Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

KDB alichomzidi Odegard ni uzoefu TU, ndo mana nasema miaka kama 4 ijayo, wakati Odegard atakapokuwa mzoefu kama KDB, ukiwalinganisha KDB atakuwa kaachwa mbali sana

Odegard ana vitu vingi kamzidi KDB. KDB alikuwa anafanya nini katika umri wa Odegard. Kumbuka Odegard anagombaniwa na Madrid kipindi hata miaka 15 sijui kama alifikisha.

Sioni anachosifiwa KDB, Odegard ashindwe kufanya, ila Kuna vitu Odegard anafanya KDB hawezi kufanya, mnaishia kusema modern footballer hautakiwi uwe na mambo mengi
Kweli apendaye chongo huita kengeza
 
Hii sasa ndio ile kwenye bible inaitwa kula kwa jasho wakati ndugu zetu Asenyo wenyewe ikitimia miezi 9 ya ligi huwa wanazaa kwa uchungu.
1708281216814.jpg
 
Hii marathon ya ubingwa ni ya mtu che,

After 5 games Kuna uwezekano, klop akatema bungo,

Pep msimu huu yupo vibaya mno msimu huu, tatizo lake ni mbishi sana.

Kuna uwezekano mkubwa nyumbu wakitupigia makofi. Yani mchezo miwili kabla ya kumaliza ligi NDOO itakua imetua EmiratesView attachment 2907967
Hapo Arse8 anaweza kukata moto mechi 5 mfululizo
 
KDB alichomzidi Odegard ni uzoefu TU, ndo mana nasema miaka kama 4 ijayo, wakati Odegard atakapokuwa mzoefu kama KDB, ukiwalinganisha KDB atakuwa kaachwa mbali sana

Odegard ana vitu vingi kamzidi KDB. KDB alikuwa anafanya nini katika umri wa Odegard. Kumbuka Odegard anagombaniwa na Madrid kipindi hata miaka 15 sijui kama alifikisha.

Sioni anachosifiwa KDB, Odegard ashindwe kufanya, ila Kuna vitu Odegard anafanya KDB hawezi kufanya, mnaishia kusema modern footballer hautakiwi uwe na mambo mengi
Akili zenu Arse88 ni za kwenu pekeeni hapa duniani, yaani mna kaulimwengu kenu.
 
Kosa lenu kukariri maisha, utanielewa baada ya misimu 4
Sasa hiyo miaka mi4 hatatakiwa kulinganishwa na KDB tena, KDB atakua uarabuni huko anakula Pension.

KDB usimfananishe na huyo dogo, ana vitu vingi sana vya kufanya mpk kumfikia.

Mnamuona mkali kwa kuwa yupo kwa wachovu, madrid pale walimfukuzia mbali.

KDB akienda pale madrid anapata namba ila huyo kiazi alifungishwa virago.
 
KDB alifungashiwa virago chelsea.

Akaenda ujerumani.

Pep akaona kwa anavyotaka Kelvin ni mtu sahihi.

Hakimi alifungashiwa virago Madrid.

Akaenda Dortmund na sasa PSG

Salah aliachwa Chelsea. Akaenda Roma, Klopp akaona kwa anachotaka huyu ni mtu sahihi.

Umetoa hoja dhaifu sana.

Martin anasajiliwa Madrid ana miaka 15. Mimi na wewe huo umri kwa bongo tupo sekondari tunakaririshwa bunsen burner.

Umeandika utumbo hadi naona uvivu kukuelewesha. Pogba alitoka bure United Juve ikaona atafaa kwa wanachotaka.

Jua kwanza mpira kabla haujajua maneno machafu
 
Akili zenu Arse88 ni za kwenu pekeeni hapa duniani, yaani mna kaulimwengu kenu.
Amejaribu kuangalia mbele kama Odegaard ataendelea na moto huu. Kwa bahati nzuri KDB alikuwa kwenu. Mo Salah pia. Nyie hamkuweza kuona mbele ila wengine (City, Roma) waliweza na wakafaidika nao.

Odegaard mwenyewe tumemchukua Madrid baada ya wao kupoteza au kutoona tena kile walichokiona kwake mwanzoni. Matokeo yake ni kijana anang'aa huku kwetu na anaweza kufikia na kupita kiwango cha KDB.
 
Hii sasa ndio ile kwenye bible inaitwa kula kwa jasho wakati ndugu zetu Asenyo wenyewe ikitimia miezi 9 ya ligi huwa wanazaa kwa uchungu. View attachment 2908387
Notice kwamba Arsenal hawazii kushinda mechi moja.

Unawaza utokwe jasho ili umfunge Luton Arsenal anawaza anapataje CL na ligi.

Kama hauna stori zaidi ya kutuonyesha timu yako iko hovyo kaa kimya ujifunze
 
Mwanafunzi mmoja anawaza jinsi ya kupata division 1 kwa A zote au ikishindikana kabisa basi B isizidi moja. Mwingine anawaza Division 3 yake isiharibike ikaangukia 4. Halafu huyu wapili ajione yuko sawa na yule wa kwanza..
 
Manunu huwa wana tabia flani ya kujitutumua wakipata matokeo mazuri kwa mechi kadhaa...hii tabia hata kocha wao anayo...wakianza kufumuliwa sasa utawaonea huruma
 
Sasa hiyo miaka mi4 hatatakiwa kulinganishwa na KDB tena, KDB atakua uarabuni huko anakula Pension.

KDB usimfananishe na huyo dogo, ana vitu vingi sana vya kufanya mpk kumfikia.

Mnamuona mkali kwa kuwa yupo kwa wachovu, madrid pale walimfukuzia mbali.

KDB akienda pale madrid anapata namba ila huyo kiazi alifungishwa virago.
Chelsea mlikuwa na Salah na De Bruyne wakiwa vijana wadogo kabisa..mkawafanyaje...mkawaharibu tu kwasababu hamuwezi kukuza vipaji...angalia anachokifanya Odegaard sasahv...je De Bruyne alikuwa anakifanya katika umri huo???....au ukishiba ulanzi unaanza kuropoka tu kwakuwa kuongeq ni bure🤠🤠🤠....miaka 3 mbele hyu Odegaard ataanza kufananishwa na magwiji waliowahi kucheza pale ligi kuu EPL
 
Kama timu yako haipo top4 usibishane na wanaume .. kaaa kwa kutulia mpk ufike level za wanaume..

cheltako GD 1 , nyumbu GD 1 wanaume wana GD 36 alaf tumetulia

Kama itawezekana cheltako na manyumbu kila wakipata goli wapewe na penalty kabisa.

Striker anaitwa jackson , uliona wap
 
Mwanafunzi mmoja anawaza jinsi ya kupata division 1 kwa A zote au ikishindikana kabisa basi B isizidi moja. Mwingine anawaza Division 3 yake isiharibike ikaangukia 4. Halafu huyu wapili ajione yuko sawa na yule wa kwanza..
Haha haaaa.........nimeipenda hii konzi.
 
Bila kombe, humu mnajadili takataka tu.
Chelsea atajipanga na kurud kuchukua ligi na UEFA nyie bado mko hivo hivo
Sio mimi ni historia inasema👆
Sema nyie arsenal fans ni viumbe wa tofauti na sisi binadamu😅😅😅
Nikitaka kutoa stress lzm nije hili jukwaa la comedy
 
Bila kombe, humu mnajadili takataka tu.
Chelsea atajipanga na kurud kuchukua ligi na UEFA nyie bado mko hivo hivo
Sio mimi ni historia inasema
Sema nyie arsenal fans ni viumbe wa tofauti na sisi binadamu
Nikitaka kutoa stress lzm nije hili jukwaa la comedy
Humu wamejaa comedian's watupu, ukiwa na stress zako halafu ukaingia humu utaishia kutabasamu kama sio kucheka kabisa halafu unajikuta umesahau shida zako kwa muda.
Uzuri Mungu hua hakunyimi vyote, akikunyima makombe basi anakupa mdomo
 
Uongozi usije ukamuuza Sambi Lokonga, dogo ana potential kubwa.

Nilichogundua Sambi sio mkabaji mzuri ila anachezesha timu vizuri, press resistant, passer na ball carrier mzuri. Angepata nafasi ya kucheza pivot na Rice kama ilivyokua kwa Jorginho, things would have worked out.

Pia ni versatile, mana hata pre season ya msimu ulioisha tuliona akiwa anatokea pembeni na alikua akifunga.
Next season abaki kuongeza squad depth.
 
KDB alifungashiwa virago chelsea.

Akaenda ujerumani.

Pep akaona kwa anavyotaka Kelvin ni mtu sahihi.

Hakimi alifungashiwa virago Madrid.

Akaenda Dortmund na sasa PSG

Salah aliachwa Chelsea. Akaenda Roma, Klopp akaona kwa anachotaka huyu ni mtu sahihi.

Umetoa hoja dhaifu sana.

Martin anasajiliwa Madrid ana miaka 15. Mimi na wewe huo umri kwa bongo tupo sekondari tunakaririshwa bunsen burner.

Umeandika utumbo hadi naona uvivu kukuelewesha. Pogba alitoka bure United Juve ikaona atafaa kwa wanachotaka.

Jua kwanza mpira kabla haujajua maneno machafu
Siku nyingine hatokuja na hoja ya namna hiyo tena
 
KDB alichomzidi Odegard ni uzoefu TU, ndo mana nasema miaka kama 4 ijayo, wakati Odegard atakapokuwa mzoefu kama KDB, ukiwalinganisha KDB atakuwa kaachwa mbali sana

Odegard ana vitu vingi kamzidi KDB. KDB alikuwa anafanya nini katika umri wa Odegard. Kumbuka Odegard anagombaniwa na Madrid kipindi hata miaka 15 sijui kama alifikisha.

Sioni anachosifiwa KDB, Odegard ashindwe kufanya, ila Kuna vitu Odegard anafanya KDB hawezi kufanya, mnaishia kusema modern footballer hautakiwi uwe na mambo mengi
Watu watakupinga na kukukebehi but huo ndio ukweli
 
Back
Top Bottom