hamis77
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 18,254
- 26,641
Ambacho watu hawajui
Ratiba inakuwa ngumu kutokana na timu yako ilivyo
Swali nani ana enjoy kukutana na Arsenal sasa?
Liverpool asingedondosha point Jana ,na uhakika angedondosha hapo mbele tu, why ,wanaruhusu sana nafasi
Naangalia Ratiba yetu na hao tunaocheza nao wanavyocheza ,kiuhalisia hakuna mgumu hapo ,Tena ukitanguliwa na Arsenal ,wewe fungasha virago tu ,
Liverpool ana mechi 3 mfululizo za away,
Mechi yetu ambayo wachezaji wanatakiwa kujitoa kama kawaida kuhakiksha tunashinda ni Vs Spurs
Mechi mbili ambazo zinasemwa ngumu ni vs Chelsea , Astonvilla zitakuwa Emirates
Chelsea amezidi kuwa ovyo sana kwenye defence hana tofaut na man u
Man u yeye ni dhaifu sana ,ndio maana klopp hiyo mechi imemuuma sana akasema kama ni Arsenal ana uhakika 100% watashinda ,
Maana anajua Arsenal tukishaongoza hata moja halafu tunataka matokeo basi kazi imeisha ,
Chelsea Jana amekuwa outplayed na Sheffield united, Chelsea pale Emirates hawezi kuzuia asipigwe
Astonvilla anakuja bila Douglas Luiz na Kamara , wanakuja wakiwa na midfield dhaifu
Mwisho tunaiona mechi muhimu ambayo tutatakiwa kujitoa sana ni vs Spurs
Ratiba inakuwa ngumu kutokana na timu yako ipoje
Kwasasa Mancity ndiye mwenye ratiba nyepesi , anafata Arsenal ,mwisho Liverpool,
Liverpool zile mechi 3 za away atadondosha point tu

| Coach Roberto De Zerbi explains why Arsenal is a bright candidate for the Premier League championship: