinsi anafanya positional interchange Nk ni kwenye level kubwa kitu kimefanya team sasa kuweza kucompete na yeyote tactically
[emoji1614] Leo tunazungumza Arsenal inayoweza kwenda Anfield na ikacheza mpira,Leo tunazungumza Arsenal inayoweza Kudominate game mbele elite club kama Man city Kitendo City kupiga on target 2 tu Match 2 za mwisho kacheza Arsenal nazani unanielewa
[emoji1614] Ifike hatua hapa tulipo tuwape Maua yao bench la Ufundi [emoji1487]
Amigos